figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Nape anafanya siasa za maji ya chooni. Ila baada ya uchaguzi wa Igunga atakua kapata jibu kuwa Watanzania sio maiti bali ni wanadamu wenye uwezo wa kuchagua mazuri na kukataa mabaya.nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia
Kama kasema hazo basi naona kweli kijana anapotea sasa anategemea kwa kusema watu wa arusha na mwanza wanatumika katika fujo..atasema nini kesho kwa vijana ambao ni wengi akienda huko mwanza na arusha...Wanasiasa ka hawa ndio wanaoipunguzia CCM mvuto bila kujua.
Nape hajielewi, alikuwa na kilaza mwenzake, Makamba Jr
Kama kasema hazo basi naona kweli kijana anapotea sasa anategemea kwa kusema watu wa arusha na mwanza wanatumika katika fujo..atasema nini kesho kwa vijana ambao ni wengi akienda huko mwanza na arusha...Wanasiasa ka hawa ndio wanaoipunguzia CCM mvuto bila kujua.
nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia
hapo nepi kachemka kama vipi na cdm waagize vijana tuko tayari kuja huko igunga kupambana na hao vilazanape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia
Nape anunuliwe kanzu pea saba il atulize mawazo