Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Usitake tukutukane wewe na mabashite wenzako.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Usitake tukutukane wewe na mabashite wenzako.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
When you are dead, you do not know you are dead. It's only painful & difficult for others. The same applies when you are stupid.Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
ninacho kushauri kama upo humu,kuwa mpole Nape ,"jiwe la msingi umeshaliweka" yasije kukukuta ya akina Manji![]()
Muheshimiwa nape Moses anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
Mzee wa bao la mkono,kabatizwa kwa moto,,,,wana,greencoler..endeleeni kutia maji,,,![]()
Muheshimiwa nape Moses anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
mwenye nchi ni wananchiNape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Uje utuelezeje bayana, inawezekana John Beer dish limeyumba, sie tukamuona timamu.
mwezi mchanga sioAcha uoga wewe.Mh. Nape Nnauye tafadhali tulia; achana na haya mambo. Mwenye mamlaka ameamua kuisuka timu yake upya isiwe sababu ya mashindano. Wewe endelea na majukumu yako mengine; imetosha.
Bravo brother! Hekima ni amali kubwa hapa duniani na akhera pia.Mungu akutangulie!![]()
Muheshimiwa nape Moses anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.

Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
![]()
Muheshimiwa nape Moses anaatarajia kuongea na wanahabari leo, stay tuned Movie bado inaendelea.
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya