Du Bois ideas
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 427
- 83
Shangaa na wewe!!!
Wakati umefika wananchi tuache kumnyanyua mtanzania yeyote anaependa kujipandisha kwenye majukwaa kwa kutokuwa na hoja au maswala muhimu ya kujenga Taifa letu. Huyu mtanzania hakuna tofauti na kikwete alipokuwa akitafuta umaarufu kipindi cha Nyerere na yamekwenda wapi sasa? Kikwete hata kuongea hawezi, kuongoza hawezi, kurekebisha uchumi anatumia mikopo ya IMF na World Bank kama vile hii mikopo haitalipwa tena .... lini tutaacha kuwazungumiza hawa opportunists na wezi wa Taifa? Nape, January, Ridhiwan na hawa watoto wa mafisadi tunafikiri wapo tofauti na baba zao? Kama kuna mtanzania ameshaona tofauti basi atuonyeshe somewhere. They are killing us men and enough is enough.
Hii ni sehemu ya ripoti yake na nanukuu maneno yake...
"Mradi utakua na visima 10, na mpaka sasa visima 4 vimekwisha jengwa na kila kisima kina uwezo wa kutoa lita 200, 000 kwa saa. Mradi huu utakapokamilika utakua na uweo wa kutoa lita 8, 000 kwa siku wakati mahitaji ya maji ya mji wa singida ni lita 7,000 kwa siku."
Hoja yangu
Hata kwa akili ya kawaida tu bila hata kuwa na takwimu kutoka idara ya maji, lita 7000 kwa siku haziwezi kutosha mji wa singida hata kama ungekua na watu 7000 tu ambapo ina maana kila mtu angepata lita moja ya maji. Je hicho ni kiasi ambacho kinatosha kwa mahitaji haya ya binadamu anayeishi maisha ya kijima, ambaye hata msalani akienda hanawi mikono wala kutawadha. Nape kama ukipita hapa naomba utoe maelezo katika hili.
Chanzo MICHUZI: TAARIFA YA ZIARA YA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KATIKA MKOA WA SINGIDA ILIYOFANYIKA TAREHE 10-15/05/2011
NAWASILISHA
Nape ... are you a patriot or a parrot ....too much blah blahh blahhh
there are wrong calculations you are trying to do ..... the above testimony is completely lunatic and mimicking
first we will not believe the anti ufisadi war until you have the power to confiscate all the money and wealth that have been swindled by the said mafisad
what you are doing is a lenient undercover job to safeguard the said financial oligarchies of whom you can not dare to talk
i suppose that you could have been a smart boy by denying the propaganda job you have been given and continue with the DC role
Nape fanya vyote bt tambua sisi twahesabu siku tu, 90 zikiisha ujue utaaibika!
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.
Hili la kuwa patriot au parrot niwaachie watu waseme maana mti utambuliwe kwa matunda sio majani. Patriot wa kweli atambuliwekwa matendo sio maneno.kama ni mjadala naweza jadili matendo ya anayesemwa patriot au la.
la kutaifisha au kufilisi mali za watuhumiwa hili si la chama hili ni la serikali. kama chama tumesema na hapa narudia tunawajibisha wanachama wetu kisiaisa kwasababu sie ni chama cha siasa....ndo maana tukasisitiza hata bila ushahidi.unaweza kuwajibika.Kisiasa ushahidi wa mazingira unatosha kumwajibisha mwana siasa.Hatua za kisheria ni kazi ya serikali, ndo maana sisi katiba ya CCM...inasema wazi migogoro ya chama haipelekwi mahakamani...inashughulikiwa na vikao.
Hii ni sehemu ya ripoti yake na nanukuu maneno yake...
"Mradi utakua na visima 10, na mpaka sasa visima 4 vimekwisha jengwa na kila kisima kina uwezo wa kutoa lita 200, 000 kwa saa. Mradi huu utakapokamilika utakua na uweo wa kutoa lita 8, 000 kwa siku wakati mahitaji ya maji ya mji wa singida ni lita 7,000 kwa siku."
Hoja yangu
Hata kwa akili ya kawaida tu bila hata kuwa na takwimu kutoka idara ya maji, lita 7000 kwa siku haziwezi kutosha mji wa singida hata kama ungekua na watu 7000 tu ambapo ina maana kila mtu angepata lita moja ya maji. Je hicho ni kiasi ambacho kinatosha kwa mahitaji haya ya binadamu anayeishi maisha ya kijima, ambaye hata msalani akienda hanawi mikono wala kutawadha. Nape kama ukipita hapa naomba utoe maelezo katika hili.
Chanzo MICHUZI: TAARIFA YA ZIARA YA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KATIKA MKOA WA SINGIDA ILIYOFANYIKA TAREHE 10-15/05/2011
NAWASILISHA
Hili la kuwa patriot au parrot niwaachie watu waseme maana mti utambuliwe kwa matunda sio majani. Patriot wa kweli atambuliwekwa matendo sio maneno.kama ni mjadala naweza jadili matendo ya anayesemwa patriot au la.
la kutaifisha au kufilisi mali za watuhumiwa hili si la chama hili ni la serikali. kama chama tumesema na hapa narudia tunawajibisha wanachama wetu kisiaisa kwasababu sie ni chama cha siasa....ndo maana tukasisitiza hata bila ushahidi.unaweza kuwajibika.Kisiasa ushahidi wa mazingira unatosha kumwajibisha mwana siasa.Hatua za kisheria ni kazi ya serikali, ndo maana sisi katiba ya CCM...inasema wazi migogoro ya chama haipelekwi mahakamani...inashughulikiwa na vikao.
Wadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!
na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.
Sasa wewe kimekukasirisha nini? Kwa sababu ya Nape kusifiwa au kupondwa kwa Mpendazoe. Mbona nyie watu wengine ni stereotype hivi? Ulitegema dunia nzima imponde Nape kwa sababu wewe unamponda na vile vile ulitaka dunia nzima imsifie Mpendazoe, kwa lipi? Kujiunga na Chadema?
Khaaa!!!! Hawa wote si walikuwa CCJ, wanasiasa banaa all the brains are the sameWadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!
na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.
amejisifia kuwa kushinda Mahanga kule Segerera kwamba ni yeye ndiye aliibeba ile kampeni kwani anamjua vyema Mpendazoe.
Natumai atakuwa ameongea mengi kwani kipindi nimekikuta mwisho mwisho.
Wadau tuwekeni sawa bwan Kiyabo anatka kutuaminisha nini juu ya hawa aliowasemea?