Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Kwani ni maandamano gani yamefanywa kupinga harakati za kuwaondoa mafisadi???? Huyu jamaa mzima kweli au ameanza kulewa madaraka

Maandamano hayo sasa hivi yana lengo la kuwasahaulisha watanzania kuhusiana na maovu ya mapacha hao. Na ndiyo maana watalii hawazungumzi chochote kuhusu mapacha hao (wafadhili wao).
 
Hivi kaka utaendelea kutumika mpaka lini? kwa malipo gani haya yanayokufanya ukubali kuonekana kichekesho hivi? Jisikie aibu kidogo, wewe mtu mzima! Au nyie ndo mko lile kundi la Marando na Komu ambao wanadai kwamba Nape amekula hela za EPA halafu hawajaweka chochote hadharani. Maisha ya Marando yamekuwa yanaendeshwa na mafisadi, ndo maana walimkodia ndege kwenda kuchafua watu Tabora! Nape hawezi kutishwa na makelele ya watalii!

-Hivi sio wewe ndo unakubali kuwa kichekesho kwa kujifanya huoni uhalisia?
- Waliochafuliwa Tabora kumbe walikuwa wasafi kabla ya kuchafuliwa huko Tbr?
 
Vita ya maneno inayoendelea nchi nzima kutoak kila upande inachanga wengi, Slaa au mbowe hebu tuelezeni, hadema adui yenu mkubwa ni serikali ya CCM, hao wanaotuhumiwa ofisadi (RACHEL) au Nape
 
Vita ya maneno inayoendelea nchi nzima kutoak kila upande inachanga wengi, Slaa au mbowe hebu tuelezeni, hadema adui yenu mkubwa ni serikali ya CCM, hao wanaotuhumiwa ofisadi (RACHEL) au Nape

Hakuna chama cha hadema wewe! Ukitumwa uende ukiimba ili usije sahau.
 
Vita ya maneno inayoendelea nchi nzima kutoak kila upande inachanga wengi, Slaa au mbowe hebu tuelezeni, hadema adui yenu mkubwa ni serikali ya CCM, hao wanaotuhumiwa ofisadi (RACHEL) au Nape

usiku huu,jamani kama mna usingizi ukalale,..sio lazima kubonyeza keyboard huku umefumba macho mpaka unaandika pumba
 
Vita ya maneno inayoendelea nchi nzima kutoak kila upande inachanga wengi, Slaa au mbowe hebu tuelezeni, hadema adui yenu mkubwa ni serikali ya CCM, hao wanaotuhumiwa ofisadi (RACHEL) au Nape

Huwezi kupata majibu ya swali lako hilo. Lakini kwa wenye akili jibu liko bayana. The guys are guns for hire, operating at the behest of Mafisadi.
 
Hivi kaka utaendelea kutumika mpaka lini? kwa malipo gani haya yanayokufanya ukubali kuonekana kichekesho hivi? Jisikie aibu kidogo, wewe mtu mzima! Au nyie ndo mko lile kundi la Marando na Komu ambao wanadai kwamba Nape amekula hela za EPA halafu hawajaweka chochote hadharani. Maisha ya Marando yamekuwa yanaendeshwa na mafisadi, ndo maana walimkodia ndege kwenda kuchafua watu Tabora! Nape hawezi kutishwa na makelele ya watalii!
Mbopo una matatizo gani ndugu yangu? Kule kwenye thread yangu ya kuhusu mishahara umekimbia. Swali langu dogo tu. Nani Mkweli kati ya Nape na Mukama yupi anayesema ukweli? Situmiwi situmiki kama wewe. Mimi ni mtanzania, mwana Chadema, mtumishi wa Umma. Naandika haya kwa utashi wangu na kwa ka elimu kangu kadogo nilikojaaliwa kukapata. Naisakama CCM na Nape wake kwa sababu ya tabia yake ya kutufanya sisi kama wajinga. Kama unakerwa na hoja zetu mshauri JK aboreshe maisha yetu na asafishe chama chake sio kulia lia hapa, ebo!
 
nape anahangaika, white hair ameshaomba falagha na swaiba wake wameonga waliyoongea yeye anaendelea kubwabwaja tu,anadhani mwenyekiti bado msimamo wakeniuleulewa dodoma? au anafikiri urafiki wao ulianzia barabarani? nape ajiangalie mwenyekiti ameshaamgeuka aliyoyasema kikaoni ameyaacha kikaoni. mkweeree na whitehair ni damdam.
 
Maandamano hayo sasa hivi yana lengo la kuwasahaulisha watanzania kuhusiana na maovu ya mapacha hao. Na ndiyo maana watalii hawazungumzi chochote kuhusu mapacha hao (wafadhili wao).

Mkuu sasa umeenda over-board yaani hayo unayoyaita maovu ya hao mapacha yamesemwa mara ngapi na miaka mingapi na viongozi wa CHADEMA? Ni nani alikuwa akiwatetetea? Yaani mnataka kazi yenu ifanywe na CHADEMA? Si ni viongozi wenu including mwenyekiti wenu walisema huwezi kumuhukumu mtu kwa hisia mpaka ushahidi? Sasa huo ushahidi mmeupata lini?

Una haki ya kubeza, kutilia shaka kinachofanywa na viongozi wa Chadema, lakini kusema eti maandamano na mikutano ya chadema yana lengo la kuwasahaulisha watanzania kuhusu the so called mapacha watatu ambao chama chenu kimeendeleaa kuwakumbatia ni ukosefu wa hekima, busara na kufikiri. Mara nyingi umetuhumu watu kulipwa, guess what it seems you too have a price.
 
Mkuu Nyambala, huyo Mbopo hana habari kuwa ukitaka kumwua nyoka lazima umponde kichwa - hao wengine wanaotajwatajwa ni marugaruga tu wa FISADI MKUU. Huyo Nape na Mkama wake, wanachofanya ni kukilinda hicho kichwa na hiyo mbinu yao ya kutaka kuongopa kuhusu maficho halisi ya nyoka, imeshashtukiwa na Chadema. Kazi wanayofanya sasa Chadema ni kuhakikisha wanafyeka misitu na vichaka vyote vinavyoweza kutumiwa kama kificho hadi huyo nyoka abaki kweupee waweze kumponda kichwa. Safari hii kweli nyoka kapatikana !
 
Nape aidha ni mchovu wa kufikiri au ni msanii wa kiwango cha juu sana, hivi ina maana hajui kuwa hicho anachokiita ufisadi ndiyo oxygen ya CCM? Hivi nani mwenye ufahamu mzuri hapa tz ambaye hajui kuwa fedha za EPA ndiyo zinamfanya JK kula bata ikulu? Hivi nani asiyejua kuwa JK hana kauli mbele ya RA na EL? Nape usitufanye mabwege watz, fisadi na moja ni JK, na aking'oka yeye na timu yake mi narudi CCM.Kwa hali halisi sasa kuwang'oa mafisadi CCM ni sawa na kutaka ng'ombe dume atoe maziwa. Kwa heri mtoto wa mama.
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.

Bwana Nape, hao watuhumiwa ni kina nani hasa? Unaweza kuwataja kwa majina?
 
Nape is finished! very sad hata mimi nilidhania JK anania njema, kumbe ni kummaliza mtoto wake, cha msingi ni walau CCM wameonyesha kwao chao ni chama cha ki sultani, kama baba yako hakuwahi kuwa mtu huko huwzi chungulia, tazama ya Tambwe Hiza na wenzake, wameishia kulamba mwiko kama paka mwizi
 
Nyani Ngabu, hivi kweli leo wataka nitaje upya au sijaelewa swali lako? Si nyie ndo mnasema mapacha watatu na wanafahamika?

Kwa hiyo katika CCM nzima na serikali yake yote watuhumiwa ni watatu tu? You can't be serious!!!
 
Hii ni sehemu ya ripoti yake na nanukuu maneno yake...
"Mradi utakua na visima 10, na mpaka sasa visima 4 vimekwisha jengwa na kila kisima kina uwezo wa kutoa lita 200, 000 kwa saa. Mradi huu utakapokamilika utakua na uweo wa kutoa lita 8, 000 kwa siku wakati mahitaji ya maji ya mji wa singida ni lita 7,000 kwa siku."
Hoja yangu
Hata kwa akili ya kawaida tu bila hata kuwa na takwimu kutoka idara ya maji, lita 7000 kwa siku haziwezi kutosha mji wa singida hata kama ungekua na watu 7000 tu ambapo ina maana kila mtu angepata lita moja ya maji. Je hicho ni kiasi ambacho kinatosha kwa mahitaji haya ya binadamu anayeishi maisha ya kijima, ambaye hata msalani akienda hanawi mikono wala kutawadha. Nape kama ukipita hapa naomba utoe maelezo katika hili.
Chanzo MICHUZI: TAARIFA YA ZIARA YA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KATIKA MKOA WA SINGIDA ILIYOFANYIKA TAREHE 10-15/05/2011
NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom