Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 128
Shalom
Kwa maelezo yako inaonesha unajambo fulani muhimu ila kama ulivyosema time will tell, unaweza kufafanua kwenye bold maana Mpendazoe kasema walikuwa sita sasa hapa wewe umesema wamebaki 4 ina maana 1. Mpendazoe 2. Nape 3.Tingatinga ......4?.....5?......6?
Tinga tinga hakuwepo ndugu yangu huyo futa kabisa. Ukitoa hao wawili, kuna fully waziri mmoja na Naibu mwingine. mmoja hata ubunge hakupata na mwingine alisharudi kwa EL long time sasa ni mpiga debe wake.
Tinga tinga hana ubavu huo. hao wote walikuwa na nia ya kuukimbia ufisadi wakati tinga tinga yeye ni fisadi. Kali kuliko yote ni huyo ring leader aliye fyata ilikuwa ni siku ya majonzi sana Tanzania na Mbinguni pale mtu anayeonekana ni shujaa kumbe ni kunguru kabisa na akapoteza channel zote.
Hii move ilikuwa inaeleweka na chadema pia