Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Hii kweli itawezekana? Hao ndio watakimaliza zaidi

nape-1.jpg

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki kucheza ngoma ya Kinyatulu ya kufunda mgeni, kukundi cha ngoma hiyo kilipotumbuiza kwenye mkutano wa Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM taifa, uliofanyika katika Kijiji cha Mgori, Singida Vijijini.

nape-2.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, John Chiligati akisaidia kuchimba mtaro wa mambomba kwenye mradi wa maji wa Mwankoko utakaohudumia wakazi wa Singida mjini, juzi. Wanaoshuhudia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Juma Abdallah na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. (Picha na Mdau Nkoromo).

Hata mimi nimeipenda mkuu, Ukiangalia hii tthread nyuma utaona niligusia hiki kitu na sikujua kuwa mpendazoe ameshefyatuka. Nape ni mtu asiye makini kabisa kwa sababu ameacha fingerprint kila sehemu. Asingekuja kwa kasi CDM wasingemaliza kwani alikuwa afanye kazi moj akubwa sana kwa CDM kwa kutengeneza makundi CCM. lakini siasa ndiyo ilivyo hili limekuja pre mature sana na ndiyo maana hawataki kumaliza kila kitu. Amini usiamini CDM wana details nyingi sana na zingine alileta huyo huyo nape. Nape kama sio papala na urimbukeni wake angefanya kazi nzuri sana kwa chadema, kazi yao ingekuwa ni ku pick prey tu na kuioka. Any way inabidi ipatikane strategy ya kumrudisha kwenye line yake ya mwanzo. All in all kisiasa amekwisha kabisa ila ni kumrudisha kiaina tu. si ajabu tukaanza kumtetea hapa kama akionekana kama anaweza kuendeleza kazi lakini future yake kwishney

Mkuu unashangaza! Kama Nape alihusika na CCJ mwanzoni lakini wajinga kama Mpendazoe wakaikumbatia CCJ na kufa nayo, SO WHAT? Whether Nape at one point or another alimchangia Mpendazoe kuanzisha CCJ, does this justify kuua kampeni ya Nape dhidi ya Mafisadi akina EL, RA na Vijisenti simply because akiina Mpendazoe sasa wanatamba na mikutano na maandamano nchi nzima kwa ufadhili wa Rostam?

CHADEMA wamepotea kabisa, wameacha issues wanajadili watu; wanakimbilia udaku wa CCJ, mara NRA n.k. Songa mbele NAPE na hiyo crusade dhidi ya mafisadi wakisaidiwa na mamluki ndani ya CHADEMA; songa mbele kijana vita umeachiwa mwenyewe na waoga ndani ya CCM na mamluki ndani ya CHADEMA!
 
Unauhakika Chadema inachangiwa na Rostam au ndo kutapatapa kwenyewe baada ya Nape kuumbuliwa.
 
Unauhakika Chadema inachangiwa na Rostam au ndo kutapatapa kwenyewe baada ya Nape kuumbuliwa.

Nina uhakika 100%. Lakini si rahisi kwa mtu aliyelewa ushabiki wa vyama kuamini. Kosa wanalolifanya baadhi ya viongozi wapenda pesa ndani ya CHADEMA litakicost CHAMA hiki ambacho kilikuwa tegemeo la walalahoi for the next 50 years watoto wa nchi tutakapoamua kumwaga mchele hadharani. Ni aibu x 1,000,000!
 
Naona unaota ndugu yangu hizo soft stuff wapelekee watoto si watu wazima kama mimi.
 
unapomuta EL fisadi na kumruka JK hapo unakuwa muongo hao ni TWO BROTHERS , Baba wa taifa akifufuka leo naye hatakuambia connect dot ya kile unachotaka kuandika kabla ya kupost hapa
hao mapacha watatu hawawezi kuidhamini CHADEMA, maana waliyokwisha fanya CCM ni makubwa na wanaweza kulindwa na serikali tu sio vyama vya siasa.
na kwa taarifa yako siku huyo RA akimgeuka JK na kuingia chama chochote cha upinzania kuna mengi ambayo ujayasikia yanaweza kuimaliza ccm,
kama kweli wewe ni mpenda ccm bora huwe na heshima na huyo k....a
siku hakiwajeuka mtajuta hao ndio wameshika fungua za magogoni, yule Mkwereeeeeee ni picha tu pale na umma wote unajua hiyo ndio maana hata wewe unadhani anaweza kuinunua chadema maana kamnunualia ukuu wa kaya huyo MKWEREEEEE

Mkuu unashangaza! Kama Nape alihusika na CCJ mwanzoni lakini wajinga kama Mpendazoe wakaikumbatia CCJ na kufa nayo, SO WHAT? Whether Nape at one point or another alimchangia Mpendazoe kuanzisha CCJ, does this justify kuua kampeni ya Nape dhidi ya Mafisadi akina EL, RA na Vijisenti simply because akiina Mpendazoe sasa wanatamba na mikutano na maandamano nchi nzima kwa ufadhili wa Rostam?

CHADEMA wamepotea kabisa, wameacha issues wanajadili watu; wanakimbilia udaku wa CCJ, mara NRA n.k. Songa mbele NAPE na hiyo crusade dhidi ya mafisadi wakisaidiwa na mamluki ndani ya CHADEMA; songa mbele kijana vita umeachiwa mwenyewe na waoga ndani ya CCM na mamluki ndani ya CHADEMA!
 
Nyote ni wenye uchu na madaraka ndio maana hamjijui kisiasa mpo wapi; Mpendazoe hanasababu ya kuelewesha umma sasa hivi, kama Mpendazoe na wewe lengo lenu ili ni kutetea maslahi ya watanzania msingekuwa mnahangaika kuhama vyama kama machangudoa wanaotafuta wanaume kila kona, hamkupata nafasi ndani ya CCM naamini lengo lenu ilikuwa ni kumtumia Nape ili mfanikiwe malengo yenu kisiasa, vinginevyo mtanzania gani wa kawaida angemjua Mpendazoe? Kutokana na uchu wenu wa madaraka kisiasa mliingia mkenge huyo Nape hakuwa mshiriki wenu alikuwa hapo kuwa zuga tu CCM iliwateka kiakili; mmesahau CCM inajiendesha kimafia?Kumbuka CCM inatumia wanaccm kuua upinzani, mlichokuwa mnatafuta ni ruzuku, nenda mkawadanganye Mbamba Bay hapa Dar hamuwezi kusema upuuzi huo.

Chama
Gongo la Mboto DSM.

SIJUI NIKUITE KAKA AMA DADA LAKINI NWAY,NASHUKURU KWA BUSARA ZAKO NDUGU YANGU NA KUANDIKA LUGHA AMBAYO CDHANI KAMA NI SAHIHI LAKINI HAMANA SHIDA,uBARIKIWE SANA....
 
Mkuu ni kweli ninakukera sana, ....

Ndugu zangu, hebu tushindaje kwa hoja na kumbukeni sote ni ndugu kuna leo na kesho na kama sio sisi basi watoto wetu watakuja kukutana katika mazingira fulani sasa tukijenga chuki itakuwa sio vizuri...

Bwana Wiliam, najua wewe ni mtu mzima so ukiona kuna kuwa na namna ya lugha ambazo si nzuri, waswahili wanasema unapotezea... Kaka sote ni ndugu mkuu....Samahani kama nitakuwa nimewaingilia ila nimefanya hivi coz na mimi kuna mtu kazungumza lugha sio nzuri na kunifananisha na machangudoa wanaosubiri wanaume.Inauma lakini nafikiri maneno hayo yanaonyesha huyo ni mtu wa namna gani...

Mara nyingi nimekuwa nikisema kuwa tupingane kwa sera,tutoe au tujibu hoja na baada ya hapo tushikane mikono na tuijenge nchi yetu kwa pamoja....Kuwa kwetu upinzani c dhambi ila ni kiruhusu demokrasia ichue mkondo wake...
 
Ndugu zangu, hebu tushindaje kwa hoja na kumbukeni sote ni ndugu kuna leo na kesho na kama sio sisi basi watoto wetu watakuja kukutana katika mazingira fulani sasa tukijenga chuki itakuwa sio vizuri...

Bwana Wiliam, najua wewe ni mtu mzima so ukiona kuna kuwa na namna ya lugha ambazo si nzuri, waswahili wanasema unapotezea...Kaka sote ni ndugu mkuu....Samahani kama nitakuwa nimewaingilia ila nimefanya hivi coz na mimi kuna mtu kazungumza lugha sio nzuri na kunifananisha na machangudoa wanaosubiri wanaume.Inauma lakini nafikiri maneno hayo yanaonyesha huyo ni mtu wa namna gani...

Mara nyingi nimekuwa nikisema kuwa tupingane kwa sera,tutoe au tujibu hoja na baada ya hapo tushikane mikono na tuijenge nchi yetu kwa pamoja....Kuwa kwetu upinzani c dhambi ila ni kiruhusu demokrasia ichue mkondo wake...

Kama kuwa opposition si dhambi.. je.. kuwa CCM ni dhambi? Mbona wana-CCM wakijitokeza kutetea hoja wanapata personal attacks?
 
Kwenye FB anajibu eti maswali lakini haongelei Uchagga na Chadema i still see him as a bigot na hatakiwi kwenye society

I believe hiyo itakuwa kwenye katiba Mpya -- A bigot has no space in the society
 
Kuna mambo yanasikitisha na mengine yanaonesha kweli bado tuna matatizo makubwa sana.

Nape ni mwanzilishi wa CCJ
Mpendazoe ni mwanzilishi wa CCJ
Chadema ni waanzilishi wa CCJ
CCM ni waanzilishi wa CCJ
Mimi ni mwanzilishi wa CCJ - Katiba yao nilipitia na Ilani yao niliifanyia masahihisho mimi.

CCJ ilianzishwa kwa lengo moja na ikajikuta inafanya lengo jingine kabisa na ni wachache sana wanaojua hilo lengo jingine hata wale 6 wa CCM hawajajua walichofanya kuisaidia Chadema ishinde!

Go figure! Tukishakubaliana nani ni mwanzilishi na nani si mwanzilishi - kitu ambacho hakiitaji kuchukua muda sana tutajikuta bado tuna ishu zile zile zinatutazama. Tunapoteza nafasi kubwa iliyowekwa mbele yetu na historia kuhusu mjadala wa sera na mwelekeo wa taifa letu.
 
Well said mkuu. Na wala hakuna crime iliyokuwa commited except upendo na uzalendo wa kuona nchi inapata kile inachostahili!
Inabidi CCM na Chadema waache siasa za mipasho na ku-stick kwenye sera na maendeleo. Wananchi ndio wana-lose hapa.. sio hawa wanaopata ruzuku zinazotokana na jasho la walipa kodi!
 
Mkuu PJ,

Kila siku naendelea kumnukuu Napoleon Bonaparte.....Never interrupt your Enemy when he's making a mistake.

Walipojivua gamba tu,kabla hata hawajatoka katika chumba cha mkutano wao wa NEC nilishangilia,kwa kweli CCM ni dhaifu kuliko tunavyofikiria.Loh,vituko

Sawa mkuu,let him do the mistake thereafter mkosoe, ccm wanatapatapa,kama hadi nyaraka za chama wanashindwa kuzitunza itakua za mtu mmoja?
Wamefulia,nape hata gamba halitoki,kesha kolea na kashfa na kuteleza kwingi
 
Kuna mambo yanasikitisha na mengine yanaonesha kweli bado tuna matatizo makubwa sana.

Nape ni mwanzilishi wa CCJ
Mpendazoe ni mwanzilishi wa CCJ
Chadema ni waanzilishi wa CCJ
CCM ni waanzilishi wa CCJ
Mimi ni mwanzilishi wa CCJ - Katiba yao nilipitia na Ilani yao niliifanyia masahihisho mimi.

CCJ ilianzishwa kwa lengo moja na ikajikuta inafanya lengo jingine kabisa na ni wachache sana wanaojua hilo lengo jingine hata wale 6 wa CCM hawajajua walichofanya kuisaidia Chadema ishinde!

Go figure! Tukishakubaliana nani ni mwanzilishi na nani si mwanzilishi - kitu ambacho hakiitaji kuchukua muda sana tutajikuta bado tuna ishu zile zile zinatutazama. Tunapoteza nafasi kubwa iliyowekwa mbele yetu na historia kuhusu mjadala wa sera na mwelekeo wa taifa letu.

Watu lazima wawe wakali kwasababu ulii-pamba sana CCJ kipindi kile halafu haukutujulisha kwamba lengo lao limebadilika na wana lengo lingine...na ndio maana wachache wakajua na majority wakatoka kapa...kulikoni.
 
Well said mkuu. Na wala hakuna crime iliyokuwa commited except upendo na uzalendo wa kuona nchi inapata kile inachostahili!
Inabidi CCM na Chadema waache siasa za mipasho na ku-stick kwenye sera na maendeleo. Wananchi ndio wana-lose hapa.. sio hawa wanaopata ruzuku zinazotokana na jasho la walipa kodi!

I think hawa jamaa wa chadema wako very right and on the right track,pia hawa ccm nao wako very very right but in the wrong direction . . . !

What i mean is that,chadema wanafanya kisiasa zaidi,wanacho mtuhumu mtu sio maisha yake na watoto au na mke wake au hata mume wake,wao wanakupasha kisiasa na ndio siasa yenyewe,bila mambo kama hayo siasa haijakamilika, ni kuchafuana 'kisiasa' na kumharibia mpinzani. Tizameni skendo zilizokwisha ibuliwa zilivyowachafua na kuwadidimiza wanasiasa,so propaganda zikitumiwa kisiasa kama inavyotakiwa,inasaidia sana kumdhoofisha mpinzani.

This is what CHADEMA does . . . . !

CCM hawana uwezo wa kufanya mambo kma haya na ndio maana sera zao ni kutaka kupandikiza chuki dhidi ya wananch ambayo huenda ikazaa vita/umwagaji damu,kuwaambia watanzania kwamba chama flani ni cha kikabila,cha udini,na kufuatilia maisha ya mtu na mke au mpenzi wake naona ni kufilisika kisera na hata kufikia mwisho wa kufikiri . . !

CCM wajifunze kupashana kisiasa na sio kufuatilia flani jana kalala gues,oo juzi alikua na mke/mme wa flani,huo ni upuuzi na sio wa mtu wa miaka 50 kumweleza kijana minor (under 18).

Thats a snap this morning . . . . . . !
 
Naona unaota ndugu yangu hizo soft stuff wapelekee watoto si watu wazima kama mimi.

Mkuu usimshupalie Fataki kiasi hicho, information is power! Wahenga walisema usichokijua sawa na usiku wa kiza totoro, hivyo sikiliza halafu tafakari, usikurupuke maana anachokisema Fataki wengine tunakiri kuwa ni kweli to a large extent.

Laiti ungejua kuwa asilimia 85 ya magazeti yaliyokuwa yanawashughulikia wana CCM makini akiwemo Nape yalikuwa yanahaririwa ofisi za UVCCM na watumishi wa CCM akina Charles Charles na kwa maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM;

Laiti ungejua kuwa karibu asilimia 85 ya wagombea ubunge wa CHADEMA kwenye majimbo ya "wapambanaji dhidi ya ufisadi", walipata nguvu ya fedha toka kwa "mfadhili" na kiongozi mwandamizi wa CCM;

Laiti ungejua kuwa mpango huo uliridhiwa na uongozi wa juu wa CHADEMA kwa matumaini ya kupata majimbo zaidi halafu baadaye wawatose mafisadi;

Laiti ungejua kuwa Zitto Kabwe anaaminiwa zaidi na CCM kuliko anavyoaminiwa na CHADEMA kiasi cha uongozi wa juu wa CHADEMA kumnyima Zitto taarifa zote nyeti;

Laiti ungejua kuwa Lyatonga alimshinda Kimaro kwa msaada wa hali na mali wa Mweka Hazina wa CCM wakati huo Makala kwa maelekezo ya Makamba;

Laiti ungejua METL ilitumika sana wakati wa uchaguzi kutekeleza matakwa ya mafisadi kwa mabilioni ya pesa;

..... acha bwana hizi siasa nyepesi za ushabiki! Unadhani CHADEMA na CCM wanapata wapi fedha za kutumia helikopta mbili mbili kipindi chote cha kampeni? Wanakopa SACCOS?
 
Mkuu wala hakuna shida hapo.

Ninachokiona hapa ni Chadema sasa kuanza kucheza ngoma ya Nape na kumpa Nape sifa ya "mpambanaji aliyekuwa hajaridhishwa na mambo yalivyokuwa yanaendelea ndani ya CCM", hii itawapa zaidi hamasa wananchi ya kutaka kumsikiliza zaidi na kumwamini pale anaposema CCM inabadilika na sasa mafisadi hawana nafasi, itamsaidia sana hii publicity kujenga case yake ya CCM mpya iliyojivua gamba.

Hoja hii itawafanya wasio wanaCCM wamwamini zaidi anapozungumzia kubadilika kwa CCM na kuwapa mtazamo wa pili wale waliokuwa wamekatishwa tamaa na CCM kama alivyokuwa yeye sababu ya kurudi kundini.

Hii ni strength kwa Nape na wala sio weakness kama mnavyodhani, hii publicity ya Nape kama mtu aliyekuwa hajaridhishwa na mambo yalivyokuwa yanaenda ndani ya CCM inampa sasa opportunity nzuri ya kuwafikia wote waliokuwa wamekatishwa tamaa na CCM na ufisadi uliokuwa unaendelea.

Chadema walipaswa walione hili kabla majuto hajawa mjukuu.
So he goes public "...Yes mi ni mpambanaji nilitaka kuhama Chama kwa siri sasa nimetulia nimerudi...."
 
Watu lazima wawe wakali kwasababu ulii-pamba sana CCJ kipindi kile halafu haukutujulisha kwamba lengo lao limebadilika na wana lengo lingine...na ndio maana wachache wakajua na majority wakatoka kapa...kulikoni.

Niliwajulisha sana ila watu hawakuwa tayari kusoma kilichokuwepo walitaka kusikia kitu tofauti.
 
Back
Top Bottom