SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,974
- 75,056
Huyu Nape baba yake ni Profesa Mwand..... Mzee Mussa Nnauye alibambikiwa tu.Kwa msimshangae dogo kuropoka.
Nape Mnauye .... huyu si mkuu wa wilaya...hivi watu wa hiyo wilaya wapo wapi ...... hivi wilaya kama hii isipokuwa na maendeleo italalamika....? hivi ni wilaya gani hii na ina mchango gani katika pato la nchi kwa juhudi za mkuu wa wilaya .... vinginevyo hii wilaya ifutwe ifanywe kata ...sioni sababu ya wilaya kuongozwa na katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi
Chadema hakuna mafisadi,Nape anapoteza mjadala wa mapacha watatu kwa kuingiza chadema. Hajatuambia kama barua za mafisadi zimetoka au la.
Aaah Makupa!? Bado unatumika tu!? Unatumika hadi unakuwa kipofu. Kama mikutano ni gharama kubwa kwa nini asiache kuifanya na kupeleka maendeleo kwa wananchi!? Au gharama inaihusu cdm peke yao? Ni upuuzi kusema kuwa gharama kubwa wanayoitumia cdm kwenye mikutano wangeitumia kuleta maendeleo wakati nyie ndio mliopewa dhamana! Fungua akili yako usiwe mjinga!
Kwani ufisadi ni nini?
au ufisadi unakua ufisadi pale tu unapo kua unaongoza serikali?
Dr.Slaa alimtaja mangula aliye kua katibu mkuu wa ccm kama fisadi,
au naye pia alikua kiongozi wa serikali?
Tatizo sio kutaja,tatizo ni kuwa na uwezo wa kusimama na kutaja,..
naamini siku itaisha hajafanya kitu,ila wakitaja pia ni mwanza wa
chadema kuondoa magugu,..
kusema kwamba ufisadi wa ruzuku ndogo za chama sio ufisadi tuna jidanganya,...
hao unao waona mafisadi wadogo siku wakishika nchi na level ya ufisadi wao itaongezeka,..
It's time to make chadema clean for the take over,and we need some one outside chadema
to point out the weakness chadema has,...and the time is now.
Watanzania wenzangu,
Dr Slaa aliwahi kunukuliwa akisema mishahara ya Wabunge ni mikubwa sana haiendani na vipato halisi vya Watanzania walio wengi. Tukamshangilia sana humu. Leo tunaambiwa mshahara wake ni zaidi ya milioni7. Tunamtetea kwa nguvu zote. Tunamlaani na kumkejeli Nape. Ni kweli Dr Slaa kachangia pakubwa ruzuku ya sasa ya CHADEMA. Hili halihalalishi mshahara huu.
Labda ni kwa kuwa mkewe wa sasa anatarajia kujifungua! Kwa umri wa Dr Slaa kuzaa mtoto sasa ni shughuli pevu huko mbele.