Nape na mafisadi wa CHADEMA

Nape na mafisadi wa CHADEMA

Nadhani kuondoa mzizi wa fitina Nampe ataje mishahara wanayopokea viongozi waandamizi wa CCM, ili tuweze kulinganisha. Mana kwa mtazamo wake mtu kulipwa mshahara mkubwa ni ufisadi, basi atujuze yeye mwenyewe kama mkuu wa wilaya asiyekuwepo kwenye kitua chake cha kazi anapokea kiasi gani? Na viongozi wenzake...na pia atujuze Raisi naye anapokew kiasi gani kwa Mwezi
 
Chadema hakuna mafisadi,Nape anapoteza mjadala wa mapacha watatu kwa kuingiza chadema. Hajatuambia kama barua za mafisadi zimetoka au la.

Kijana naona umepofuka, ufisadi ni akifanya CCM tu? Hata kama mtajitetea kwa nguvu huo ndo ukweli, tatizo ni definition ya ufisadi ila trust me mkipata serikali viongozi wako watafanya hayo hayo. Mbona Mbowe hajakaa shangingi la mil200 kule bungeni? then Slaa anamvaa W/Mkuu kuwa anatembelea magari mazuri. Mbona la Mbowe halisemei? Huyu Dr. asipoangalia atakuwa kama akina Mrema, alisema sana sa hivi yuko wapi? Kemea ufisa na tenda kulingana na unavosema na si unafiki.
 
Ama kweli newala wamepata Dc kihiyo Nape,ndo huyu huyu Dc aliyemuamuru OCD amkamate mwanakijiji aliyeshindwa kulima shamba la mihogo,gamba dogo linalokua kwa kasii hana jipya huyu mtoto anajua kubwabwaja tuuuuuu!

DC ni mtendaji hivyo anatakiwa asiwe msemaji ovyo kama huyu bwana!
 
Kijana naona umepofuka, ufisadi ni akifanya CCM tu? Hata kama mtajitetea kwa nguvu huo ndo ukweli, tatizo ni definition ya ufisadi ila trust me mkipata serikali viongozi wako watafanya hayo hayo. Mbona Mbowe hajakaa shangingi la mil200 kule bungeni? then Slaa anamvaa W/Mkuu kuwa anatembelea magari mazuri. Mbona la Mbowe halisemei? Huyu Dr. asipoangalia atakuwa kama akina Mrema, alisema sana sa hivi yuko wapi? Kemea ufisa na tenda kulingana na unavosema na si unafiki.

Je Nini maana ya UFISADI?
Labda ukitoa definition itakuwa rahisi kuelewa kinachoongelewa.
 
Hili la barua za mafisadi si lenu CHADEMA. Lenu ni hili: Mnamlipa Dr Slaa sh milioni7 na nusu kwa mwezi? Dr Slaa ndiye Yaya Toure, Lionel Messi wenu? Katibu wako wa Jimbo la Ubungo analipwaje?

Unaweza kuwa ndiye Nape mwenyewe kwa hizi hoja zako...what is 7.5m na kazi anayoifanya....au waitamani uipate weye?
 
Unaweza kuwa ndiye Nape mwenyewe kwa hizi hoja zako...what is 7.5m na kazi anayoifanya....au waitamani uipate weye?
Mimi sio Nape. Simfahamu wala sijawahi kutana naye. Kwa nini Dr Slaa alipwe hivi? Kwa kutaja mafisadi? Mzee wetu Mengi analipwa na nani?
 
Alichokifanya Nape nakifananisha na Shoga mmoja aliyepanda Dala dala akawa anajisugua sugua kwa Mwanajeshi mmoja ambaye walikuwa wamepanda nae ili amvutie kimapenzi. Baada ya kuona kero ile yule Mwanajeshi kwa hasira akamtukana yule Shoga, ''Wee Mse...e nini!" Yule Shoga naye akaja juu na kupaza sauti, '' Aaah, sasa mbona tunatukaniana kazi zetu! Basi na wewe hiloooo, Limwanajenshi!''

Nape Jibu hoja na si kubakia Limwanajenshi hinloooo!!
 
Watanzania wenzangu,
Dr Slaa aliwahi kunukuliwa akisema mishahara ya Wabunge ni mikubwa sana haiendani na vipato halisi vya Watanzania walio wengi. Tukamshangilia sana humu. Leo tunaambiwa mshahara wake ni zaidi ya milioni7. Tunamtetea kwa nguvu zote. Tunamlaani na kumkejeli Nape. Ni kweli Dr Slaa kachangia pakubwa ruzuku ya sasa ya CHADEMA. Hili halihalalishi mshahara huu.
Labda ni kwa kuwa mkewe wa sasa anatarajia kujifungua! Kwa umri wa Dr Slaa kuzaa mtoto sasa ni shughuli pevu huko mbele.
Dr Slaa anafanya kazi zaidi ya hiyo pesa. Watu wengi tu kwenye mashirika wanalipwa pesa zaidi ya hiyo kwa sasa. Ni pesa ya kawaida kabisa. Nenda GGM, nenda makampuni makubwa ya benki, nenda kampuni za madini watu wanalipwa pesa zaidi ya 10M kwa mwezi na si kwamba ni ufisadi make kazi unayofanya ni sawa na hiyo pesa kampuni inatengeneza faida. Mi viongozi wa kampuni nilizowahi fanyia kazi wanalipa pesa zaidi ya hiyo mameneja. Dr haibi cha mtu anakula jasho lake halali. Kuna mtz hapa Geita aliyekuwa meneja wa kampuni ya umeme hapa alikuwa akilipwa mil 25 kwa mwezi na wala hana umuhimu kwa nchi kama Dr Slaa kulinganisha.
 
Azimio la Zanzibar limeletwa na wazee wako ili waifisadi nchi hii,wewe hushabikii tu ila una maslahi na kundi hilo.Mimi ni mwana CCM ila kwa ufahamu nilionao siwezi kushabikia ujinga wa kuita 7mil za Dr. ni ufisadi nikaacha mamillioni wanayokwiba ndani ya nchi yetu,Na pia mamilioni wanayomwagiwa wabunge kwa kazi hewa na kusinzia ovyo ovyo bungeni.Sitaki ushabiki usio na tija kwa taifa na watanzania kwa ujumla wake.CCm twende na wakati na Tujifunze Yanayotokea Duniani.Maana historia itatuhukumu. Byeeeeeeeeeeee😛ound:😛ound:😛ound:
 
nakubaliana na wewe wimbo wa fisadi ni mtamu tuuimbe mpaka uchaguzi mwingine ufike katu tusiache kuuimba fisadi fisadi fisadi mpaka wafe wote
Hatutachoka milele, kama wewe umechoka endelea kujadili mambo unayoona yanakufaa wewe!
 
kijana naona umepofuka, ufisadi ni akifanya ccm tu? Hata kama mtajitetea kwa nguvu huo ndo ukweli, tatizo ni definition ya ufisadi ila trust me mkipata serikali viongozi wako watafanya hayo hayo. Mbona mbowe hajakaa shangingi la mil200 kule bungeni? Then slaa anamvaa w/mkuu kuwa anatembelea magari mazuri. Mbona la mbowe halisemei? Huyu dr. Asipoangalia atakuwa kama akina mrema, alisema sana sa hivi yuko wapi? Kemea ufisa na tenda kulingana na unavosema na si unafiki.
wewe kilaza eeeh sasa ulitaka aikatae kama pinda halafu liende wapi!?? Mfumo unaruhusu hayo!
 
Kweli ccm mmeishiwa sera,mmetoa 'afadhali'mkaweka 'heri'wote wana maana moja au tuamini ccm hakuna viongozi?Siasa tunazotaka kusikia ni vp mtatupunguzia hali hii ngumu ya maisha(kupanda kwa gharama za maisha)wewe Nape unakuja na habari za mipasho!?,stupid.Jana tu nimeona shule moja ktk taarifa ya habari ITV ambapo vodacom walitiwa msaada wa madawati sbb wanafunzi walikuwa wakikaa chini,AIBU KWA SERIKALI YA ILIYOWEKWA MADARAKANI NA TUME YA UCHAGUZI)ni laana mnashindwa kupambana walau na haya Leo huyu mjingamjinga anajadili mshahara wa Dkt Slaa!!!?JWTZ na JKT wapo na pia misitu tunayo tungeweza kumaliza tatizo la madawati ktk shule zetu lkn hamfikirii hivyo kazi kuwaza madaraka tu.Raisi wa ccm ndugu Jakaya angalia siku wananchi watashindwa kuvumilia ujinga na wizi unaofanywa na Serikali yako "TUSILAUMIANE"
 
Azimio la Zanzibar limeletwa na wazee wako ili waifisadi nchi hii,wewe hushabikii tu ila una maslahi na kundi hilo.Mimi ni mwana CCM ila kwa ufahamu nilionao siwezi kushabikia ujinga wa kuita 7mil za Dr. ni ufisadi nikaacha mamillioni wanayokwiba ndani ya nchi yetu,Na pia mamilioni wanayomwagiwa wabunge kwa kazi hewa na kusinzia ovyo ovyo bungeni.Sitaki ushabiki usio na tija kwa taifa na watanzania kwa ujumla wake.CCm twende na wakati na Tujifunze Yanayotokea Duniani.Maana historia itatuhukumu. Byeeeeeeeeeeee😛ound:😛ound:😛ound:

pamoja na kutoa maneno mazuri lakini pia avatar yako kiboko
 
jana nilikuwa kwenye huo mkutano wa akina nape ilikuwa ni aibu tupu.hata diwani wetu anaweza kupata watu zaidi ya wale niliowaona pale singida.ukisema ccm hoyeee inabidi uitikie tena ili kuongeza sauti na maiki.
ccm kwishnei.
hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Dr Slaa anafanya kazi zaidi ya hiyo pesa. Watu wengi tu kwenye mashirika wanalipwa pesa zaidi ya hiyo kwa sasa. Ni pesa ya kawaida kabisa. Nenda GGM, nenda makampuni makubwa ya benki, nenda kampuni za madini watu wanalipwa pesa zaidi ya 10M kwa mwezi na si kwamba ni ufisadi make kazi unayofanya ni sawa na hiyo pesa kampuni inatengeneza faida. Mi viongozi wa kampuni nilizowahi fanyia kazi wanalipa pesa zaidi ya hiyo mameneja. Dr haibi cha mtu anakula jasho lake halali. Kuna mtz hapa Geita aliyekuwa meneja wa kampuni ya umeme hapa alikuwa akilipwa mil 25 kwa mwezi na wala hana umuhimu kwa nchi kama Dr Slaa kulinganisha.
Chama cha siasa masikini kama ilivyo CHADEMA hakiwezi kulinganishwa na migodi. CHADEMA kina miradi gani mbali ya RUZUKU?
 
Baba wa huyu kijana Nape alikuwa na busara sana akiwa serikalini, japokuwa ilikuwa enzi ya chama kimoja!...na inasemekana kuwa ndiye aliyetunga wimbo maarufu wa "Tanzania Tanzania, Nakupenda kwa Moyo Wote"!
Nashangaa kwanini huyu mwanae hajarithi kitu toka kwa babaye!
Ni bora ya Yusufu MAKAMBA kuliko mwanataarabu na kiduku huyu!
Mkuu PJ, huyu kakulia katika CCM nyingine sio ile ya babaye
 
Hii Nchi Inahitaji kukombolewa, Kukombolewa kutoka kwenye FIKRA ZA KIFISADI, MIKONONI MWA MAFISADI, na MAWAZO MGANDO YA CHAMA CHA MAFISADI. CCM Imedumaza fikra za watanzania wengi, Mitazamo yao ni kwamba CCM ndiyo chama pekee kinachodumisha AMANI!!!!, Wanasahau kuwa Amani ni Tunda la Upendo baina ya Watanzania.
Umefika wakati Watanzania tubadili Mtizamo wetu. Ufisadi nadni ya serikali ya CCM ni mwingi kuliko unavyofamika.Watanzania tuungane bila kujali itikadi tuikomboe nchi yetu. Na huyu Nape mnayemwita makini hana lolote zaidi ya kujitafutia ulaji.Anajipendekeza kwa kuuza maneno akitafuta kukubalika na watanzania, Kwa kuwa anajua nini Watanzania wanachukia kwa sasa? Hana jipya, Na si makini wala nini!
 
hivi bado analipwa mshahara na malupulupu ya DC?

huenda ni kweli manake sijasikia kajiuzulu au mtu mwingine kateuliwa mahali pake! sasa nini maana ya kuwajibika? huyu anawajibika saa ngapi kama DC? au anatumia simu/remote control? na likatiba letu hili hatuwezi kumwajibisha JK, jamani kweli watanzania tumenasa, sijui nani atatukwamua na matope haya mazito yenye magamba.

kwa kweli hapa duniani siasa za aina hii huenda zinapatikana tanzania pekee, halafu tunashangaa kwa nini hatpigi hatua kwenda mbele!

Yeye sasa ndio fisadi, mana anajipatia kipato bila kuwajibika. yeye anazunguka kupiga propaganda za CCM lakini nalipwa na Serekali kama mkuu wa wilaya, na bado anapokea hela ya CCM.....yeye ndio Fisadi. Tujulishwe anapokea kiasi gani, na kama analipwa allowances kwa kuzunguka nchi nzima.
 
aisee, NN sounds to me kama opposition party now. nadhani ni utabiri mzuri. ccm kuanza kupanda majukwaani na kuongea kama chama cha upinzani. nadhani tunahitaji ccm kuwa kweli chama cha upinzani. kitatusaidia sana kumnyoosha atakayekuwa anatawala!
 
Back
Top Bottom