Nape na mafisadi wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na mafisadi wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, May 11, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
  naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...

  update:
  inasemekana kumbe alicho ongelea chenyewe ni kile kile cha siku zote,...
  huyu mkuu atatueleza zaidi kilicho jili

  na huyu anareport hivi:

  Huyu ndio msemaji wa CCM au kuna mwingine tumngoje?
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kwani serikali ya CCM imewahi kuteuwa wanachama kutoka Chadema kuwa viongozi wa juu wa serikali na taasisi zake katika zile nafasi nyeti za kufanza ufisadi?

  Nape asituijie na mambo ya ruzuku ya vyama na kusema eti ndiyo ufisadi, au mambo ya mamilioni machache ambayo hayalingani na mabilioni ya ufisadi ndani ya CCM na serikali yake.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwani ufisadi ni nini?
  au ufisadi unakua ufisadi pale tu unapo kua unaongoza serikali?
  Dr.Slaa alimtaja mangula aliye kua katibu mkuu wa ccm kama fisadi,
  au naye pia alikua kiongozi wa serikali?

  Tatizo sio kutaja,tatizo ni kuwa na uwezo wa kusimama na kutaja,..
  naamini siku itaisha hajafanya kitu,ila wakitaja pia ni mwanza wa
  chadema kuondoa magugu,..
  kusema kwamba ufisadi wa ruzuku ndogo za chama sio ufisadi tuna jidanganya,...
  hao unao waona mafisadi wadogo siku wakishika nchi na level ya ufisadi wao itaongezeka,..

  It's time to make chadema clean for the take over,and we need some one outside chadema
  to point out the weakness chadema has,...and the time is now.
   
 4. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi:) ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).
   
 5. t

  tufikiri Senior Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ukilaza wewe. Ufisadi unaweza ukafanyika hata katika ngazi ya familia. Wewe unaongea ruzuku ambazo ni kodi za wavuja jasho kuwa ni ndogo tu, eti unataka mpaka mtu apewe vyeo vya juu Serikalini? Poor thinking capacity, hivi Rostam anacheo gani kikubwa Serikalini?
   
 6. C

  Chanya Senior Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waswahili tunasema kama unapigana ukapigwa kofi la uso likauma sana basi utaacha kupiga ngumi ujaribu na wewe umpe japo kofi moja na yeye aumie pasipo kujua kama ana uwezo wa kutopata madhara ya kofi lako na utapigika kweli CCM wamezidiwa mpaka wameita watoto wasaidie ngumi wapi? Sasa kilichopo wataanza kuvua mashati,kanga na suruali wapiganie maana ndo kawaida ya anayezidiwa na ngumi pole nape game tafu hi sawa na PACQUIAO(cdm) NA MANENO OSWARD(ccm) mtaweza wapi?
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hey ni kaka yako kasema hayo jombaaa,
  tena toka kwenye gazeti lenu la jamba leo sasa kama unawapinga shauri
  zako,chadema hawaogopi kusikia hiyo orodha,..ila wana isubiri ili kama ni kweli waifanyie
  kazi,go ahead

  Red mark : huo tena ni ufujaji wa pesa kwa kuajiri watu wengi kwa kazi inayo weza
  kufanywa na mtu mmoja,...
   
 8. Miya

  Miya JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 180
  Ufisadi wa rostam hauwagus ccm tu bali watanzania wote na mangula kahusishwa na pesa za Epa..Nape akiwataja mafisad wa Chadema atakuwa amewasaidia..ufisad ni ufisad tu haujalish umetendwa na nan..hajawataja tu mbona kachelewa?
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG]
  BAADA YA KUBWAGWA KWANYE MBIO ZA UBUNGE UBUNGO NN ALITAKA KUHAMIA CHADEMA KWA MASHART AKATOSWA ETI LEO YULE MKALI WA KIDUKU ANATAJA MASHUJAA WA CHADEMA
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  HII PICHA NDIO ILIYOMPANDISHA CHATI NA KUPEWA UKUU WA WILIYA MASASI,
  KUMBUKA THAT TIME ALIKUWA NA BIFU NA EL, WAKATI EL NI SWAIBA WA LUTEN MJK
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160

  Here we are. tumechoka na wimbo wa ufisadi, tubadilishe chorus, tufanye mambo ya msingi.
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu kauli zako ni za kuremba remba wewe ni vugu vugu na utufai katika jamii
  kuna nini kinaweza kuendelea katika jamii ya kitanzania leo, wakati kukiwa na hapo mapapa wanaotaka kumeza kila
  wanachokiona, kama NAPE na matukio ya kifisadi ndani ya chadema sio kosa kufanya hivyo,
  ila ukweli una baki wazi NAPE sio mtu makini hata kidogo, majuzi juzi alipita kila sehemu na ngonjera za mapacha watatu na kuwataja RACHEL kwa majina kwamba ni mafisadi.
  baada ya EL kumkoromea mkuu wa kaya kwamba kama huyo katibu wake mwenezi hataendelea na huo uvuvuzela wake juu yake basi naye EL atajibu mapigo kwa kumwaga ukweli,
  Nape amepigwa stop na yeye kwa matakwa ya cheo amenyamazishwa sasa anakuja na hii ngonjera yake.
  Mkuu kama kuna tatizo katika jamii tuliondoe kwanza na hiyo ni hekima, kuliko kufumbia macho mambo yanayokwamisha maendeleo kwa kujifanya tuko busy na shughuli za maendeleo.
  Ni hakika upendi vita dhidi ya ufisadi japo unazunguka zunguka kusema ukweli
  .


   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hiyo uniform inaniudhi sana wee jamaa
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hiyo ni kwa ccm tu, kwani TAKURUKU hawaruhusiwi kuchunguza vyama? au mwana -ccm unakili kwamba TAKURUKU ni aina nyingine ya mamlaka hewa kama EWURA

   
 15. p

  plawala JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama anayo hiyo orodha NN ailete,ufisadi ni ufisadi tu,hatujali umetendwa na nani
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  mKUU,
  Tuambie mwenzetu umepata wapi taarifa hizi, au hata kama chanzo ni wewe mwenyewe tujuze!

  In case list hii ikitajwa, basi itakuwa ni alarming bell kwa cdm ku'stick kwenye kile wanachohubiri kila siku kwa umma wa Watanzania!
  Lakini pia, tendo hili linaweza kumharibia sana Nape in case asipokuwa makini, na aka'miss-project! Ataonekana boya fulani lisilojua hasa anachotakiwa kukifanya kwa nafasi aliyopewa katika chama cha magamba!
  Namtakia kila la heri kijana huyu!
   
 17. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ama kweli hakuna mwenye nafuu CCM hata mmoja...badala ya kujibu hoja kwa hoja wao wanakuja na blah!blah!...hoja ya magamba na siku 90 haieleweki, mara wanakuja na hili la mafisadi wa CDM....Slaa aliwaambia anayeona kasingiziwa aende mahakamani wao badala ya kuwasupport waliosingiziwa ili wakisafisha chama wanapiga blah bhah tu
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hatutachoka milele, kama wewe umechoka endelea kujadili mambo unayoona yanakufaa wewe!
   
 19. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawawezi kitu hawa chadema ndio chaaguo la wengi .watajiju kama wamepoteza asilimia 20 ktk uchaguzi uliopita unategemea nini mwaka 2015?
   
 20. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mawazi ya zamani yalikuwa kam ya chedema hata mwalimu aliyavaa hayo,kwa hiyo msishangae 2015,tutashinda
   
Loading...