Nape na mafisadi wa CHADEMA

Nape na mafisadi wa CHADEMA

- Duh! hili taifa bwana, yaani sina hamu nasikia kuna uwezekano wa watu kuja kuishi planet ya Mars, cant wait!

FMEs!
 
Wilcard,kwan unataka dr.slaa alipwe sh.ngap?mshara ni makubaliano halal kati ya mwajir na mwajiliwa..aliyekwambia chadema masikin nan?
 
Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi🙂 ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).



Hakuna azimio la zanzibar!
 
Nape bora ungemaliza masters yako kwanza kuliko kukimbilia ccm na uzururaji. Unaorumbana nao wana elimu sio wewe uliyekimbia hata u-class lab na sasa umedisco hapo Mzumbe.
 
Nape akilicheza sindimba jana kabla ya kumlipua Dr (PHD) kama anavyodai.Kweli hii ni aina ya viongozi wa kuirudisha CCM kwenye mstari?? Tafakari.........
DSC04369.jpg
 
Nape akilicheza sindimba jana kabla ya kumlipua Dr (PHD) kama anavyodai.Kweli hii ni aina ya viongozi wa kuirudisha CCM kwenye mstari?? Tafakari.........
DSC04369.jpg

Duuh Dogo anajikumbusha mambo ya sun siro anapakata kwa nyuma si unaona anavyompiga jamaa jicho ili asimuwai kifaa chake😛ound:😛ound:
 
Nape akilicheza sindimba jana kabla ya kumlipua Dr (PHD) kama anavyodai.Kweli hii ni aina ya viongozi wa kuirudisha CCM kwenye mstari?? Tafakari.........
DSC04369.jpg

Dogo naona mambo yaliishaanza kwenda hewani!
 
Jamani tusaidieni na pic zingine za magamba, hakuna mtu wakutupatia??
 
ni fuso ya aina gani hiyo?haiingi akilini kabisa au wanamaanisha mil 50?
.
.
.
3. Sasa kaja kijana Nape Nnauye. Ameamua kubeba jukumu la kutetea familia ya fisadi aidha kwa makusudi au kwa kutotambua kuwa Mwenyekiti wake (Taifa) pamoja na familia yake ni fisadiz. Na yeye kaja na staili yake kuwavutia hadhara lakini sina hakika kama inasaidia au la.
Wadau nyie mnafikiria nini kuhusu legacy yake kama inavyoonekana katika hizi picha hapa chini?
 
Kwakweli hata mimi nimefurahishwa sana na hii picha. Muda mfupi tu kule kusini kindimba imemkolea. Amefurahi kweli. hapa hamna kitu, keshasahau siku tisini.:mod:
 
Nape akilicheza sindimba jana kabla ya kumlipua Dr (PHD) kama anavyodai.Kweli hii ni aina ya viongozi wa kuirudisha CCM kwenye mstari?? Tafakari.........
DSC04369.jpg
Huu ndio mkutano wa kiongozi wa kitaifa tulioambiwa mkubwa kweli CCM imefulia haina mvuto kwa wananchi watu ni kama wamelazimishwa kuja.
 
picha safi sana, muheshimiwa anakula mayenu kujisahaulisha shida za watanzania, hongera sana NAPE kula nchi muda ndiyo huu.

Swali: Mikutano mingi ya hawa jamaa lazima wapige mziki kwanza? nijuzeni mantiki yake hasa ni nini?
 
picha safi sana, muheshimiwa anakula mayenu kujisahaulisha shida za watanzania, hongera sana NAPE kula nchi muda ndiyo huu.<br />
<br />
Swali: Mikutano mingi ya hawa jamaa lazima wapige mziki kwanza? nijuzeni mantiki yake hasa ni nini?
<br />
<br />
Saa moja ina dk 60, na aziwezi pungua. Hawa waheshimika hawana hoja za kuunguruma mbele ya watu kwa muda wa dk 60 - non stop, ndo maana wanageuza mikutano kuwa kumbi za mirindimo ya pwani nk.
Unafikiri wangelikuwa na issue za kukata, wangeliutamani huo muda wautumie kuwaelimisha watu au kuweka mikakati ya kulisogeza taifa mbele kimaendeleo; waseme nini au wasome hotuba ipi, ili hali wako kwenye kiza!
 
Dr. Slaa na CHADEMA kwa Ujumla wanapambana dhidi ya Dhuluma na Umaskini wa Watanzania na Uma kwa Ujumla, Nape anapambana Dhidi Watetezi wa maskini ( Anapambana na Uma)

Hii Picha itakuwa na Mwisho Mtamu sana
 
Back
Top Bottom