Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Wangekuwa na uwezo wa kuingia kwenye Bongo za watu na kudelete hiyo kumbukumbu ya siku 90 wangesha fanya hivyo!Hivi siku 90 walizopewa magamba hazijaisha tu?
Mji wa Singida leo ulitekwa na CCM ndani ya Stendi ya Zamani ambapo Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa -CCM Nape Nnauye alitoa tuhuma mbali mbali zinazofanywa na Viongozi wakuu wa CHADEMA ndani ya Chama hicho na Kuelezea kuwa Viongozi hawa kwanza waangalie usafi wa Nyumba yao badala ya Kujinadi kwa usafi nje!
Jumla ya Wanachama 153 walirudisha Kadi za CHADEMA na bendera 87 za CHADEMA zilirudishwa! Ni pale mmoja wa walio rudisha bendera na Kadi za CHADEMA kukiri kuwa tangu ajiunge na CHADEMA amekuwa akiweweseka usiku na kujihisi ana ishi na kitu cha hatari ndani ya maisha yake kwani hata akigombana na majirani zake basi anajihisi kuandamana! Aliwavunja mbavu watu kwa kusema Chadema ni Chama cha Wahuni ambao hata Katibu wao Mkuu akiamanisha Dr Slaa hajaoa hadi leo na kusema kama mtu familia inamshinda kuishi na mwanamke ni ajabu kwa wanao mfuata kwani kwa Mila za Kiafirika Slaa bado anatakiwa asipewe siri za mambo ya nyumba hadi pale atakapo kua na kujitambua na kuoa!
Baada ya Mkutano huo vijana walizagaa mitaani na kuanza kushusha bendera zote za CHADEMA na kuharibu kila kitu chenye nembo ya CHADEMA. Kutokana na Uvunjifu huo wa amani polisi waliingilia kati na kuna vijana walikamatwa na hadi jioni walikua wameshikiliwa na polisi. Mkutano huu uliendelea huku kukiwa na mvua kubwa Mkoani Singida! Nape amesema Vijana wana haki ya kulinda Taifa na amani ya Nchi yao na kuendelea kuichagua CCM!
haijalishi gari chakavu ni chakavu tumagari machakavu au waliyochakaza wao kwenye kampeni
Hee!! Yaani ufisadi wa CDM ni mshahara wa Dr Slaa? Nape mbona unajizidishia kasi ktk kupoteza umaarufu wako? Nilikupenda ulipowatetemesha mafisadi wa jengo la UVCCM, sasa umesogezewa sahani pembeni na hao mafisadi wa mradi huo umeufyata wala huuzungumzii tena. Vijana wa UVCCM wanashangaa kitu gani kimekubadilisha?
Tumia akili bwana, mangula alikuwa katibu mkuu wa chama tawala bwana na alikuwa anaidhinisha kuchota pesa EPA siyo CCM.Kwani ufisadi ni nini?
au ufisadi unakua ufisadi pale tu unapo kua unaongoza serikali?
Dr.Slaa alimtaja mangula aliye kua katibu mkuu wa ccm kama fisadi,
au naye pia alikua kiongozi wa serikali?
Tatizo sio kutaja,tatizo ni kuwa na uwezo wa kusimama na kutaja,..
naamini siku itaisha hajafanya kitu,ila wakitaja pia ni mwanza wa
chadema kuondoa magugu,..
kusema kwamba ufisadi wa ruzuku ndogo za chama sio ufisadi tuna jidanganya,...
hao unao waona mafisadi wadogo siku wakishika nchi na level ya ufisadi wao itaongezeka,..
It's time to make chadema clean for the take over,and we need some one outside chadema
to point out the weakness chadema has,...and the time is now.
haijalishi gari chakavu ni chakavu tu
haijalishi gari chakavu ni chakavu tu