CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
Ulitaka atoke wapi?
Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
ktk, first place, Mbowe aliyanunua hayo magari akiwa na nia gani, kuyawekea majenerata, vipaza sauti, sehemu ya kuhutubia? Nafikiri kama chama kingekuwa kina wazo hilo na hakina fedha kingemkopa mwenyekiti fedha toka mwanzo.
Ni nini kilichomsukuma Mbowe anunue fuso, ayajengee majukwaa, ayajenge sehem ya kubeba mapipa ya helkopita, majenerata, vipaza sauti nk?
Eti kamati kuu ilimwomba mbowe, mwenyekiti wa kamati kuu ni mbowe akamwomba mbowe wa malori. Ha ha ha ha ha
Tuletee full list ya Kamati Kuu na Baraza Kuu tulinganishe. Hawa ndo haswa wenye CHAMA na wenye maamuzi ya mwisho, si sekretarieti. Sekretariet ni vijana wa kazi wanaofanya kazi walizotumwa na bosi ambaye ni KAMATI KUU na BARAZA KUU.
BADO DAMU YA UCHAGA INANUKA NDANI YA CHADEMA.
Wadau,kuiacha kauli ya katibu mwenezi wa CCM bwana Nape Nnauye ipite bila kukemewa na kuichunguza kwa kina,itakuja kuleta madhara makubwa sana huko baadae.Niwakumbushe wale ambao hawakumbuki alichosema kiongozi huyo mkubwa tuu katika chama tawala.Alisema kwamba hajawahi kutaka wala hatataka kujiunga na Chadema kwa kuwa yeye si mchagga.Hapa tujiulize maswali yafuatayo:
1.Je wote waliopo Chadema ni wachagga?
2.Wachagga tuliopo vyama vingine kama CCM tumepotea njia?
3.Vyama vingine si kwa ajili ya wachagga?
4.Makabila mengine yaliyopo Chadema nao waondoke?
Ingawaje mimi sio msemaji wa Wachagga,lakini binafsi kama mchagga ninachukizwa,kusikitishwa na kujiuliza weledi wa hawa wanasiasa uko wapi?
Kibaya zaidi hizi ni kauli za siku nyingi zinazotolewa na viongozi wa kisiasa hasa chama tawala wengine wakiwa na nyadhifa kubwa tuu serikalini.Tujiulize;Kwanini wasikipe onyo au kukifuta?
Katika kiswahili tunaambiwa kuwa lisemwalo lipo na kama halipo lipo nyuma laja.
Mimi nasema kama waliopewa mamlaka ya kusimamia vyama vya siasa na wanasiasa wasipochukulia kauli hizi kwa uzito unaostahili na kuchukua hatua mara moja kwenye haya mambo ya ukabila na udini;kuna siku WACHAGGA tutahama kutoka chama tawala na nyadhifa zetu serikalini na kuhamia CHADEMA ili falsafa yao ikamilike.
Sikupendezwa na kauli za nape kusimama majukwaani na kuubili ukabila, hii ni mbaya kwa Tanzania nahisi viongozi wakuu watakuwa wamamuonya. Propaganda hazifanywi kwa kushutumu hisia za watu, Mimi ni mchaga ina maana kwa kauli yao niame kwenye chama chetu??
Sisi wachaga tumezaa na makabila mengi hapa tanzania ina maana na wenyewe waame? Nape hacha utoto huu katika siasa, Jenga chama na sio kutuaribia chama
Ukichezea hisia za mtu anaweza kukujeruhi au kukuuwa, wewe unajisikiaje ukitembelea sehemu ambazo ziko wachaga wa ccm? unajirinje?
Nakupa ushauri
Tujengee chama chetu 2015 tushike dola
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Bariki Makabila yote
Mungu mbariki Raisi wetu
wahame serikalini....labda wengine tutapata kazi huko....waache kazi serikalini(TRA) labda tutapata kazi na sisi......n amadili yatapungua ...kwanza huomba rushwa bila aibu....tokeni mchana kweupe tokeni tutanufaika....!