Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Inaniuma sana kuona Watanzania tunabaguana kwa kigezo cha Udini au ukabila. Zilianza siasa za chinichini kwa wana-ccm kueneza propaganda za ukabila na udini dhidi ya Chadema, sasa viongozi wake wamenza kujitokeza na kutangaza hadharani ubaguzi, na kuwagawa watanzania kwa misingi ya ukabila. Mwal. Nyerere alianzisha TANU, lakini Watanganyika hawakukipokea kama chama cha Ki-zanaki!! Kwasababu dhambi ya ubaguzi Haikuwepo. Kauli hii sikutaraji itoke kwa kiongozi mkubwa kama Nape, kiongozi anayeheshimika na watu wengi lakini anatenda dhambi ya ubaguzi! Huyu ni mbaguzi, na ndo maana kafuatilia makabila ya viongozi na wanachama wa CDM na kugundua kuwa ni Wachaga. Binafsi mimi sijui na wala sijawahi kufuatilia makabila ya viongozi wa chama chochote kile. Nape anafanya dhambi kubwa ambayo hata muasisi wa chama chake Mwl. Nyerere aliipinga vikali. Kama yeye ni kiongozi makini, basi na aipime hii kauli yake na achukue hatua!
Sitaki kuamini kama wengi wasemavyo kwamba, Nape karithi gamba lililovuliwa na Makamba yaani "Kuropoka"
 
Nape ni limbukeni kwanza hajui depth ya wachaga katika nchi hii. namuasa "akicheza ata perish kisiasa very soon. Namshauri afanye research ya chaggas kwenye nchi hii apate ufaham kwanza.
 
Yahani hawa ccm wanamatatizo kweli, baada ya kushughulikia matatizo ya kiuchumi na kuboresha maisha ya wananchi wao jicho lao liko chadema tu. cuf waliichafua kwa udini na sasa chadema, sasa sisi tunasema nenda uendako tembo cement ni kiboko yao. acha wawabwabwaje na 2015 tutawapima kwa walichokifanya.
 
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!
Sekretariati ya CHADEMA​

Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
slaa_sk.jpg

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zito_sk.jpg

hamad_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz

Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
komu_sk.jpg

sk_mrema.jpg

Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz

Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
tumbo_sk.jpg

msafi_sk.jpg

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz

Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
john_sk.jpg

ben_sk.jpg

Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz

Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
lissu_sk.jpg

sk_jumbe.jpg

Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz

Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzi_sk.jpg

ali_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
regia_sk.jpg

mhon2_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
mdee_sk.jpg

sk_dadi.jpg

Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz

Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
sabula_sk.jpg

blank.gif

Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara
Mkuu Uchaga Chadema ndio dhambi inayowatafuna, ebu tuwekee na majina ya Wabunge viti maalumu wa Chadema tuone Wachaga walivyojazana mpaka aibu
 
Nape Nape Nape! Moja ya hotuba nzuri sana ya hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni ile aliyoitoa Kilimanjaro Hotel mwaka 1995 na kuzungumza sana juu ya ukabila, udini, Uzanzibari na Uzanzibara. Nakumbuka Mwalimu alisema mtu aliyefilisika sera kichwani, atatafuta uhalali kwa kutumia ukabila, ukanda, mkoa nk. Mambo haya yote aliyoyasema Mwalimu sasa yanatokea ndani ya chama alichokiasisi na yanafanywa na makada wa CCM waliofilisika sera. Hawa makada muflis badala ya kutatua matatizo ya wananchi wasiomudu kujipatia mahitaji ya kila siku wanazunguka nchi nzima kisa wametishwa na hoja za Ako Dr. Slaa na wenzake. Sasa CCN inaonyesha hadharani kwamba wao ndio wenye kuupalilia udini, ukabila na ubaguzi wa kila namna. These are scared cats! Let them keep on whining like little kids. Umma utawahukumu na hukumu haiko mbali. Watanzania wa leo siyo wale wa kudanganywa wanasikia, wanaona na watatoa hukumu.
 
ktk, first place, Mbowe aliyanunua hayo magari akiwa na nia gani, kuyawekea majenerata, vipaza sauti, sehemu ya kuhutubia? Nafikiri kama chama kingekuwa kina wazo hilo na hakina fedha kingemkopa mwenyekiti fedha toka mwanzo.

Ni nini kilichomsukuma Mbowe anunue fuso, ayajengee majukwaa, ayajenge sehem ya kubeba mapipa ya helkopita, majenerata, vipaza sauti nk?
Eti kamati kuu ilimwomba mbowe, mwenyekiti wa kamati kuu ni mbowe akamwomba mbowe wa malori. Ha ha ha ha ha
 
Haihitaji kwenda shule kujua kuwa plan yake ilikuwa ni kuiuzia Chadema, huu ni mchezo wa kuigiza kweli!!
 
ktk, first place, Mbowe aliyanunua hayo magari akiwa na nia gani, kuyawekea majenerata, vipaza sauti, sehemu ya kuhutubia? Nafikiri kama chama kingekuwa kina wazo hilo na hakina fedha kingemkopa mwenyekiti fedha toka mwanzo.

Ni nini kilichomsukuma Mbowe anunue fuso, ayajengee majukwaa, ayajenge sehem ya kubeba mapipa ya helkopita, majenerata, vipaza sauti nk?
Eti kamati kuu ilimwomba mbowe, mwenyekiti wa kamati kuu ni mbowe akamwomba mbowe wa malori. Ha ha ha ha ha
Mkuu wangu labda bado mimi sijakuelewa wewe.. Nachoelewa mimi Mbowe aliyanunua haya magari yakiwa mapya, na yametumiwa na Chadema kwa muda wote hadi sasa, hivyo imefikia wakati chama inaweza kuyanunua na kubadilisha Ownership ndio imekuwa ufisadi lakini sio ule wa chama kuyatumia hadi kuyachakaza..Na kama huku sio kukopa kuna kukopa gani zaidi ya kilichotokea..au Mbowe ni financial institution kwako!

Iweje leo watu mnadandia taratibu hizi za chama hata kama toka mwanzo haikuwa biashara baina ya Mbowe na Chadema? Siku Chadema inayatumia haya malori mapya ndio ungekuwa vizuri sana kama mngeanza ku raise issue hii kwa kuhoji Chadema kuyatumia magari haya pasipo kuyanunua.. na kwa nini msimsifie Mbowe kwa kukiachia chama kiyatumie magari hayo yakiwa mapya kwa muda wote isipokuwa leo ambapo chama kinabadilisha ownership ya magari hayo kutoka kwa Mbowe ndio Ufisadi uwe issue?..

Na Ufisadi wenyewe haswa ni upi kununua magari chakavu hata kama yamechakwazwa na chama chenyewe? au kwa sababu Mbowe ndiye aliyanunua akayaweka vipaza sauti na kadhalika hali akijua wazi chama anachokiongoza kinahitaji magari isipokuwa uwezo wake mdogo na swala hili limekuwa likizungumziwa kwa miaka..

Leo hii Chadema na wanachama wake wamekuwa wakizungumzia sana TV station na radio lakini uwezekano wa kupata vitu hivi sii rahisi kwa chama kwa sababu mnajua fika kwamba CCM hawataruhusu kirahisi. Sasa Kama wewe MkamaP, unaweza kuchangia ktk hili iwe umeplan au vyovyote vile nunua wape chama wavitumie kwa miaka kisha uwezekano unapojitokeza nina hakika watanunua mitambo yako. Ni swala la makubaliano maadam kinachotakiwa ni kamati zipitishe mauzo hayo kulingana na umuhimu wa vyombo hivyo..Miaka ya nyuma Chadema haikuwa na uwezo kifedha, leo hii inaweza kumudu mambo mengi sana lakini bado yapo matatizo ambayo wewe unaweza kuchangia pia.
 
Nape ni Janga la Taifa !

NAPE NI JANGA LA KITAIFA
Huyu jamaa hana lolote. Yupo tayari kusema lolote ili mradi uroho wake wa madaraka unalindwa !

Kama siyo uchu wa madaraka, Nape atuambie kwanini alipoona hana ulaji CCM akaanza mbinu za chini chini za kujiunga na CCJ. Huko nako chama kilipokosa usajili akainyemelea CDM
kuomba madaraka na hasa akitaka apendekezwe kugombea Ubunge Ubungo ??? Baada ya kuonekana hana sifa kumshinda Mnyika na kukataliwa, akarudi kimya kimya CCM kujikomba kwa Kikwete. .... Mwa mfululizo wa matukio yote haya unaona wazi kwamba Leo hii kelele anazozipiga ni za kiushabiki zaidi. Ajenda yake ni UCHU WA MADARAKA NA ULAJI zaidi na siyo kitu kingine.

Huyu naye ni mmoja tu wa wezi ndani ya CCM. Mbona naye ni mmoja tu wa waliofaidika na wizi wa EPA ??? Kama anabisha aseme hapa nasi tutaanika vielelezo vyote.
 
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!
Sekretariati ya CHADEMA​

Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
slaa_sk.jpg

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zito_sk.jpg

hamad_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz

Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
komu_sk.jpg

sk_mrema.jpg

Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz

Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
tumbo_sk.jpg

msafi_sk.jpg

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz

Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
john_sk.jpg

ben_sk.jpg

Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz

Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
lissu_sk.jpg

sk_jumbe.jpg

Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz

Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzi_sk.jpg

ali_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
regia_sk.jpg

mhon2_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
mdee_sk.jpg

sk_dadi.jpg

Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz

Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
sabula_sk.jpg

blank.gif

Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara

Jamani kwanini mnahangaishwa na vichwa vya kuku. Kila siku ushahidi unatolewa hapa JF kama mahakamani. Huwezi kumtosheleza kuku anayetaka kutaga, ngoja 2015 tumtagishe.
 
William Malecela ni voyeur. Una skia raha sana kuwachungulia chadema? yes na barua yako ninayo copy niiweke hapa?

Majibu haya ni kibishoo tafadhali weka hiyo barua hapa tuijue wengine. tumechoka kuwasoma!!
 
Mkuu wangu labda bado mimi sijakuelewa wewe.. Nachoelewa mimi Mbowe aliyanunua haya magari yakiwa mapya, na yametumiwa na Chadema kwa muda wote hadi sasa, hivyo imefikia wakati chama inaweza kuyanunua na kubadilisha Ownership ndio imekuwa ufisadi lakini sio ule wa chama kuyatumia hadi kuyachakaza..Na kama huku sio kukopa kuna kukopa gani zaidi ya kilichotokea..au Mbowe ni financial institution kwako!

Iweje leo watu mnadandia taratibu hizi za chama hata kama toka mwanzo haikuwa biashara baina ya Mbowe na Chadema? Siku Chadema inayatumia haya malori mapya ndio ungekuwa vizuri sana kama mngeanza ku raise issue hii kwa kuhoji Chadema kuyatumia magari haya pasipo kuyanunua.. na kwa nini msimsifie Mbowe kwa kukiachia chama kiyatumie magari hayo yakiwa mapya kwa muda wote isipokuwa leo ambapo chama kinabadilisha ownership ya magari hayo kutoka kwa Mbowe ndio Ufisadi uwe issue?..

Na Ufisadi wenyewe haswa ni upi kununua magari chakavu hata kama yamechakwazwa na chama chenyewe? au kwa sababu Mbowe ndiye aliyanunua akayaweka vipaza sauti na kadhalika hali akijua wazi chama anachokiongoza kinahitaji magari isipokuwa uwezo wake mdogo na swala hili limekuwa likizungumziwa kwa miaka..

Leo hii Chadema na wanachama wake wamekuwa wakizungumzia sana TV station na radio lakini uwezekano wa kupata vitu hivi sii rahisi kwa chama kwa sababu mnajua fika kwamba CCM hawataruhusu kirahisi. Sasa Kama wewe MkamaP, unaweza kuchangia ktk hili iwe umeplan au vyovyote vile nunua wape chama wavitumie kwa miaka kisha uwezekano unapojitokeza nina hakika watanunua mitambo yako. Ni swala la makubaliano maadam kinachotakiwa ni kamati zipitishe mauzo hayo kulingana na umuhimu wa vyombo hivyo..Miaka ya nyuma Chadema haikuwa na uwezo kifedha, leo hii inaweza kumudu mambo mengi sana lakini bado yapo matatizo ambayo wewe unaweza kuchangia pia.

Kwanini akina Zitto walikuwa wanapinga kuyanunua? Ingelikuwa hivyo sifikiri kama ndani ya chama wangepinga. Na hata hivyo kama waliyanunua mapya na kutumika tangu mwanzo kwanini chama hakikugharamika kununua vifaa vyote kama magenerata, vipaza sauti nk.

Na kama hawakuwa na fedha wangemkopa hizo fedha tangu mwanzo wakanunua kama chama, na kurudisha deni. Tuache bwana kuzugana. Aliyawapa akiwategeshea mtego ili baadae wasiruke. Ukiwa unalowa samaki lazima ktk ile dowana uweke chambo kuizunguka dowana.

Zaidi ya milioni 600 kwa lori tatu ni wizi wa mchana kweupe
 
Brilliant! Sisi tumejua kwamba kuna kuhitilafiana kupitia kwa wajumbe wenyewe. Kukosekana kwa unanimity katika kuliamua hili jambo, hasa ukizingatia waliopinga ndiyo hasa think tanks za Chadema (Baregu, Kitilla Mkumbo na Zitto), unapata picha kwamba kuna jambo kubwa hapa ambalo linafunikwa chini ya carpet lakini kuna siku tena hivi karibuni wale waliokaa kimya watapaza sauti na kutuambia yaliyo ndani na hayajawekwa wazi. This is a black spot and Chadema would be naive to brush it aside.
 
Kwanini akina Zitto walikuwa wanapinga kuyanunua? Ingelikuwa hivyo sifikiri kama ndani ya chama wangepinga. Na hata hivyo kama waliyanunua mapya na kutumika tangu mwanzo kwanini chama hakikugharamika kununua vifaa vyote kama magenerata, vipaza sauti nk.

Na kama hawakuwa na fedha wangemkopa hizo fedha tangu mwanzo wakanunua kama chama, na kurudisha deni. Tuache bwana kuzugana. Aliyawapa akiwategeshea mtego ili baadae wasiruke. Ukiwa unalowa samaki lazima ktk ile dowana uweke chambo kuizunguka dowana.

Zaidi ya milioni 600 kwa lori tatu ni wizi wa mchana kweupe
Nilisema ni nitaendelea kusema kwamba ni muhimu zaidi mimi na wewe tupate maelezo kamili ya hili saga kuweza kulizungumzia ipaswavyo kwa sababu tunaganga njaa tu hapa..

Kwanza sina hakika kama kina Zitto walipinga manunuzi ya magari haya ambayo chama imekuwa ikiyatumia au kuna hoja mpya ya kununua magari mengine chakavu kutoka India ambayo Dr.Slaa anahusishwa kama kamati ingepitisha manunuzi yake..Na hata kama ni haya haya binafsi hata mimi kama ningekuwepo ktk vikao vya Chadema ningechukua mkondo wowote ule baada ya kipima mahitaji, gharama na uimara wa vyombo hivyo ukilinganisha na market value..

Ufisadi hauwezi kutokana na mwenyekiti kuwauzia chama magari yale isipokuwa kama kuna upotozefu wa fedha au matumizi mabaya ya fedha hivyo sielewi kwa nini Zitto na wengine walipinga manunuzi hayo na wao walikuja na option gani against kwa sababu Wadanganyika tuna tabia ya kupinga tu ili mradi kupinga kwa sababu picha haziendi au hofu ya Mbowe kukiteka chama kwa sababu ya fedha yake..

Lakini pia hawa hawa ni wazito kutoa fedha zao mifukoni inapofikia swala la kujitolea kwa malipo ya baadaye, hivyo Mbowe anaweza kuwa mchagga na mshenzi kama mnavyomwita lakini nia yake inajionyesha wazi ktk ujenzi wa chama na hakika hakuna Mchagga ambaye anakubali kazi ya kanisa. Ni lazima fedha zake anazowekeza ktk chama zirudi wakati huo huo zinaleta matunda ambayo leo hii Chadema inajivunia..Kwetu sisi tusiokuwa wachagga hata kuitoa hiyo fedha ni kitu hakiwezekani kwani wazito sana kuwekeza isipokuwa majungu watupu.

Hakuna sababu ya mimi na wewe kuzugana, Mbowe atabakia Mbowe na pengine ndio sababu anafanikiwa ktk biashara na maisha yake kwani yupo tayari ku risk fedha zake kwa malengo makubwa zaidi wakati mijmi na wewe kazi yetu kusema sana hali tukihesabia mitaji yetu mifukoni..Na tofauti hizi ndizo zinatufanya mimi na wewe kutokuwa pia viongozi bora ktk ujenzi wa Taifa hili..Tofauti kati ya Mbowe na JK ambaye huchuma kutoka ktk mtaji wa Taifa kujinufaisha yeye na utawala wake.

Mwisho umezungumzia kwamba kwa nini chama kisimkope yeye kwanza kisha kuyanunua, sijui kama unaelewa kwamba hawa hawa wanaopinga leo manunuzi hayo ndio wangepinga chama kumkopa Mbowe in the first place ili kununua magari ambayo hawajayaona wala kuona faida zake. Ni vigumu sana kwa Chadema kufikia maamuzi ya manunuzi wakati hawana fedha na pengine niseme ni vigumu sana kwa mtu yeyote kukopesha fedha kwa manunuzi ya kitu ambacho hujui faida zake ila kwa kuhadithiwa.

Hata matumizi ya helikopta, sisi wote hapa tuliyapinga na kama unakumbuka ni hawa hawa kina Mbowe walikuwa wakijitolea fedha zao na wapo watu walipinga matumizi haya na kama sikosei wakaitwa mafisadi. Lakini baada ya kuona faida zake CCM nao wakadandia matumizi ya helkopta tena sii moja wala mbili wakiziazima toka South kwa bei kubwa zaidi ya ile ya Chadema na sikusikia mtu akisema ni ufisadi..CCM wakatumia hadi ndege za taifa magari ya wizara na kadhalika yote haya hayakuwa ufisadi isipokuwa pale Mbowe alipotaka kurudishiwa fedha alizotumia..

Mkuu wangu nitarudia tena, mimi na wewe tupime marejeo ya matumizi ya fedha na kuangalia faida zake, gharama iliyotumika against mavuno hata kama sii ya fedha kwa sababu wapo watu wanamlaumu Nyerere kwa kukopa sana akijenga viwanda na miundombinu ambayo havikuonyesha cash flow inayoingia zaidi ya mikopo hiyo na kuja msifia Mkapa aliyetumia viwanda na miundombinu hiyo hiyo kukuza uchumi wetu hali thamani ya fedha yetu ikishuka kwa kasi ya ajabu..

Mbowe sio financial insitution ambaye atawakopa chama ati wamrudishie baadaye, hapana mjanja yeyote atahakikisha bado magari yapo chini ya jina lake hadi fedha zitakapolipwa.. Leo hii wewe nikija kopa gari lako huwezi kunipa gari nikabadilisha na jina ati nitakulipa baadaye.. Hey wenyewe mmesema Mbowe ni Mchagga basi jua huyo Mchagga katangulia mkuu wangu hawezi kuingia mkenge huo..
 
Tatizo kamati kuu mwenyekiti mbowe ndiye aliyemuomba mbowe mumiliki wa magari.Kichekesho sana. Yeye kamati kuu yani mwenyekiti wa chama hakutambua tangu mwanzo kwamba kunahitajika vifaa hivyo?

Ila gafra tu mbowe alipoagiza hayo magari na chama ikayataka ama kamati kuu ambaye yeye mwenyekiti. Huu wizi huu. Na kama Mbowe mwenyekiti wa kamati kuu alitambua kuwa chama kinahitaji vifaa hivyo kwanini hawaku analyse hayo mambo mapema harafu wakamfuata Mbowe mfanya biashara akawakopesha na wakanunua na kurudisha mkopo?

Yani Mbowe alinunua magari ok na gafra yakapitiliza kwenda chamani, Kwanini basi vifaa vingine yani spika, generata nk chama kisimukope wakati huo na kuvinunua ? kwanini vyote vilikuwa chini yake ?

Ama magari hayo yalikuja tayari na vipaza sauti, majenerata, majukwaa, sehemu ya mapipa ya helkopita na lengo lake huyu mfanyabiashara Mbowe lilikuwa nini? ahh mkuu, huu ni wizi tu jamaa ame maki kama mil 300.
 
Mkuu wangu hata sikuelewi kwani kazi ya mwenyekiti wa chama ni ipi?

Hivi unaposema Jk ni mwenyekiti wa CCM basi yeye ndiye aliyeleta issue ya kina kujivua magamba na kutaka mapema kundi la mapacha waondolewe> ina maana JK alipanga in advance kuondolewa kwa pacha hawa kwa sababu yeye ni mwenyekiti?...Na kama ndivyo kamati imepitisha waondolewe mbona anashindwa kuwaondoa anawaachia kina Nape na Chiligati wakitapatapa hali maamuzi yamekwisha pita...

Sikiliza mkuu wangu pengine unasoma vitu bila kujua vinazungumzia nini kiasi kwamba leo unauliza kama magari hayo yalikuwa na vifaa hivyo tayari au laa. Sasa mimi nakwambia kwamba yule Komu alikuwa akielezea kwa ufafanuzi zaidi vifaa vilivyopo ktk magari hayo hata ikafikia gharama ile. Na magari haya yametengenezwa makhususi kwa kazi inayotakiwa kutumika kwa chama na ndio maana yalianza kazi mara tu yalipofika, hivyo kinachotakiwa ni kamati kutazama faida ya magari hayo baada ya kuyatumia kwa muda mrefu, jambo ambalo Mbowe anatakiwa kusifiwa kwa sababu kama ingekuwa mimi na wewe wala tusingejaribu hata kufanya hivyo.

Nitakwambia mfano mmoja, kuna rafiki yangu alikuwa na kipapi chake ambacho alikiahidi ndoa na ilijulikana hadi nyumbani kwa wazazi wa binti..Hivyo jamaa alikuwa akija na kumchukua mchumba wake na kwenda naye kwake kila jioni ikafika wakati wazazi wa yule binti siku moja wakamkwamisha jamaa kumchukua binti. Wakasema leo humchukui mwanetu hadi ufunge naye ndoa!... akadhani utani lakini hakupata kitu, siku zikapita mtoto hatoki!,,
Kwa mapenzi alokuwa nayo na yule binti ilibidi akapose, akaambiwa mahali na wala hakuchukua muda mrefu jamaa akatangaza ndoa.

Sasa mchezo huu unaweza kuutazama toka upande wowote iwe wa wazazi au wa bwana ili mradi uelewe kwamba kuna mila na desturi ambazo haziwezi kukiukwa ili mradi kumfurahisha mtu na wakati huo huo kitendo hicho hakimlazimishi mtu isipokuwa ndio utaratibu na kinampa nafasi ya kukataa au kukubali. Hiyo nafasi ya kupewa mtu nafasi ya maamuzi ndiyo inaondoa uharamu wote na kuhalalisha maamuzi ya pande hizi..

Hivyo uzito wa makubaliano haya utapimwa na wahusika wenyewe lakini kama utaniuliza mimi naweza sema mshikaji wangu noma, kalazimishwa kuoa hali kamega binti zaidi ya mwaka leo ndio kwanza wanayajua ya ndoa?..angemwaga tu wanawake wapo wengi. Na mtu mwingine akaitazama ile familia na kutoa mtazamo wake ili mradi tu mbora kati yetu ni yule aliyeweza kutazama pande zote mbili na kuheshimu maamuzi ya pande hizi kwa sababu hakuna aliyefisadiwa. Mwisho wa hadithi hii ni kwamba maadam pande zote mbili zimeridhika hakuna haramu..

Sasa mnapolazimisha Ufisadi wa Mbowe wakati chama kinaridhika na manunuzi hayo sijui haswa knachopinga hapa tofauti na Mkapa, JK na wengineo ambao wananchi tunapinga manunuzi ya vitu lakini tunaambiwa serikali itanunua hata kama tutakufa njaa!. Mbowe ana make kama 300 mil;ioni unao ushahidi wowote mkuu nipe nami nipate kumfuata na madongo maanake unawafanya kamati kuu ya Chadema wajinga kupita kiasi..!
 
Pasco said:
Phillemon Mikael, hakuna mwenye wivu wa kike dhidi ya maendeleo ya eneo fulani, wala hakuna ubishi kuwa maendeleo ya maeneo fulani huletwa na wenye eneo husika ndio maana watu wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliyabuni hayo mazao wenyewe na kuwaalika wamishenari na kujenga mashule na kutengeneza fedha zao na kujiletea maendeleo.

Pia ni kweli wakati tunapata uhuru, watu wa maeneo fulani tayari walishapiga hatua kubwa ya kimaendeleo, hadi kufikia kufunga safari hadi UNO kujiombea uhuru wa maeneo yao, na wa`lipokutana na Nyerere akiomba uhuru wa Tanganyika yote, waliside na wakoloni uhuru usipatikane.

Nasisitiza tena na tena, baadhi ya watu wa maeneo fulani kujiona wao ni bora zaidi, eti kwa sababu ya maendeleo ya maeneo yao, pia hii ni form fulani ya ubaguzi mbaya kabisa, uliojijenga ndani ya mioyo ya watu wenye ukabila, ambao ndio mbaya kabisa kuliko hata huo ukabila ulitajwa kwa kauli.

Watanzania ni wamoja na YTanzania ni moja, na kila eneo la Tanzania ni sawa na eneo jingine!.

Pasco,

..kama ni kuipinga Tanu, basi Tanga ndiyo ilikuwa ngome kuu ya chama cha UTP kilichokuwa kinapingana na Tanu.

..ni kweli kwamba Tanu ilipata wakati mgumu kujipenyeza Kilimanjaro na haswa Uchagani. Pamoja na ukweli huo, Kilimanjaro siyo eneo pekee ambako Tanu ilipata upinzani.

..Kitu cha msingi ni kwamba wananchi wa Kilimanjaro waliikubali Tanu baada ya kujiridhisha kwamba itasimamia yale ambayo wao walikuwa wakiyaamini. Joseph Kimalandu, Solomon Eliufoo, Nsilo Swai, Eliasi *******, ni baadhi ya wanaharakati wa mwanzo wa chama cha Tanu ktk mkoa wa Kilimanjaro.

..kuna kipindi Wamisionari na serikali ya mkoloni waliwakataza wananchi wa Kilimanjaro kulima kahawa kwa madai kwamba wangeweza kusababisha kahawa iliyokuwa kwenye mashamba ya wazungu kupata magonjwa. baada ya mvutano mkubwa ndipo mkoloni alipoona kwamba njia bora ya kuwanyonya wananchi wa Kilimanjaro ni kuwaruhusu walime kahawa na baadaye kuinunua na kuwatoza kodi.

..Pasco, inaelekea wewe si mwanafunzi mzuri wa historia, vinginevyo usingekuja na haya madai kwamba kuna upendeleo wa namna fulani kwa wananchi wa Kilimanjaro ulioanza enzi za Wakoloni, Wamisionari, na kuendelea hata baada ya uhuru.
 
Back
Top Bottom