Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Just a Provocative Question

Hivi Akitoka Mjinga Mmoja akajifanya yeye ni Msemaje wa Wachagga, akatumia Media yoyote ( Ya Kipumbavu) Kumjibu Nape kwa Niaba ya Wachagaa wote Serikali Itamkamata?
 
Huyu mNape arudi nyuma aangalie kama walivyoongea ati CDM ni ya wachagga huko nyuma 2000's iliweza kuwasaidia ccm ama ndo kwanza waliwafungulia nyuki,ama mwanzo hakuisoma chakula yake,kama hakuisoma asubiri aone2015...Ngedere mkubwa huyu!
 
Nawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???

Alaa! Kumbe na Huko Kuna Wachagga? Au HAO ni Wachagga wa CCM na WALE ni Wachagga wa CHADEMA?
 
Mkuu nina hakika hii nape akiipata lazima atalia na hatadhubutu tena kukaa majukwaani. Naomba namaba yake nimtumie kwenye ujumbe mfupi wa simu. Plz nipe no. yake

Kama huja mwelewa huyu kijana anaongea ili mradi anafurahisha mafisadi wenzie. Hata ukimpigia unajisumbua bure kwa sababu kumrekebisha mtu wa majisifa ni sawasawa na kujisumbua. Yeye amekuja kukamilisha kazi aliyotumwa ya kuvalisha ccm sanda halafu mafisadi wakaizike. Sasa anajenga chama au anaua chama. Hiki chama chao cha ubinafsi hatukitaki hapa tanzania wawapeleke wapemba kule Zanzibar. Ninaona ana lengo la kuwavuruga watanzania. Sasa wachaga wakiamua kuanza ngoma ya mpaka kieleweke si wanamngoa kikwete hapo magogoni. Nape asicheze na kaulihiyo awaombe wachaga radhi haraka kabla mambo hayajamjeuka.:dance:
 
Nawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???
Huyu mpuuzi kupita maelezo sikuwa naamini kwamaba NAPE ana akili fupi kiasi hiki watanzania wana matatizo lukuki umeme, bei za vitu, makazi duni, ajira hamana, huduma za afya duni elimu inalekea kaburuni angetueleza ni kifanyike walau kujaribu kupunguza haya matatizo, badala yake anakuja na upupu wa ajabu hata sisi wana CCM wenye upeo hatataweza kulea huu upuuzi wake
 
Umma wa wapi?labda wa moshi mjini, au wale wavuta bangi wanaokusanyika kwenye mikutano na maandamano yao
Mimi Nawashauri CDM wasichukue Muda Mwingi kushindana na Nape. CDM ina nguvu ya Umma Nyuma yake na yeyote anayeenda Kinyume na CDM anaenda Kinyume na Nguvu ya Umma na Nguvu ya Umma hakika Itamhukumu

Sipendi ila Natabiri Nape Kupopolewa na Mawe kwa Baadhi ya Maeneo
 
Aissee babangu, ndo kweli Chadema ni chama cha kichagga. Ndo maana wafanya kampeni za mikoa ya Wachagga tu, aissee babaangu. Aissee babaangu, wamekishtukia chadema, aissee babaangu.

Sijui hili ataliongeleaje?!
 
'Uchaga wa CDM ni santuri ya zamani sana. Inafanyiwa rimiks siju kama itauza na wakati orijino ilikosa soko japo ilipata ea taimu ya kutosha!
 
Nawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???
Nawaombeni UONGOZI wa CDM UTOE tamko la kulaani hii sumu inayotaka kuletwa na huyu NAPE
 
unajua ukiona mtu anaanza kubase argument zake katika ukabila, ujue maji yameshamfika shingoni, nape hata kama ni propaganda hazifanywi hivyo usichezee ukabila wa watu maana madhara yake ni makubwa ndugu yangu, of all people wewe ulitakiwa ulielewe hilo......
 
Umma wa wapi?labda wa moshi mjini, au wale wavuta bangi wanaokusanyika kwenye mikutano na maandamano yao
Huu wa watanzania mnaodhani ninyi mumewashikia akili zao za kuchambua pumba na mchele..kwa hiyo kila msemalo au kutenda ni sahihi wakati ni kwa manufaa yenu,familia na jamaa zenu..
 
Umma wa wapi?labda wa moshi mjini, au wale wavuta bangi wanaokusanyika kwenye mikutano na maandamano yao
Kweli nyie wapuuzi sana,subiri aende Moshi kama hawajampopoa mawe kwa upuuzi wake.CDM ina nguvu ya umma si Kilimanjaro peke yake.Unless habari zinazoletwa hapa si za kweli.Picha zinathibitisha hilo,from Mbeya to Sukuma Land.Maneno ya Nape ni ya kutapa tapa,hayatasaidia kwasababu si ukweli kwamba wachagaa hawachangamani na makabila mengine.Nape you are stupid and for sure i hate your stance,and ways of thinking.Why be desparate like a prostitute kama unalipenda Taifa and you are young?This aint the way to go.Nape you are a member in here.Nadhani huna ujasiri tena wa kulog in na kujibu hoja coz unajuwa mmeishiwa hoja na sasa mnaleta viroja.
 
Nakumbuka ile staili ya Rais Obama wakati huo akiwa mgombea, kila uongo Republican waliojaribu kuutumia dhidi ya seneta Obama; Obama ali-rebut huo uwongo kwa nguvu zote na kwa uthibitisho. Twajua CHADEMA wana mambo muhimu ya kufanya zaidi ya kulumbana na Nape, hata hivyo ni busara ku-rebut uongo wa aina yoyote ile dhidi ya CHADEMA kwa uthibitisho. CCM sasa hivi watasema lolote lile as long wakihisi kuwa wanaweza kunusurika kwa njia moja au nyingine na adhabu ya watanzania.
 
Aissee babangu, ndo kweli Chadema ni chama cha kichagga. Ndo maana wafanya kampeni za mikoa ya Wachagga tu, aissee babaangu. Aissee babaangu, wamekishtukia chadema, aissee babaangu.

Wamekistukia kivipi?,au wewe ni mmoja wa viwavijeshi vya ccm humu Jf?,kwenye mambo ya msingi unaleta utani na kucheza na akili za watu!,acha ujinga
 
Hivi mtu kama huyu anatusaidia nini zaidi ya kutuongezea machungu na maumivu ya maisha. Yaani kuna watu kweli wanakaa kumsikiliza huyu Nape na huu upupu wa kulifarakanisha taifa la watanzania. Huyu ameshindwa siasa, anaingilia makabila ya watu, bado kidogo tutasikia dini. Kabla ya kufarakanisha watanzania ni kumshusha jukwaani kwa kumpopoa na mawe labda atashika adabu yake. Kama hajaomba radhi tusiangalie kabila wala nini, atakapofanya mkutano popote ni kumshusha.
 
Huyu mpuuzi kupita maelezo sikuwa naamini kwamaba NAPE ana akili fupi kiasi hiki watanzania wana matatizo lukuki umeme, bei za vitu, makazi duni, ajira hamana, huduma za afya duni elimu inalekea kaburuni angetueleza ni kifanyike walau kujaribu kupunguza haya matatizo, badala yake anakuja na upupu wa ajabu hata sisi wana CCM wenye upeo hatataweza kulea huu upuuzi wake
nimekugongeea thanks kule, eti JK kasema maneno ya nnape yanamuwakilisha yeye
 
mhhhh kazi ipo ina maana mwanza , ilemela ,shinyanga , kawe ubungo, kigoma ni wachhga.

May be atafafanua alimaanisha nini ebu u nukuuuuu maneno yake bila kuweka tafsiri yako. nachelea kuamini nitashukuru kama kuna mtu akiweka maneno aliytamka nape kwenye quote.
 
Back
Top Bottom