Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia maneno eti mwl Nyerere kipindi fulani alitamka eti kuna makabila fulani hapa Tanzania hayapaswi kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu ya Tanzania,inasemekana aliyataja" LIVE" je kuna mtu mwenye taharifa zozote kuhusiana na hilo? kwavile JF ni sehemu ya ma great thinkers na wanazuoni mbalimbali,nategemea tutapata majibu ya kuridhisha kuhusiana na uvumi huu

Nimeshakujibu kwenye ile thread nyingine pia. Ni kweli kwa hayo usemayo. Kwa hiyo unataka kutuambia nini?
 
Pole Nape Vita uliyoianzisha unaifanya kuwa Ngumu sana

Ameichongea CCM kwa wachaga, ameichongea CCM kwa viongozi walio kwepo kabla yake Nape anaisaidia CHADEMA katika vita vya kuikomboa nchi mikononi mwa wakoloni weusi. Tumpe moyo aendelee kuibomoa kwa speed ya kumzidi former katibu mkuu na mwenzake wa propaganda. Sijui this time CCM watatoka na single ipi kuvua gamba jipya lilokomaa kui destroy kwa kasi ya mind thought.... Tanzania njema iko karibu kupatika Nape sema usiogope sema! Sisi CHADEMA hatuogopi majungu sema!
 
kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia maneno eti mwl Nyerere kipindi fulani alitamka eti kuna makabila fulani hapa Tanzania hayapaswi kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu ya Tanzania,inasemekana aliyataja" LIVE" je kuna mtu mwenye taharifa zozote kuhusiana na hilo? kwavile JF ni sehemu ya ma great thinkers na wanazuoni mbalimbali,nategemea tutapata majibu ya kuridhisha kuhusiana na uvumi huu
Yes, but that was then this is now.
 
Kama huyo Nyerere ni kweli alikuwa na mtazamo huo basi alikuwa mufilis wa kifikra. Huo ni ubaguzi. Ubaya ama uzuri wa tabia hauna kabila wala rangi. Huo ni ubaguzi kwani kila mtanzania anayo haki ya kugombea na kuongoza endapo anazo sifa za kufanya hivyo.
Kenya, Nigeria, na kwengineko ndio wenye matatizo hayo ya tribalism
Jiulize: Hao maraisi walioiongoza Tanzania toka uhuru hadi leo wametoka makabila gani? Wametufanyia nini cha maana ambacho ni cha ajabu sana na hakingeweza kufanywa na watu toka makabila mengine?
 
Kwa nini wasipewe nafasi ya kuongoza? Imekuwaje sasa Obama (.5 black) ndiyo anaongoza dunia iliyotawaliwa na wazungu?
 
1. wachaga
2. wasukuma
3. wahaya

Alisema hayo because wakati huo yalikuwa yameendelea kuliko Makabila Mengine kielimu na kimaendeleo ya wananchi wake wazalishaji wa Kahawa na Pamba; haikuwa kwasababu ni wabaguzi

But If discrimination based on tribe or region is constitutionally permissible when those who hold the reins can come up with "compelling" reasons to justify it, then constitutional guarantees acquire an accordionlike quality. Ok those tribes have to move somewhere else!!!
 
Na kwa usalama CCM tamko lisipotolewa mapema la kuwaomba radhi Wachaga, linaweza kuleta madhara makubwa kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Mag3, unamaanisha usalama wa CCM, mimi nilidhani ni kwa usalama wa Taifa la Tanzania!.
 
Alisema hayo because wakati huo yalikuwa yameendelea kuliko Makabila Mengine kielimu na kimaendeleo ya wananchi wake wazalishaji wa Kahawa na Pamba; haikuwa kwasababu ni wabaguzi

But If discrimination based on tribe or region is constitutionally permissible when those who hold the reins can come up with "compelling" reasons to justify it, then constitutional guarantees acquire an accordionlike quality. Ok those tribes have to move somewhere else!!!

Je ni kweli Nyerere alitamka hilo unalolisema???
 
1. wachaga
2. wasukuma
3. wahaya

Nafikiri Mwl. Nyerere aliyasema hayo kutokana na kuhofia suala la ukabila katika Nchi yetu, naamini baadhi yetu tumeshuhudia vikundi vya kikabila kuanzia shule za boarding hadi vyuoni enzi hizo na katika vikundi hivyo kulikua na dalili za wazi za kujitenga kikabila na haikuishia ktk shule tu iliendelea hadi vyuoni na makazini. Naamini wale waliokuwepo miaka ya 90 kurudi nyuma wanaweza kubaliana na mimi, kumbuka maafisa mifugo enzi hizo na baadhi ya idara za serikali.
 
Sio kweli Nyerere alikuwa anapiga sana kuchagua mtu kwa kuangalia rangi,kabila,ukoo na hata dini.
Hili nalo lilitengenezwa ili watu wapate ulaji.Tusipoangalia tutahalalisha uovu mwingi sana kwa kisingizio cha Nyerere.

Mawazo na nia yake vilikuwa dhahiri tusichakachue.
 
Nimeshindwa kuelewa unasema nini? Jambo alilosema Nape ni la kijinga na linabidi kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu. Hizi chuki za dhahiri zinazojengwa juu ya kabila fulani ni mbaya kwa nchi yetu. Kusema CHADEMA ni chama cha Wachagga ni uongo mkubwa! CHADEMA imeshinda viti Kigoma, Mwanza, Mbeya, Dar es Salaam sehemu ambazo wakazi wake sio wa kabila tajwa.

Pili, kuna chuki ambazo zinajengwa juu ya watu wa Kaskazini kitu ambacho sio chema kabisa. Sikutegemea maneno kama hayo kunatolewa na Katibu wa Chama Tawala, kitu tunachotakiwa kujiuliza leo kawasema Wachaga kesho atawasema kina nani? Kwani hii ni kama Slippery slope, ukishaanza kutereza basi....

Kulinda statusquo ni garama kubwa sana kaka, wamehonga tshirts na khanga sasa CHADEMA wame pandisha average cost kwa ku raise awareness inabidi watafute contractual deals za ukabila, wakichanganya na udini then wakaongezea na za ukanda basi devide and rule equation wanadhani ita balance hawajui bonds zao zimekuwa weak kama za alcohol (HONO) ina react kirahisi sana na any available alternatives. CCM wamechanganyikiwa na wasipoangalia watashika silaha kuanza kulinda statusquo.
 
Tunashukuru kwa ufafanuzi huu lakini wenye akili wanajua kwamba Sekretarieti ni sehemu ndogo tu ya mfumo wa uongozi wa chama. Tupewe orodha ya wajumbe wa Kamati Kuu, Halmashauri/Baraza Kuu, pamoja na orodha ya wabunge wa viti maalum na uhusiano wao na viongozi wakuu wa chama waliopo na wale wastaafu. Maana dhambi hapa siyo ya ukabila tu, hata nepotism ni issue ambayo inalalamikiwa sana na ni sehemu ya Ufisadi. Tuambiwe mahusiano ya baadhi ya wabunge wa vitu maalum na viongozi wafuatao:

1. Zitto Kabwe,
2. Tundu Lissu,
3. Philemon Ndesamburo,
4. Wilbroad Slaa,
5. Freeman Mbowe.

Tuambiwe pia uhusiano wa Anna Komu na viongozi wakuu wa chama.
Ingekuwa busara kusilisha unachokifahamu juu yao badala ya kuhoji na kutuachia maswali , manake jibu watakalotoa cdm ni rahisi hakuna uhusiano
changia kwa faida ya wanajamvi wote
 
ebu yataje? na ni wapi alitamka? and what is the position of those tribes currently?

Nimekwambia ni kweli kwa mujibu wa swali lako. Umeuliza "eti kuna fununu ...", ni kweli kuna fununu lakini Mwalimu Nyerere hakuwahi kutaja kabila lolote. Kwa kuwa IQ yako ni zero utaendelea kuishi kwa fununu. Fanya utafiti acha kuleta umbea wa mtaani hapa! Mwalimu hakuwa mjinga kama wewe na makuwadi wenzako; aliitazama Tanzania kama Tanzania na sio propaganda zenu muflisi.
 
Tatizo sio utani, tatizo ni kwamba Regia Mtema alisisitiza sana kwamba ccm ni koo tano ndo zinaongoza lakini sikuona watu kujadili kwa hamasa namna hii na kuilaani kauli hiyo vikali. Na je kauli ya Regia ilikuwa haichochei watanzania kuichukia koo hizo alizozitaja?

Hao ama koo hizo sizitetei, lakini huyu dada na mbunge wa chadema alikuwa anajenga chuki ya hatari zaidi ktk koo hizo, tena unaweza kuta ktk koo hizo kuna walalahoi ambao wanaombea mabaya kila siku viongozi waliotoka ktk koo zao, sasa kuwajumuisha nao ni kauli jumulishi sana. Ambayo nayo ilitakiwa kukemewa vikali, kama kweli watu wanapigania masilahi ya Taifa na si masilahi wezeshi binafsi.

Nonetheless, yawezekana kabisa hizo koo ni coincidence kuwa ndani ya ccm kama ilivyo coincidence ya wachaga kuwa wengi ktk uongozi wa CHADEMA.

Sitaki kuamini kama mtu anaweza kukimea kauli ya Nape na kui- bypass kauli ya Mtema na kinyume chake pia ni sahihi.

Japo kuwa lazima niwe biased kwa chama changu lakini angalia nafasi za hawa wawili kauli ya nani ina represent kauli ya chama? Nape ni msemaji wa chama na kwakusema hayo maana ni CCM inasema hivyo na mbaya zaidi CCM ndo inayounda serikali kwahiyo by default huu ndiyo msimamo wa serikali ya CCM. Acha ushabiki CCM has to moderate this chap kabla hajaingiza nchi katika maafa. I dont believe kama CCM wanaamini hilo hata kama naichukia lakini bado naamini CCM hawajawa so cheap kiasi hiki na kama hili hawata li resolve basi ujue CCM hawaitakii mema nchi hii kabisa na pengine wanataka sasa badala ya ustaarabu tuanze kutumia jungle justice!
 
ni kweli alitamka hivyo? na wapi labda?

Nimekwambia ni kweli kwa mujibu wa swali lako. Umeuliza "eti kuna fununu ...", ni kweli kuna fununu lakini Mwalimu Nyerere hakuwahi kutaja kabila lolote. Kwa kuwa IQ yako ni zero utaendelea kuishi kwa fununu. Fanya utafiti acha kuleta umbea wa mtaani hapa! Mwalimu hakuwa mjinga kama wewe na makuwadi wenzako; aliitazama Tanzania kama Tanzania na sio propaganda zenu muflisi.
 
Nawakumbusha ndugu zangu kwamba Nape Nnauye ni msemaji wa ccm. Anachokisema ni msimamo wa chama. Na mwenyekiti wake alisema kwenye tamasha la Pasaka kwamba anachokisema Nape ndio msimamo wa chama. Kwahiyo msizungumzie kauli ya Nape kama ni yake bali ni msimamo wa chama chake. Kwahiyo alichokisema ni tamko la chama chake!
 
Back
Top Bottom