Nape: Mwaka huu tuna Ilani kubwa

Nape: Mwaka huu tuna Ilani kubwa

Goli la mkono lipo ktk michezo mingi wewe tu na mihemko yako, kuna mpira wa kurusha kwa mikono na mabeki wamezubaa ukigonga mtu kitu kinatinga nyavuni, kuna mpira wa mikono unafunga magoli kwa mkono, kuna volleyball unafunga kwa mkono na michezo mingi tu ina magoli ya mkono. Tatizo mihemko yenu na mahaba yaliyopitiliza mnajikuta mnatoka mapovu. Kha!! Ngriiiiiiiirr!!
 
Huyo Diamond hana jinsi inabidi atimize mapenzi ya mfadhili wake!msimlaumu, hayo ndo matokeo ya kutegemea kubebwa na ww utabeba tu!
 
KUFULI TUTAVUNJA NA POMBE TUTAIMWAGA. Ni Octoba 25, Ukawa Oyeeeeee, Lowasa Oyeeeeee, Lowasa Juuu Juuuu Kabisaaa, Vigelegele Wakinamama Lulululu Wakina Baba Makofi Jamani Waa Waa Waa.
 
Hata panya wanacheka kri.....kri.......ilani kubwa.ile iliyopita mlifika wapi?MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA !!!! Acheni udanganyifu.watanzania wa leo sio mbumbumbu.ccm iishie jumba la makumbusho.
 
Akiongea ktk tv anafafanua kuwa diamond atazindua wimbo wake wa kampeni hapo Jangwani sambamba na wanamuziki zaid ya 40. Wamejipanga wenyewe kwa mapenzi yao kuisapot ccm. Nguvu ya vijana wapenda mziki itagawanyika, tuamini kuna vijana ambao hawataipenda ccm lakini watampenda tu diamind na hilo huwezi kulizuia hivyo wanaweza kufuata mapenzi ya diamond. Mmmh....lets wait...loading

Wapenzi wa diamond na wanamuziki watafurika jangwani kuona mbwembwe za mwanamuziki huyo mpenzi wa wengi.
 
Akiongea ktk tv anafafanua kuwa diamond atazindua wimbo wake wa kampeni hapo Jangwani sambamba na wanamuziki zaid ya 40. Wamejipanga wenyewe kwa mapenzi yao kuisapot ccm. Nguvu ya vijana wapenda mziki itagawanyika, tuamini kuna vijana ambao hawataipenda ccm lakini watampenda tu diamind na hilo huwezi kulizuia hivyo wanaweza kufuata mapenzi ya diamond. Mmmh....lets wait...loading

Mimi ni kijana, na wala simfuati Diamond. Kura yangu tayari najua wa kumpa. Hata umlete Justine Timberlake, msimamo ni ule ule. UKAWA
 
je ilani ya mwaka 2010 imetimizwa? mbona jk alihaidi kujenga barabara ya mbamba bay mpaka mtwara bado haijakamilika?
 
Hiyo ilani iliyoandikwa na wassira ambae katibu mkuu wake anamwita makapi, oil chafu na mkosa maadili!
 
Hiyo si ilani ni laana.Maoni yetu ya katiba yapo wapi? Sema hapana kwa ccm hapo oct 25.
 
Mimi diamond nampenda sana na pesa za kuendea kwenye show zake sina, ila leo sikanyagi kule jangwani Abadan Aslan ....kuvuta watu kwa kutumia shoo za bure ni kuwafanywa watu mabwege na kutumia umaskini wa watu kama chambo, mi sikubali aisee, niiteni maskini jeuri potelea mbali
 
Nilitarajia Ilani ndogo yenye mambo machache kulingana na uwezo wetu wa kiuchumi na ukweli kwamba ni miaka mitano tu. Tatizo la nvhi yetu ni kuweka kipaumbele sahihi. Tunataka tufanye kila kitu wakati mfupi kwa resources tusizonazo.
 
Asilimia85% ya ahadi zenu za mwaka 210-2015 hazijatekelezwa. Kwa nini mnaleta nyingine juu ya nyingine?. Mfanye kama livyofanya kwenye miradi kuwa mwaka huu hakuna miradi mipya ili tumalizie miradi ya mwaka jana. Ninyi pia mmalizie ilani zenu zilizobaki ndipo muwe na ilani mpya. Hivi mtarudia tena KULETA MELI KUBWA ZIWA VICTORIA KWENYE ilani yenu ya 2015-2020 wakati haijatekelezwa. Waogopeni CCM kama ukoma.
 
Back
Top Bottom