Nape: Mwaka huu tuna Ilani kubwa

Nape: Mwaka huu tuna Ilani kubwa

Naye ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli, mchapakazi asiyetaka longolongo!

Duh..! Mkuu umeniweza. Hapo ni sawa na mwuza nyama kutundika mfupa wa ng'ombe buchani kuvutia wateja kuuzia nyama ya mbwa.
 
Ukijaza makaratasi ndiyo inakuwa Ilani kubwa na nzuri?

Mungu atusaidie tuondokane na hii balaa
 
Aulizwe tu ilani zilizopita wametekeleza?

Maana hii nchi tangu tu Kambarage alivyokabidhiwa na Waingereza imeporomoka kiuchumi muongo hata muongo...

Atasema ndiyo!

Halafu ataongezea na "Habari kwamba uchumi umeporomoka ni kelele za wapinzani".
 
Ilani ya ccm sehem kubwa mwaka jana na huu wa fedha imetekelezwa na wakandarasi kwa pesa zao... wengine wamekufa kwa sababu hawalipwi maana hazina imekauka... ukubwa wa pua tu hamna la maana....
 
Back
Top Bottom