Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

Inaonesha Nape jembe sana... ndio maana wanazi wa CHADEMA wanamfuatilia kila akikohoa. Asingekuwa tishio nobody angemdiscuss hivi.

miaka 50 kuna watu wnashindwa kufikiri namna hii.

Tatizo siyo Nape bali ni CcM kwa Ujumla,wamezoea kuwadanganya watanzania hata kwa jambo ambalo haliwezekani kila kipindi cha uchaguzi,hebu fikiri Ahadi za uchaguzi za ccm zimefanywaa?
Wanawafanya watanzania wajinga mno,ili kukataa kuonekana wajinga wana Igunga msiichague ccm kabisa.

Tatizo si CCM bali ni WATANZANIA ambao wanakubali kudanganywa na vitu ambavyo huitaji kwenda hata darasa la chekechea kupata utambuzi wake.

Nape ni mnafiki katika anguko la ccm. nape atachangia asilimia 90 waliomchagua kwenye nafasi hiyo ndo ambao hawakusoma alama za nyakati wakihisi hii nchi ina watu walewale wa zama za ndio mzee watu hao wamebaki sehemu chache hasa mikoa ambayo shule zilichelewa wajukuu wao wakisoma hata wao watashtuka hizo ndo ztakua mwisho wa zama za kina NApe kwani mtaji wao utakua umekwisha

Unafiki hautaiokoa ccm. Lazma ifike wakati wafanya maamuz magumu japo yataathir chama. Hiki wanachojaribu kufanya ni unafiki mkubwa.

Nape umeonyesha jinsi unavyo pambana na ufisadi kwenye chama chako na hata kukawa na minon'gono mafisadi fulani wajivue gamba na hata baadhi wakatajwa hazarani mmoja akiwa rostam sasa ebu tuambie kama rostam ni mmoja kati ya mafisadi, na wimbo wako mafisadi wajivue gama rostam kaamua mwenyewe kujivua gamba baaada ya kuwataka wajifue wenyewe.ilikua ni sahii kumtumia kumnadi mgombea wenu kule igunga? au kalikua kamchezo ka kuigiza?nataka kusikia kutoka kwako na kwanini haukwenda igunga?

Nape umeonyesha jinsi unavyo pambana na ufisadi kwenye chama chako na hata kukawa na minon'gono mafisadi fulani wajivue gamba na hata baadhi wakatajwa hazarani mmoja akiwa rostam sasa ebu tuambie kama rostam ni mmoja kati ya mafisadi, na wimbo wako mafisadi wajivue gama rostam kaamua mwenyewe kujivua gamba baaada ya kuwataka wajifue wenyewe.ilikua ni sahii kumtumia kumnadi mgombea wenu kule igunga? au kalikua kamchezo ka kuigiza?nataka kusikia kutoka kwako na kwanini haukwenda igunga?

Mbilinyi,
KUNA TATIZO LA WATU WENGI KUTAKA TUFANYA KAMA WANAVYOWAZA WAO NA SIO KAMA TULIVYOAMUA NA KUTANGAZA TUTAFANYA NINI... KWA KUMBUKUMBU SAHIHI TU HAPA SWALA LA KUJIVUA GAMBA TULICHOSEMA WALE WANAOTUHUMIWA KWA KASHFA MBALIMBALI ZA RUSHWA NA UFISADI WAJIPIME NA WACHUKUE HATUA ZA KUWAJIBIKA KWA FAIDA YA CHAMA CHETU LA WASIPOCHUKUA HATUA CHAMA KITACHUKUA HATUA ZA KUWAWAJIBISHA... UWAJIBIKAJI WENYEWE HAPA NI WAO KUTOKA KWENYE VIKAO VYA MAAMUZI VYA CHAMA AMBAPO KWA MUJIBU WA MAAMUZI YALE ILIKUWA NI WAO KUTOKA KWENYE KAMATI KUU NA NEC YA CCM TAIFA KWA NGAZI YAO, UKIACHA USAFISHAJI CHAMA KWA NGAZI ZINGINE AMBAO BADO UNAENDELEA...
HAKUNA MAHALI WALITAKIWA KUACHIA UBUNGE WAO WALA UANACHAMA WAO..... ROSTAM ALIAMUA KUACHIA MPAKA UBUNGE LAKINI AKAAMUA KUBAKI NA UANACHAMA WAKE WA CCM.... SASA KATIKA MAZINGIRA YA KAWAIDA HUYU BASDO NI MWANACHMA WA CCM UNAMZUIAJE KWENDA KWENYE MKUTANO WA HADHARA WA CCM? ANGEKUWA AMEFUKUZWA MPAKA UANACHAMA LABDA, LAKINI PIA HATA KAMA AMEFUKUZWA UANACHAMA MKUTANO ULE WA CCM WA KKUFUNGUA KAMPENI ULIKUWA NI WAWAZI HATA CHADEMA NA CUF TUNAAMINI BAADHI WALIKUJA, KWANINI WATU HAPA WANATAKA ROSTAM ANGEFUKUZWA KUHUDHURIA ULE MKUTANO...????????

Swala la Nape kutokuwepo kwenye uzinduzi,
HIVI NI MARA YA KWANZA MWENEZI HAHUDHURII UFUNGUZI WA KAMPENI??? KWA CCM SIO JAMBO LA AJABU HATA KIDOGO NI MGAWANYO WA MAJUKUMU TU....UKO MFANO MDOGO PALE MBEYA VIJIJINI PALIKUWA NA UCHAGUZI MDOGO AMBAO MIE NI.ISHIRIKI KAMPENI ZOTE NIKIWA SIJAWA KATIBU MWENEZI, CAPT. CHILIGATI AKIWA KATIBU MWENEZI HAKUWA KUHUDHURIA UFUNGUZI WALA UFUNGAJI HATUKUULIZA CHOCHOTE, IAIPOKUWA HILI LA IGUNGA LINAONEKANA LA AJABU SANA SANA........

NAPE

ndo tunataka uwe unajib hoja sio et"kumbe nawanyima usingi" kweli? usiogope kujibu hoja!

KUMBUKA YA MUKAMA KAMA HAKUKUKATAZA KWENDA IGUNGA!

NA HATA BAADA YA KWENDA IGUNGA HUKUONEKANA JUKWAANI KABISA NA UKATAMBI KTK MITANDAO YA KIJAMII HUSUSANI HAPAHAPA JF! LAKIN HATA HIVYO HUKUONEKANA TENA UKITAMBA.

Back
Top Bottom