Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Hii ni breaking newsMwenyekiti wa CDM nasikia kahongwa na Lowassa kitita cha Tshs. 5 Bilioni ili wasifukunyue mafaili ya lowassa tangu alipokuwa AICC, MAJI mpaka RICHMOND...! Ndo maana wapo kimya!
Hana huo uwezoNavyomjua jk hataki kupiga kelele na Lowasa anamsubiri kwenye kanuni dakika za mwisho amtandike hataamini masikio na macho yake.
Mimi siamini kama watu wamemtafuta, sipo tayari na itaweza kuamini hivyo. Ni watanzania gani wenye akili timamu wanaokubaliana na wewe kuwa "wananchi wameamua, waacheni" huku ni kupotoshana mchana kweupeeee.
Hao wameitwa...,
tena wamesafirishwa na wakalipwa. kama huamini jiulize ni kwa nini wanakula na kunywa huko, kwa nini hawakufanya hayo alipojiuzulu. Kwa nini hawakumfariji alipokumbwa na kashfa ya Richmond?
Huo ni uongo mkubwa, mbaya zaidi watu wasiofikiria wanaamini kuwa eti mashehe, maaskofu na wanafunzi wamemshawishi awanie urais. Kwani kaanza wiki iliyopita harakati hizo?, mbona tunafanya mambo locally?
Waje mashehe na maaskofu hapa watueleze kama kweli walienda bila kuitwa.
Tusipotoshane ktk hili.
Ahsante.
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kitendo cha mgombea mmoja anayepokea makundi ya watu ili wamshawishi kupiga kura huko Dodoma ni kuanza kampeni na yuko hatarini kuenguliwa.
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye anayepokea makundi ya watu wakiwemo masheikh, maaskofu na wanafunzi wakimshawishi kugombea.
Akizungumza na radio VOA, Nape alisema: "Labda niweke vizuri hili, mtu yoyote anayekiuka kanuni hatapitishwa labda kamaa anakwenda kugombea kwa chama kingine.
"Kinachofanyika Dodoma cha watu kuchukuliwa na magari huku wengine wakiwa hawajui, halafu wakifika wanakuta viti vimeshapangwa na vyakula;halafu eti wanamshawishi kugombea, ni kukiuka kanuni na anaweza kuondolewa," alisema Nape.
Lowasa atakuja kulia kama mwanake mjane aliyefiwa na mume anachofanya ni uvunjifu wa kanuni.
Nnatumai Nape anao ushahidi wa anayoyasema na kutuhumu watu. Kwamba watu wanaoenda dodoma wamelipwa na nani, kwa njia zipi na kwa sababu gani, la sivyo atakiaibisha chama kwa mara nyengine tena! Wananchi wameamua....acheni uzushi na uongo. Kwa nini mnawadhalilisha wananchi kiasi hiki? Waache kazi zao kwa kulipwa na kupewa chakula? Hivi wote walioonekana huko hawawezi kujinunulia chakula? Tena tunawaingiza mpaka viongozi wetu wa dini; maimamu na wachungaji!
Nnaungana na mtu wa Mungu mmoja aliyemtaka aokoke.....atubu na aokoke!!
BILA YA KUMSAHAU MBUNGE ANAYEWAKILISHA MATUSI BUNGENI Aka CHA MATUSI , MUUZA BUCHA MSTAAFU [h=3]Lusinde Joseph Livingstone[/h]
[h=3][/h]
Huyu jamaa asipopitishwa kuwa mgombea, patachimbika.[
Kivipi kwa mfano
CCM itabomolewa na CCM wenyewe subiri uone muvi inayokuja.
Maneno yako yanaukweli lakini Lowassa hatalipa kisasi amekomaa Mungu akimjalia atawapuuza tuu