minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,447
Mamvi kuingia nyumba nyeupe ni ndoto aisee...
Tabiri ni nani atakuwa Rais?
Mamvi kuingia nyumba nyeupe ni ndoto aisee...
Navyomjua jk hataki kupiga kelele na Lowasa anamsubiri kwenye kanuni dakika za mwisho amtandike hataamini masikio na macho yake.
CCM itabomolewa na CCM wenyewe subiri uone muvi inayokuja.
Lowasa atakuja kulia kama mwanake mjane aliyefiwa na mume anachofanya ni uvunjifu wa kanuni.
heeh! kumbe wanafunzi wa UDOM walichoka kula kwa wajas wakaona wabadilishe menu kwa naniliu! njaa mbaya!
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kitendo cha mgombea mmoja anayepokea makundi ya watu ili wamshawishi kupiga kura huko Dodoma ni kuanza kampeni na yuko hatarini kuenguliwa.
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye anayepokea makundi ya watu wakiwemo masheikh, maaskofu na wanafunzi wakimshawishi kugombea.
Akizungumza na radio VOA, Nape alisema: "Labda niweke vizuri hili, mtu yoyote anayekiuka kanuni hatapitishwa labda kamaa anakwenda kugombea kwa chama kingine.
"Kinachofanyika Dodoma cha watu kuchukuliwa na magari huku wengine wakiwa hawajui, halafu wakifika wanakuta viti vimeshapangwa na vyakula;halafu eti wanamshawishi kugombea, ni kukiuka kanuni na anaweza kuondolewa," alisema Nape.

Mamvi kuingia nyumba nyeupe ni ndoto aisee....
Nnatumai Nape anao ushahidi wa anayoyasema na kutuhumu watu. Kwamba watu wanaoenda dodoma wamelipwa na nani, kwa njia zipi na kwa sababu gani, la sivyo atakiaibisha chama kwa mara nyengine tena! Wananchi wameamua....acheni uzushi na uongo. Kwa nini mnawadhalilisha wananchi kiasi hiki? Waache kazi zao kwa kulipwa na kupewa chakula? Hivi wote walioonekana huko hawawezi kujinunulia chakula? Tena tunawaingiza mpaka viongozi wetu wa dini; maimamu na wachungaji!
Nnaungana na mtu wa Mungu mmoja aliyemtaka aokoke.....atubu na aokoke!!
Sielew kama EL asipochaguliwa kugombea itakuaje na ataweza kuvumilia kweli kwa jitihada zote anazofanya
Nani atakuwa Rais? Kumbuka Membe bado hajafukua yale mapesa ya Gadafi aliyoyafukia kwenye Handaki anatumia zile za Ufisadi Mdogo mdogo wa 10%!za Ununuzi wa nyumba za Mabalozi huko Ulaya na Safari za Viongozi nje na Wageni wanaokuja Tz, Nape kapewa pesa nyingi sana na Membe ahakikishe kuwa Lowasa hapenyi na pesa ikiisha ataenda kufukua zile za marehemu Gafafi na kuongeza Timu ya Fitna za kuwachachafya wale wote wenye nia ya kugombea URAIS, Membe hataki kusikia mtu anataka kwenda ikulu zaidi yake.
Lakini nape huu si utaratibu wenu mnaoutumia siku zote.Mara ngapi mmekuwa mkisafirisha watu na kuwapeleka kwenye mikutano yenu,kuwagharamia nauli na chakula,ili ionekane watu wanawakubali.Sasa mwanachama wenu anatumia mbinu zenu zile zile mnaanza Kupiga kelele.Ccm bwana mnachekesha
Hila zinazofanywa na viongozi wa CCM dhidi ya Lowassa ni hujuma dhidi ya CCM.
Ahahahahahaaaa kwahyo FB Membe anataka kufanya kampeni kwa pesa za marehemu? Dah? Damu ya balozi wa Libya naomba Umpe kiwewe mwanzo mwisho
Teh Teh Bavicha mkae mkijua Rais lazima atoke CCM.
Kwani baba havintishi si aliruhusu watu kuwashawishi wenye sifa wagombee urais???Nape mbona anabwabwaja na yeye si akamshaishi mende agombee???