Wewe na Lowasa ndiyo ccm kiasi mfanye mnachokitaka? Mfute, msifute, hicho ni chama chenu klichokataliwa na Watanzania wote. Umebaki wewe na lowasa na mabosi wenu mafisadi.
Hivi wewe unaijua vizuri historia ya KANU?
BTW, kama Ningekuwa Nape, ndipo ningekaza uzi kwa sababu sasa ni dhahiri kabisa wewe na lowasa wote ni wajinga.
Hakuna mtu makini atashindwa kuona namna ambavyo wewe na ya ikulu lakini nyuma yenu hakuna sheria, hakuna taratibu wala nia nzuri kwa taifa. Ndiyo maana unaanza kublackmail ccm kwamba bila lowasa unaua chama. Kweli wewe ni binadamu mwenye upendo kwa taifa na kujali chama chako au unajali tumbo lako tu kwa mgongo wowote utakaokuhifadhi japo kwa muda? Mbona
nakuona kama mtu wa chini sana usiyfikiria hata kesho utalala wapi?
iWewe ni mwongo na unatumiwa na fisadi lowasa kumbeba aende ikulu ili amalizie hii nchi alipoishia rafiki yakekikwete. Uwezo wa kuinfluence chochote ccm huna. Ungelikuwa na influence hiyo, na kama kweli wewe na lowasa mngekuwa mnajali maslahi ya nchi, mngekomesha ruswa, ufisadi na uharamia kwenye ccm ambao ndio umeua taifa letu.
Watanzania hatutakubali tena kuongozwa na chama cha mafisadi kiwe chini ya lowasa ama fisi mwingine yeyote. Mnakera na kuudhi sana.

Tunao uwezo wa kuifuta CCM katika historia ya dunia,lakin kamwe lowasa huwezi kumzuia.nenda Hivi wewe unaijua historia ya KANU? Tena kama mimi ni NAPE, ningekaza uzi kwa sababu kumbe wewe na Loa
kaulize KANU iko wapi,