Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

With respect of your name and comments, I'm convinced that you think mechanically and you don't deserve to be a Great Thinker rather than Great Sinker of rubbish. I'm sorry for whole Jamvi.
turudishieni umeme jamani km magamba mna akili
 
Nilidhani physica kibano.Kweli vioja vingine basi tu.Sasa sijui tafsiri ya kibano imebadilika?
 
CCM bwana hata hawajui mambo ya msingi ya kuongelea, hivi kwanza issue ya Lowasa na Chenge imefikia wapi?
 
Dah, mbona sion sehemu yoyote ya kipigo alichopewa?
Yaelekea mkuu wewe ni mwandish mzuri sana wa magazet ya udaku
 
Nape alipokuwa Himo aliwapa kadi wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini wapatao 108 lakini cha ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi, japo wengine kama 40 wanatambulika ni wanaCHADEMA damu! Sasa cjui ni maigizo anafanya huyu bwana mkubwa au ndio upepo wa siasa. Machine inasumbua kidogo ila nitajitahidi kuwapa full story baada ya kurekebisha. stay tune
 
Mashine yako iendelee kusumbua hivyohivyo, hapa JF hatutaki mambo ya umbeyambeya. Sawaaa
 
Leo Nape alikuwa na mkutano wa hadhara katika eneo la stend ya mabasi, mkutano ulihudhuriwa na wachache.

Maneno haya ni sehemu ya hotuba yake:

CCCM oyee, baba wa kambo, ndimu, kujivua gamba, sumu ya nyoka, ccm baba mzazi, chama cha democrasia na maandamano, kibanzi, ngedere, dr feki, tatizo la bei ni mafuta si ccm, chama chetu, amani ya nchi yetu, mji wa moshi ni mchafu, anayeingia kitandani na bibi harusi nnatekeleza seri mume, wapambe watabaki mlangoni, hurusiwi kuchungulia nani ya mama, mshahara wa dr, mbunge analipwa mil 2.5 , katibu wetu ni mzee wa mipasho, mzee kazidi njoo wapashe, tanzania kuna chama kimoja tu, ni ccm, vingine ni makundi ya watu, baba wa kambo anamtaka mama yako, mimi ndio nimepewa mamlaka ya kuisema serikali, chama cha kambarage, sera ya chama chetu, tunasema ukweli, nyoka wa shaba,ikulu, vyama 18 vimesajiliwa, hakuna serikali mchanganyiko, nguvu ya umma

Alikuwa hana mtiririko mzuri katika kuwasilisha hotuba yake;
Sauti ilikuwa juu sana mithili ya anayehubiri.

Kama hali ni hivi, CCM kwisha habari yake.
 
hujabahatika kupata/kupiga picha tuone hadhira ya waliohudhuria? tafadhali
 
Iko wapi ccm ya kuwaleta wapinzani kuwachanachana na kuwatupa? Toka kushambulia wapinzani na kugeuka kuwa chama kujitetea kila kukicha? CCM nambari one....
 
Iko wapi ccm ya kuwaleta wapinzani kuwachanachana na kuwatupa? Toka kushambulia wapinzani na kugeuka kuwa chama kujitetea kila kukicha? CCM nambari one....
ccm kimekua chama cha wezi, wajinga na mambumbumbu. . !
 
Picha sijaweza kuchukua japo nilikwepo mwanzo mwisho
 
Mh. wa propaganda leo kwa kutana na kimbembe baada ya wakazi wa Moshi kumpokea na mabango ya kejeli juu ya CCM kwa mfano bango moja lliandikwa "CCM NI YA NYERERE IMEZEEKA""HATUTAKI KUVUA GAMBA TUNATAKA UMEME"
Kama ni kweli haya mabango yalikuwepo, basi message delivered. Manake Nape hataki kuamini kwamba CCM sasa imechoka na kwamba watanzania hatutaki tena blabla tunataka mabadiliko waliyotuahidi. Watabaki kupendwa na kushangiliwa na wale masikini wa kusini mwa Tanzania. Yaani Mtwara na Lindi ndiyo mikoa masikini zaidi, na yenye elimu duni zaidi, lakini ndiyo iliyompokea vizuri zaidi Nape. Hapo ndo unapoamini kwamba kweli umasikini wa watanzania ndo mtaji wa CCM.
 
Sijui unailinganisha na nini au huelewi unachokisema? Kwa taarifa yako CCM ndiyo chama kinachoongoza dola ya Tanzania. Sasa unaitafuta CCM gani?
 
Dah, mbona sion sehemu yoyote ya kipigo alichopewa?
Yaelekea mkuu wewe ni mwandish mzuri sana wa magazet ya udaku

Matarajio yao yalikuwa kufunika miji ya Moshi na Arusha. Matokeo yake wanaambulia kuhutubia wauza karanga wa stendi. Hiki kama sio kipigo ni nini?
 
Nani asiyejua kua Nape ni mjinga kama wajinga wengine ktk ccm ! NANI ANABISHA KUWA CCM NI KUNDI LA WAJINGA ?
 
Back
Top Bottom