Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Acha uongo bana dola ya Tz inaongozwa na CDM, wee huoni wakisema serikali ifanye hivi bac inado, ikisema CCM, hakuna utekelezaji wowote-hat ilani inayotekelezwa naona kama ni ile ya CDM kwa sasa. In short ccm mahtuti wa ICU so CDM ni kaimu chama kinachotawala now
Sasa jaribuni kuandamana bila kibali, ndiyo mtaona nini maana ya chama kushika hatamu.
 
magwanda ukiona hawaleti picha jua nape amefunika moshi.

nape amewakamata pabaya chadema. baba endelea kuwavuta hao chadema walizidi siasa chafu za kuiba nyaraka. na wewe endelea kuwaibia.

Ushawahi kuona cdm wanafanya mikutano stand?..acha uzumbukuku..picha za nini wakati wengi wao walikuwa makondakta na madereva wa magari ya abiria
 
Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Nape na CCM yake waende Moshi huku wakijuwa fika kuwa ni ngome ya CHADEMA - jibu Agrey Marealle. Huyu anataka jimbo la Moshi mjini na kwa kuanzia ameleta kitu kinaitwa 'Chief Marealle cup' lengo likiwa ni kukamata nguvu ya vijana.

Mzee Ndesa na wanachadema wenzako kama mnataka jimbo libaki kwenu basi kuweni macho.
 
magwanda ukiona hawaleti picha jua nape amefunika moshi.nape amewakamata pabaya chadema. baba endelea kuwavuta hao chadema walizidi siasa chafu za kuiba nyaraka. na wewe endelea kuwaibia.
samahan sister japo mi ni mgeni jamvin ila nina wasiwasi na uelewa wako. I though ungeagyu mambo ya msingi. Ila inawezekana tatizo sio wewe. Mi kwenye mkutano nilikuwepo hakuna alichoongea zaidi ya pumba tupu. Ila nilichosikia ni kuwa nape ana masters na anaweza kuongea kingereza, kifaransa kwa ufasaha. Wakati navyomfahamu nape english yake ya kuunga haswa.
 
Kama kafunika Moshi kwa watu wasiozidi 200 basi CCM kwishei
 
Una mtindio wa ubongo wewe! Kuandama na mantiki ya Dola na Chama yako wapi? Ccm wanaandamana, cdm wanaandamana, cuf wanaandamana na hata nccr au dovutwa wakiamua wanaandamana tu. Polisi wanataarifiwa uwepo wa maandamano na wao wanatoa ulinzi. Ccm hawatoi vibali vya maandamano wanachokifanya kubaka majukumu ya polisi kwa kivuli cha shemeji wa intelijensia.

Hapo Dola na Chama vinakujaje? Kaamke.
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.


Source; CCM HQs



HIVI KUBEBA WATU KWA MAGARI KUTOKA MA-WILAYANI(Vwawa,Tunduma,Mlowo,nk) ili washiriki maandamano MBEYA MJINI ni mafanikio?????????????.Wakiwa wanamshangilia, anazidi kikiua chama chao..........................
 
Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Latest News Tz: Latest News Tz: ZIARA YA NAPE MOSHI MKOANI KILIMANJARO

3.+Nape+akimkabidhi+kadi+ya+CCM+Simon+Ndemela+wanachama+wapya+108+wa+CCM+kutoka+SIMCO+walipojpeawa+kadi.JPG


KATIBU wa NEC, Itikati na Uenezi Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Silo Swai katika mapokezi yaliyofanyika Chekereni mkoani humo. Kushoto ni Katibu wa mkoa Stephen Kazidi

4Nape+akipokea+saluti+kutoka+kwa+kijana+wa+CCM+wakati+wa+mapokezi+eneo+la+Chekereni%252C+Vunjo+mkoani+Kilimanjaro.+Wengine+ni+Mwenkeiti+wa+CCM+mkoa+wa+Kili%252C+Silo+Swai+na+Katibu+wa+mkoa+steven+Kazidi.JPG


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea saluti kutoka kwa kijana wa CCM wakati wa mapokezi ya msafara wake, eneo la Chekereni, Vunjo mkoani Kilimanjaro. Wengine ni Mwenkeiti wa CCM mkoa wa Kili, Silo Swai na Katibu wa mkoa steven Kazidi

5.+Vicky+Nsilo+Swai+mkt+ccm+mkoa+kilimanjaro%252C+Mijo+Laizer+mkt+tawi+la+SIMCO+na+steven+Kaidi+Katb+CCM+Kili.JPG



Katibu wa NEC CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza baada ya kuzindua tawi la wanachama wa CCM la wasomi wa Chuo Kikuu cha Tumaini (SIMCO), katika mkutano uliofanyika katika mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro, jana. Wengine kutoka kushoto, wapili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Vicky Nsilo Swaijaro na kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Stephen Kaidi na Mwenyekiti wa Tawi hilo Mijo Laizer

6.+Wanachama+wapya+wa+CCM+tawi+la+SIMCO+wakila+kiapo+baada+ya+kupewa+kadi+na+Nape+mjini+Himo%252C+jumla+ya+wanachama+108+ktoka+chuo+hicho+walikabidhiwa+kadi.JPG


Wanachama wapya wa CCM tawi la SIMCO wakila kiapo baada ya kupewa kadi na Nape mjini Himo, jumla ya wanachama 108 ktoka chuo hicho walikabidhiwa kadi.

1.+Baadhi+ya+wanafunzi+wa+SIMCO+wakiwa+kwenye+mkutano+na+Nape+mjini+HIMO%252C+wapili+kulia+ni+Rais+wa+SIMCO+Paul+Raurent.JPG


Baadhi ya wanafunzi wa SIMCO wakiwa kwenye mkutano na Nape mjini HIMO, wapili kulia ni Rais wa SIMCO Paul Raurent.


2.+Nape+akilakiwa+na+Mwenyekiti+wa+CCM+mkoa+wa+Kilimanjaro+Silo+swai+katika+mapokezi+yaliyofanyika+Chekereni+mkoani+humo.+Kushoto+ni+Katibu+wa+mkoa.JPG


Nape akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Silo swai katika mapokezi yaliyofanyika Chekereni mkoani humo. Kushoto ni Katibu wa mkoa
 
kha! kwani wapi kasema kapewa kipigo? wenzenu wanafikiria siasa za kisera wewe unawaza kupigana ngumi? kweli wakati ukuta!
Dah, mbona sion sehemu yoyote ya kipigo alichopewa?
Yaelekea mkuu wewe ni mwandish mzuri sana wa magazet ya udaku
 
Wale wa Magwanda Dk Slaa alikuwa ktk viwanja Tabata Liwiti hapa Dar, mbona hampupi yalojiri huko? Au mmeshapoteza mvuto?
 
Mnisamehe naomba kuuliza,hivi wanaume wenye matumbo makubwa kiasi hiki wana enjoy nini?
Huu ni ugonjwa,fanyeni mazoezi jamani sio kula mapovu tu

4Nape+akipokea+saluti+kutoka+kwa+kijana+wa+CCM+wakati+wa+mapokezi+eneo+la+Chekereni%252C+Vunjo+mkoani+Kilimanjaro.+Wengine+ni+Mwenkeiti+wa+CCM+mkoa+wa+Kili%252C+Silo+Swai+na+Katibu+wa+mkoa+steven+Kazidi.JPG
 
Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Nape na CCM yake waende Moshi huku wakijuwa fika kuwa ni ngome ya CHADEMA - jibu Agrey Marealle. Huyu anataka jimbo la Moshi mjini na kwa kuanzia ameleta kitu kinaitwa 'Chief Marealle cup' lengo likiwa ni kukamata nguvu ya vijana.

Mzee Ndesa na wanachadema wenzako kama mnataka jimbo libaki kwenu basi kuweni macho.

Naona hata hao vijana kwenye picha maskini wanaapa kwa kutojiamini amini.

Wasicheze na Moshi,hata Ndesa asipogombea 2015.... CCM watalisikia hilo jimbo tu,kweli wako desparate yaani Nape ndiyo mwokozi wao? Alienda mkapa na Sumaye akashindwa...this guys are funny indeed!
 
Naona hata hao vijana kwenye picha maskini wanaapa kwa kutojiamini amini.

Wasicheze na Moshi,hata Ndesa asipogombea 2015.... CCM watalisikia hilo jimbo tu,kweli wako desparate yaani Nape ndiyo mwokozi wao? Alienda mkapa na Sumaye akashindwa...this guys are funny indeed!

Eti ndo ametikisa Moshi kwa mtindo huu? Give me a break!! Nilicheka kusikia jamaa anajigamba eti CHADEMA hawana amani kabisa kwa yeye kuja Moshi!? Kuja kuhutubia waandaji wa mkutano wanaohesabika, ndo katikisa hivyo mwenzenu
 
Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Latest News Tz: Latest News Tz: ZIARA YA NAPE MOSHI MKOANI KILIMANJARO





6.+Wanachama+wapya+wa+CCM+tawi+la+SIMCO+wakila+kiapo+baada+ya+kupewa+kadi+na+Nape+mjini+Himo%2C+jumla+ya+wanachama+108+ktoka+chuo+hicho+walikabidhiwa+kadi.JPG


Wanachama wapya wa CCM tawi la SIMCO wakila kiapo baada ya kupewa kadi na Nape mjini Himo, jumla ya wanachama 108 ktoka chuo hicho walikabidhiwa kadi.

1.+Baadhi+ya+wanafunzi+wa+SIMCO+wakiwa+kwenye+mkutano+na+Nape+mjini+HIMO%2C+wapili+kulia+ni+Rais+wa+SIMCO+Paul+Raurent.JPG


Baadhi ya wanafunzi wa SIMCO wakiwa kwenye mkutano na Nape mjini HIMO, wapili kulia ni Rais wa SIMCO Paul Raurent.

Mbona kama ni UWANI kwa mtu? FENSI na TILES hizo chini, pia Idadi ya watu, au ulikuwa mkutani wa CHUMBANI?
Nape na yeye kaanza za UWA kwa UWA badalaya zile za kitanda kwa kitanda?
 
Nadhani Watanzania tunahitaji kufahamu na kwa kweli kuamka usingizini kuhusu wajibu wa umma kwa serikali yao. Kwamba baada ya miaka hamsini ya uhuru, tukiwa tuko katika kizazi cha sayansi na teknolojia cha karne ya 21, bado tuko gizani, uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja uko taabani kiasi hiki, miundombinu ya kila kitu ni mibovu, elimu imedorora, huduma za jamii kama afya ni kichekesho, kisha katika mazingira haya chama ambacho kimekuwa madarakani miaka yote hiyo kinaweza kuwaendea wananchi kuwashawishi wakiamini kuwa kinaweza bado kuwaletea maendeleo na wakawepo wananchi walio tayari kuwasikiliza tu, licha ya kuwaamini, ni ushahidi tosha kuwa umma kwa kiwango kikubwa sana umelala usingizi.

Na haya ni matokeo ya "brain washing" ya zama za "zidumu fikra za mwenyekiti." Athari za kipindi cha ujamaa na kujitegemea au "unyamaa na kujitegea" tulijifunza kunyamazia kila kitu, kwa kuamini kuwa wakuu ni miungu wasiokosea katika falsafa wala utendaji, hivyo tukajenga taifa ambalo watu wake hawana initiative katika masuala ya kitaifa. Tukidhani tunaelekea kufikia "kujitegemea" kumbe tunakimbilia "kujitegea." Naam tumejitegea mpaka sasa tumeanguka kabisa kiuchumi na kila kitu.

Ndio maana waliokwisha amka kama Arusha, wakaona ilikotufikisha ccm, ni vigumu kumsikiliza katibu mwenezi wa kijani. Kwa sababu wanajua atakuwa "anaeneza" ukijani ule ule uliotufikisha hapa. TANZANIA AMKA!


Lunyungu,

Nipo ndungu yangu, ila mambo yanayoendelea kwa sasa hapa nyumbani yanakatisha tamaa. Mtu unashindwa hata kupata nguvu ya kutype. CCM lazima ijue ya kuwa ni chama tawala, kwa hiyo kama chombo chetu kinaenda mrama basi lawama zote ni zao. Sasa huyu Nape anapozunguka na kuzungumza ujinga wakati Watanzania wengi wako kwenye mgao mkali ni upumbavu wa hali ya juu. Infact, vikao vyake ni matusi makubwa kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom