COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
huyu anaongea kama either mbowe au dk. Slaaccm, cuf, tlp wote wana haki ya kueneza sera nchi nzima ninaomba vijana wa cdm arusha wasijihusishe kwenye vurugu yoyote na wakaazi wa huko wahiari wenyewe kwenda ama kubaki majumbaniwe know who rules in arusha!