Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

- Sawa sawa wala haina majadiliano, Bravo Nape!Willie @ NYC, USA.
anakula per diem za chama tu. Ni sawa na kujjaza maji kwenye ndoo inayovuja. Wananchi hawakichukii ccm bali wanachukia matokeo mabaya katika taifa yaletwayo na ccm. Ziara za nape zitakuwa na positive impact once government perfomace meet citizens expectations. Otherwisw narudia tena, nape anakula posho za safari tu
 
Nitawakosoa nyinyi ambao mnatumia lugha chafu kwenye siasa:

Ni hivi, unapokuwa huna hoja hutatoa mtizamo sahihi wa kile unachokisema matokea yake unapotaka kudraw attention utatumia matusi na lugha chafu kuwafanya watu waone hisia zako bila kujua zimeletwa na nini.

Chadema mna watu wazuri saaana na watu wabovu kupitas maelezo. Kitakachowasumbua sana ni kile ambacho baadhi yenu wanakifanya na si kizuri kwa chama chenu, kutumia jazba na matusi kujenga hoja. Ninawataka wana CDM wooote kujipanga, someni hoja za CCM kama mpinzani mkuu, angalieni yale ambayo mnaweza mkayafukia kwa hoja zenu mpya na nzito. Na hii ndiyo ilikuwa siri ya ushindi wa kishindo wa Baraka Obama pamoja na mapungufu yoooote ya kihistotia na kihadi ya kugombea uraisi. CHADEMA kicha sasa lazima kiwaume kujua mgombea anayeuzika uraisi ujaon ni nani? Ukiniuliza mimi ni mojawapo wa vijana ambao kifikra wako fresh an wana moyo wa kuthubutu hata hoja zao mpaka sasa zinamwelekeo. Sio Zito tafadhali! Shida mtakayoipata ni kuwa hawa CCM wanoongoza tayari walishaichakachua katiba na kulazimisha nchi hii iongozwe na wazee zaidi. Hivyo kwa hoja yangu kampeni ya Kastiba mpya isilale.

CCM imechafuka inanuka na imejaa matope, kwasababu tu wako baadhi ya watu walijimilikisha chama. Na hii kafara anayojitoa Nape, haiwezi kusahauliwa na wanachama wake, ama sivyo watakuwa wamekosa fadhila. Achilia mbali udhaifu fulanifulani aliyonao ambao upo pande zote wa kutumia personality ya kiongozi wa upinzani kujenga hoja bnadala ya sera. Anafanya kazi nzuri kwelikweli Bwna Nape kwa CCM kwa sasa na wako wengi tu ndani ya CCM hawapendi anachofanya maana kinaharibu yale matope waliyojipaka ili wasionekane huko waliko. CCM mna nafasi ya kushinda iwapo tu mtagawanyika kati yenu na kikazaliwa chama kipya kikiwa na wanamabadiliko wa kutosha ndani ya chama. Maana shida yenu CCM mlijikita sana kwney mfumo wa serikali na usalama hivyo inawawia shida upinzani kupata ushindi wa kweli. Ila kwa hivi mlivyo tayari kama kutafanyika utafiti wa umaarufu wa chama na uongozi, hamtaamini matokeo.
 
Uwezo wako wa kufikiri upo chin sana' Nape alikuwa na wanafunzi wa ccm wa vyuo' inamaana wanaosoma vyuo Moshi wote ni wachaga? HALAFU' HEBU TUELEZE NAPE AMEWAFANYAJE CDM.
Magamba na Magwanda mtajuana wenyewe!
 
Malecela,umewah kuona nape akihutubia????huwa anawahutubia wanafunz tena wa shule za msingi,sasa hawa watoto kwanini watolewe shule wamsikilize NNAUYE????,
Hata wanavyuo pia, wao wanakuwa wanatamani ajira pindi wamalizapo elimu yao ya juu. Wakishamaliza chuo wanajikuta hawana kazi kwa miaka minne hadi mitano. Mbaya zaidi wale watoto wa mafisadi wanaakuta ndio mameneja na mabosi kwenye vitengo kadhaa, watoto hawa wa maskini wanajikuta wameachwa with no option isipokuwa kuhamia chadema. Mimi naona Nape anatumia nguvu nyingi ambapo baada ya mwaka ukimwambia aevaluate impact anajikuta workdone is closely and approximately to 0.00000000099
 
Kabla ya Nape sijawahi kukisikia sana cheo chake hiki, wakati huo mtu maarufu kwenye chama ukiacha JK alikuwa ni Makamba, Lakini kwa sasa ni kama vile Mukama hayupo na Nguzo na tegemeo kubwa la CCM sasa limebaki kwa Nape, ndiye mwenye uthubutu wa kwenda kilimanjaro, Arusha na Mbeya. Kijana atakumbukwa sana huyu
kweli wewe kilaza kweli yaani sisi uku tunapewa hela, uku tunaahidiwa usafiri wa malori alafu unasema Nape amesubutu? Mpaka jezi za chama tunapewa ili tuende kwenye maandamano yake na mikutano yake ila ukiona mlevi anajipongeza kwa kelele nyingi jua ujuha umemzidia.
 
Nitawakosoa nyinyi ambao mnatumia lugha chafu kwenye siasa:Ni hivi, unapokuwa huna hoja hutatoa mtizamo sahihi wa kile unachokisema matokea yake unapotaka kudraw attention utatumia matusi na lugha chafu kuwafanya watu waone hisia zako bila kujua zimeletwa na nini.Chadema mna watu wazuri saaana na watu wabovu kupitas maelezo. Kitakachowasumbua sana ni kile ambacho baadhi yenu wanakifanya na si kizuri kwa chama chenu, kutumia jazba na matusi kujenga hoja. Ninawataka wana CDM wooote kujipanga, someni hoja za CCM kama mpinzani mkuu, angalieni yale ambayo mnaweza mkayafukia kwa hoja zenu mpya na nzito. Na hii ndiyo ilikuwa siri ya ushindi wa kishindo wa Baraka Obama pamoja na mapungufu yoooote ya kihistotia na kihadi ya kugombea uraisi. CHADEMA kicha sasa lazima kiwaume kujua mgombea anayeuzika uraisi ujaon ni nani? Ukiniuliza mimi ni mojawapo wa vijana ambao kifikra wako fresh an wana moyo wa kuthubutu hata hoja zao mpaka sasa zinamwelekeo. Sio Zito tafadhali! Shida mtakayoipata ni kuwa hawa CCM wanoongoza tayari walishaichakachua katiba na kulazimisha nchi hii iongozwe na wazee zaidi. Hivyo kwa hoja yangu kampeni ya Kastiba mpya isilale.CCM imechafuka inanuka na imejaa matope, kwasababu tu wako baadhi ya watu walijimilikisha chama. Na hii kafara anayojitoa Nape, haiwezi kusahauliwa na wanachama wake, ama sivyo watakuwa wamekosa fadhila. Achilia mbali udhaifu fulanifulani aliyonao ambao upo pande zote wa kutumia personality ya kiongozi wa upinzani kujenga hoja bnadala ya sera. Anafanya kazi nzuri kwelikweli Bwna Nape kwa CCM kwa sasa na wako wengi tu ndani ya CCM hawapendi anachofanya maana kinaharibu yale matope waliyojipaka ili wasionekane huko waliko. CCM mna nafasi ya kushinda iwapo tu mtagawanyika kati yenu na kikazaliwa chama kipya kikiwa na wanamabadiliko wa kutosha ndani ya chama. Maana shida yenu CCM mlijikita sana kwney mfumo wa serikali na usalama hivyo inawawia shida upinzani kupata ushindi wa kweli. Ila kwa hivi mlivyo tayari kama kutafanyika utafiti wa umaarufu wa chama na uongozi, hamtaamini matokeo.
Mkuu mbona na wewe unatukana? Unaposema ccm inanuka inamatope huoni kama ni kasha tena ni matusi? Hakuna lugha nyingine zaidi ya hiyo ya kuudhi?
 
nape kawashika pabaya magwanda
Mtoto mtamu wewe?Walahi nitauza shamba langu la pale geita kwa makaburuNikupate weye mazima. Ndoa yetu tutafanyia ccm kirumba.
 
nape kawashika pabaya magwanda
Jenifa ningefurahi sana kama nawe ungebakia gizani miaka 50 ya uhuru ila nakuonea huruma upo mwangani alafu hauoni pili kuwa miongozi mwa mnaounga hoja asilimia 100 uku ukiwa tayari umeshayajua mapungufu yake ila kama una mtoto au unategemea kupata mtoto Mungu akubariki uzae kizazi chema chenye uwezo wa kufikiria kuliko wewe.Amen!!
 
- Sawa sawa wala haina majadiliano, Bravo Nape!Willie @ NYC, USA.
Alafu magamba sometime mnafikiria kwakutumia matumbo nn, sasa bravo Nape kwa lipi kama nchi ipo Gizani, chama chenu kinalea na kukumbatia ufisadi, tunazidi kuwa masikini. Hebu kuwa na fikra za kizalendo au kwakuwa upo huko NY na u'experience shida za wagogo wenzako.
 
Nape anafaa kupongezwa.Ni kijana ambaye anaonesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kwa kiasi kikubwa sana kurudisha matumaini ya watanzania waliowengi kwa CCM.Haendeshwi kwa itikadi bali anawatetea watanzania wote masikini wa nchi hii.Viva Nape.
 
Nape anafaa kupongezwa.Ni kijana ambaye anaonesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kwa kiasi kikubwa sana kurudisha matumaini ya watanzania waliowengi kwa CCM.Haendeshwi kwa itikadi bali anawatetea watanzania wote masikini wa nchi hii.Viva Nape.
 
Nape ataendesha mikutano yake sehemu nyingi, lkn kwa uhalisia hatasababisha impact yoyote kwa CDM kutokana na ukweli kuwa watanzania wameamka. Watu maeneo mbalimbali ya nchi wanasema kama si CDM bunge lisingekuwa na changamoto vile, hata halmashauri vile vile. Nape anadhani anawahadaa CDM kwa kitendo cha kugawa kadi nyingi za ccm, kumbe changa la macho. Chadema hawategemei kuwa na wanachama wengi, bali matokeo ya kura, kwani mwisho wa yote hao hao wenye kadi za ccm ndio watakaoipigia kura CDM kutokana na sera za na hata uwezo wa kuthubutu kufanya. Nilisikia angekuja A town mbona hajafika?
 

Huyu Nape Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana ....nadhani huwa anafikiri kwa kutumia tumbo ndio maana kila siku linaendelea kuwa kubwa kama MIMBA.........TUNATAKA ATOE UFAFANUZI JUU YA KAULI YAKE YA KICHOCHEZI NA KUBAGUZI ALIZOZITOA DHIDI YA WACHAGGA NA WATU WA KANDA HIYO KWA UJUMLA......ASIFIKIRI WATU HAWAKUMBUKI........HUWA WATU WA HUKO HAWASAHAU.............

Jamani niliwaonya CCM kwamba they are investing in Liability......they are too desparate! Wajiandae kwa Tsunami 2015,itakuwa historia na namuomba Mungu aniweke hai
 
Kwangu mimi Kiongozi mwenye upeo mdogo ni Nape nashangaa anawapelekesha mchakamchaka CDM wote mpaka a loser Dr Slaa, nimeshangaa jana kuona Vijana wa Kichagga walivyojaa na kupewa kadi za Magwanda! Wakati majuzi tu Nape alisema CDM ni Chama cha Wachagga! Siasa za Tanzania ni Upuuzi tu, nchi inatakiwa ipate kiongozi kama Gadaff

Nape hana lolote,pia acha uzushi, kwenye mkutano Moshi nilikuwapo..hakuna umati wa watu, na sijawahi kuona watu wachache kiasi hicho katika shughuli za kisiasa hapa Moashi toka 1995! Dont exaggerate
 
Lakini nje ya urais wa Kikwete ana hali gumu sana ndani ya hiki chama.
 
Huyu ndiye mkuu wa wilaya ya Masasi? Anakaa lini Masasi???? Ndo maaana hizi nafasi za mkuu wa wilaya, ziondolewe ni upuuzi mtupu na ni wizi...na kupoteza hela kwa viluwiluwi kama Nape; aende aongoze wilaya.....
 
Kabla ya Nape sijawahi kukisikia sana cheo chake hiki, wakati huo mtu maarufu kwenye chama ukiacha JK alikuwa ni Makamba, Lakini kwa sasa ni kama vile Mukama hayupo na Nguzo na tegemeo kubwa la CCM sasa limebaki kwa Nape, ndiye mwenye uthubutu wa kwenda kilimanjaro, Arusha na Mbeya. Kijana atakumbukwa sana huyu
kweli kwa pumba anaongoza
 
Back
Top Bottom