Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Nisaidieni Jamani kweli huo ndio umati aliokuwa anauhutubia Nape??? Kwa nini iwe wanafunzi tu ambao inawezekana wanatokea nachingwea, songwe, bagamoyo, same, kibaigwa au msata? Wananchi wapiga kura wa Moshi wako wapi??

Picha za Chekereni hazionyeshi watu, kweli Kilimanjaro ni wajanja.
 
Jama nilichelewa kupitia hii thread! Na sijaipekuwa vema mpk sasa. Je? Kwa EL atatua lini? Ama ameshaingia. Smhnn wanaJF!
 
Kabla ya Nape sijawahi kukisikia sana cheo chake hiki, wakati huo mtu maarufu kwenye chama ukiacha JK alikuwa ni Makamba, Lakini kwa sasa ni kama vile Mukama hayupo na Nguzo na tegemeo kubwa la CCM sasa limebaki kwa Nape, ndiye mwenye uthubutu wa kwenda kilimanjaro, Arusha na Mbeya. Kijana atakumbukwa sana huyu
 
Naona hata hao vijana kwenye picha maskini wanaapa kwa kutojiamini amini.

Wasicheze na Moshi,hata Ndesa asipogombea 2015.... CCM watalisikia hilo jimbo tu,kweli wako desparate yaani Nape ndiyo mwokozi wao? Alienda mkapa na Sumaye akashindwa...this guys are funny indeed!

Huyu Nape Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana ....nadhani huwa anafikiri kwa kutumia tumbo ndio maana kila siku linaendelea kuwa kubwa kama MIMBA.........TUNATAKA ATOE UFAFANUZI JUU YA KAULI YAKE YA KICHOCHEZI NA KUBAGUZI ALIZOZITOA DHIDI YA WACHAGGA NA WATU WA KANDA HIYO KWA UJUMLA......ASIFIKIRI WATU HAWAKUMBUKI........HUWA WATU WA HUKO HAWASAHAU.............
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwangu mimi Kiongozi mwenye upeo mdogo ni Nape nashangaa anawapelekesha mchakamchaka CDM wote mpaka a loser Dr Slaa, nimeshangaa jana kuona Vijana wa Kichagga walivyojaa na kupewa kadi za Magwanda! Wakati majuzi tu Nape alisema CDM ni Chama cha Wachagga! Siasa za Tanzania ni Upuuzi tu, nchi inatakiwa ipate kiongozi kama Gadaff
 
ni bora umelitambua kua nape anaupeo mdogo...
 
Ninamwomba asirudie njiani naomba afike na huku Monduli
 
nape kawashika pabaya magwanda

Magwanda huvuliwa kila apitapo NAPE! Safi sana kazifuma na barua zao za uchochezi kwa wananchi, zinazowaomba wananchi kuacha kuchangia maendeleo kama vile Tindu Lissu anavyofanya jimboni mwake
 
nape kawashika pabaya magwanda

Mbona mnatuchanganya? Mwenzako anasema Nape amekuwa maarufu ndani ya ccm wewe eti Nape kawashika pabaya magwanda! Hebu tutajie Nape ameewafanya nin magwanda basi.
 
Magwanda huvuliwa kila apitapo NAPE! Safi sana kazifuma na barua zao za uchochezi kwa wananchi, zinazowaomba wananchi kuacha kuchangia maendeleo kama vile Tindu Lissu anavyofanya jimboni mwake

Nadhani tunatikiwa kuwa great thinkers sio kuposti vitu ambavyo havina tija kwa maslahi ya nchi...Sisi wa singida mashariki tunaedelea kufurahia mafanikio yaliyoletwa na kijana wetu tundu,michango kwa ajili ya diwani aitwae Nyassi(ccm), hakuna tena..sasa tunachanga kwa ajili ya maendeleo tu.
 
ni bora umelitambua kua nape anaupeo mdogo...
Hapo ndipo nashangaa kwa nini kila siku anazidi kuwapoteza CDM pamoja na wasomi wake wote nguvu ya umma! Kaenda mpaka moshi, Arusha, hii ya moshi na Arusha ndio nimeshangaa nilitegemea kuona wazee wanachukuwa kadi za magamba kumbe ata vijana wa kichagga bado wanaipenda magamba wanaminika kwa wingi kuchukuwa kadi tena ni Wasomi!
 
Kwangu mimi Kiongozi mwenye upeo mdogo ni Nape nashangaa anawapelekesha mchakamchaka CDM wote mpaka a loser Dr Slaa, nimeshangaa jana kuona Vijana wa Kichagga walivyojaa na kupewa kadi za Magwanda! Wakati majuzi tu Nape alisema CDM ni Chama cha Wachagga! Siasa za Tanzania ni Upuuzi tu, nchi inatakiwa ipate kiongozi kama Gadaff

Uwezo wako wa kufikiri upo chin sana' Nape alikuwa na wanafunzi wa ccm wa vyuo' inamaana wanaosoma vyuo Moshi wote ni wachaga? HALAFU' HEBU TUELEZE NAPE AMEWAFANYAJE CDM.
 
Kabla ya Nape sijawahi kukisikia sana cheo chake hiki, wakati huo mtu maarufu kwenye chama ukiacha JK alikuwa ni Makamba, Lakini kwa sasa ni kama vile Mukama hayupo na Nguzo na tegemeo kubwa la CCM sasa limebaki kwa Nape, ndiye mwenye uthubutu wa kwenda kilimanjaro, Arusha na Mbeya. Kijana atakumbukwa sana huyu

- Sawa sawa wala haina majadiliano, Bravo Nape!

Willie @ NYC, USA.
 
Malecela,umewah kuona nape akihutubia????huwa anawahutubia wanafunz tena wa shule za msingi,sasa hawa watoto kwanini watolewe shule wamsikilize NNAUYE????,
- Sawa sawa wala haina majadiliano, Bravo Nape!Willie @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom