Bora huyu aliyejenga barabara mbovu ila yule aliyetuahidi mvua ya mabomu iko wapi?
Haki ikikosekana vita na machafuko utokea.Makoleo ni mgombea wa mfukoni so maccm lazima yauane.Pombe hafai mkurupukaji Piga Mbizi ukishindwa
Bora huyu aliyejenga barabara mbovu ila yule aliyetuahidi mvua ya mabomu iko wapi?
Nape funga mdomo,Kingunge anajua fitna na siri nyingi za chama.Lowasa anajua wizi mwingi wa chama,wakisema hawa mtaficha wapi sura zenu
Kwani Mwandosya ni nani kwake?
nani kakwambia cm kuna mpasuko au ndi timu wale mlio tumwa kuichafuwa ccm ktk mitandao acha izo mkubwa mbona tunawatambuwa sanakatika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya ccm, jana nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.
Nionavyo ubabe huu lazima ccm watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. Katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu mzee makamba kaibuka na kumzodoa kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.
Acha mpambano uendelee.
Sidhani...kama ana chembe ya kuheshimu mtu, si ndiye huyu aliyesema 'wazee wanasubiri kwenda mbele ya haki..!' Nappe kimeo kweli ndani ya chama.Nape waheshimu wazee wako.
Wewe hiyo si ni siri lakini?Kingunge ndo mganga wa ccm. Ameshasema wasipoyamaliza kwa kumuomba msamaha lowassa, wasahau kushinda
Nape akiwa Dsm akitoka Ofisini lazima aende kwanza Kwa Membe kisha Kwa mpambe wa membe Jack Gotham mratibu wa Goli la mkononi ambalo lilifeli baada ya wajumbe kumkataa Membe, Kuna Siri nyingi sana hapa juu ya njama za Nape, January Makamba na huyo Jack ambaye ndiye anazihifadhi baadhi ya Pesa za Marehemu Gadafi na huyo huyo ndiye alisuka line zote za kupoteza ushahidi ikiwemo kumpoteza balozi wa Libya ambaye alikuwa na Siri zote za Mali za Gadafi na mapesa yake. Nape alipokea majina 5 toka kamati ya maadili akiwemo makongoro Nyerere na bilal , Nape na wazee wake wakachakachua faster wakayakata hayo majina wakampachika January na Membe kimagumashi wakiamini kutumia Goli la mkononi kumpa Ugombea wa cc Membe lakini wajumbe wakagoma na kuamua kupiga kura za kumkomesha Membe wakampa magufuli Kwa lazima pasipo kujali nini kitatokea mbeleni . Magufuli hakuwa Chaguo Lao la Goli la mkono isipokuwa ilibidi wajipendekeza haraka ili kuficha Aibu ya Chaguo Lao Membe kutupwa kapuni. Hivyo Nape yupo Kwa magufuli kinafiki tu hana upendo wowote kwani hakuwa Chaguo lake.Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.
Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba kaibuka na kumzodoa Kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.
Acha mpambano uendelee.
Kwani Mwandosya ni nani kwake?
Sidhani...kama ana chembe ya kuheshimu mtu, si ndiye huyu aliyesema 'wazee wanasubiri kwenda mbele ya haki..!' Nappe kimeo kweli ndani ya chama.
Nape baba yake ni Mwandosya
Huyu Kijana naona mwisho wake ni Oct.2015
Hicho kizee Makamba huwa ni kigeugeu ndiyo maana walikitupa ccm kikaludi kijijini , Wakati wa heka heka za Dodoma yeye alikuwa busy na Vigagula alitumia mda mwingi kuwaloga Wajumbe yaani Kwa kifupi wajumbe wana hasira sana na huyo Mzee baada ya kupata taarifa kuwa alikuwa akiwaroga sana.
Makamba bila haya aibu! Hajui mwanaye naye alikuwa sehemu ya wagombea-kwa hiyo yeye hakuwa na Masilahi binafsi?
Jeuri ya CCM ni uwapo wa vijana na watu wazima wa aina hii alafu watu oyeeeeeeeeeeeeee ! Maisha Bora kwa kila mtanzania.
Hili la viuno haikutosha likaja ;
Maongezi ya vijiweni wakati mwingine muwe mnayaweka akiba!Nape akiwa Dsm akitoka Ofisini lazima aende kwanza Kwa Membe kisha Kwa mpambe wa membe Jack Gotham mratibu wa Goli la mkononi ambalo lilifeli baada ya wajumbe kumkataa Membe, Kuna Siri nyingi sana hapa juu ya njama za Nape, January Makamba na huyo Jack ambaye ndiye anazihifadhi baadhi ya Pesa za Marehemu Gadafi na huyo huyo ndiye alisuka line zote za kupoteza ushahidi ikiwemo kumpoteza balozi wa Libya ambaye alikuwa na Siri zote za Mali za Gadafi na mapesa yake. Nape alipokea majina 5 toka kamati ya maadili akiwemo makongoro Nyerere na bilal , Nape na wazee wake wakachakachua faster wakayakata hayo majina wakampachika January na Membe kimagumashi wakiamini kutumia Goli la mkononi kumpa Ugombea wa cc Membe lakini wajumbe wakagoma na kuamua kupiga kura za kumkomesha Membe wakampa magufuli Kwa lazima pasipo kujali nini kitatokea mbeleni . Magufuli hakuwa Chaguo Lao la Goli la mkono isipokuwa ilibidi wajipendekeza haraka ili kuficha Aibu ya Chaguo Lao Membe kutupwa kapuni. Hivyo Nape yupo Kwa magufuli kinafiki tu hana upendo wowote kwani hakuwa Chaguo lake.
Hakuna mpasuko. Si mara moja au mbili kumekuwa na mawazo pinganifu na hatukusema mpasuko. Lowassa na Kingunge ni wanachama tu kama wengine if hawajaridhika wanaweza kuhamia vyama vingine au kuanzisha chao