Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nidhamu ya nape na makonda hazina tofauti
Kikwetu ukikuta baba yako kalewa yuko uchi unatafuta majani unamfunika funika wasimcheke. Wakimcheka ni sawa na wamekucheka wewe. Ila pombe zikimuisha unamweka kitimoto na kumtolea uvivu.
Nape wape wape vibano ulevi umekwisha ulikwa kule Conventional Center DOM, Sasa hivi waelimishwe CCM yetu wote. Nilisikitika sana mtu mmoja akasema mimi na chama changu, badala yakusema Mimi na chama chetu..
CCM OYEE UKAWA JUU
 
Nidhamu ya nape na makonda hazina tofauti
wazee wasiojiheshimu na ambao wanafikiri kwa matumbo yao wala hawahitaji chembe ya heshma! kwani walishajivua kutoka kwenye daraja la kutukuka.
 
Nape yupo sahihi..... CCM haiendeshwi kwa vitisho. Kingunge anatetea maslahi yake kwa Lowasa. Kila mwanachama ndani ya CCM anayohaki sawa hakuna aliye bora zaidi ya mwenzake hivyo asituaminishe kuwa LOWASA ndo mtu pekee ndani ya chama mwenye uwezo wa kuongoza taifa hili.
 
Huwa namchukia Nape...lakini kwa hili Big Up mwana!....hela itamtokea puani Babu!
 
Nape waheshimu wazee wako.

je na wazee wasipojiheshimu tufanye nini..?

sometimes inakera pale baadhi wanajifanya wao ndio chama na kauli yao lazima iwe ya mwisho ...kwa sababu ya Age tu....

kingunge anatakiwa anyamaze .. maana kila akiongea tunazidi kumdharau
 
Nape yupo sahihi..... CCM haiendeshwi kwa vitisho. Kingunge anatetea maslahi yake kwa Lowasa. Kila mwanachama ndani ya CCM anayohaki sawa hakuna aliye bora zaidi ya mwenzake hivyo asituaminishe kuwa LOWASA ndo mtu pekee ndani ya chama mwenye uwezo wa kuongoza taifa hili.

Nape ni kichaa
 
je na wazee wasipojiheshimu tufanye nini..?

sometimes inakera pale baadhi wanajifanya wao ndio chama na kauli yao lazima iwe ya mwisho ...kwa sababu ya Age tu....

kingunge anatakiwa anyamaze .. maana kila akiongea tunazidi kumdharau

Wewe mwenyewe umeshadharaulika tayari
 
hilo ndio toto la kimwera bhana lina maneno kunya kweli kweli
 
Mi napenda hivi itimie siku patokee CCM na CCM Academia.bila hivyo hii nchi haitaendelea kamwe
 
Ni dhahiri Kingunge akili yake imerudi utotoni;
Nape ni msemaji wa ccm na anekuwa akiwaonya na huyo fisadi sasa kwa kuwa hawakutaka kusikia sauti yake yamewakuta.
 
Ni dhahiri Kingunge akili yake imerudi utotoni;
Nape ni msemaji wa ccm na anekuwa akiwaonya na huyo fisadi sasa kwa kuwa hawakutaka kusikia sauti yake yamewakuta.

Nape ni kichaa,mzee amesema kweli ccm si ya mkwere peke yake
 
Nepi ni kichaaa,kingunge pambana mpaka lowasa arudishwe.Pombe hatumtaki amejenga barabara mbovu

Bora huyu aliyejenga barabara mbovu ila yule aliyetuahidi mvua ya mabomu iko wapi?
 
Back
Top Bottom