Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ipo

Nape ni shiiiiiiiiiiiida.... Sasa kahamia Ukawa yupo busy kubuni mbinu za kuwakoroga wavurugane hadi Ukawa ivunjike kafanikiwa kumnasa Lipumba tayari amepokea pesa, yupo mbioni kumvaa Mbatia lile Goli la mkono lazima litafutiwe njia nyepesi za kupenya zaidi .
 
kwahio chama kijana ndo kitakuja na jipya wakati viongozi wake ni hao akina Slaa na Mbowe waliogeuza chama kijana SACCOS ya kaskazini si wakipewa nchi wataifanya SACCOS yao pia?.
 
Kama hata prof kanunuliwa kama ulivyodai basi huyu raia anayeitwa Nape si wa kawaida, hivi kweli watu wanapewa kias gan mpaka wakubali?
 
mzee kingunge ametoa dukuduku lake moyoni hakutaka kuwa mnafiki kaanika mbinu zote chafu, na ukiwikaji wa tarabibu na uchakachuaji ulivyokwenda , huo ndiyo uhuru wa kutoa mawazo , sasa wapo wabishi baadhi wamejitoa fahamu na kuamua kumkejeli maksudi ! Ni vyema ccm wangetumia haya mapungufu kama somo la kujifunza badala ya kumwandama kingunge kwanza. Nape sasa yupo kwa magufuli kinafiki baada ya chaguo lake membe kuangukia pua yupo busy akijipenyeza kwa magufuli akiombea ashinde ili angalau membe apate uwaziri tena maisha yaendelee, nape yupo kwa magufuli usoni lakini rohoni yupo kwa membe na january makamba .
jamani taratibu na jazba mpaka mnasahau kuwa kanu ni chama cha siasa kenya siyo tanzania...!!!!
 
Nape ni shiiiiiiiiiiiida.... Sasa kahamia Ukawa yupo busy kubuni mbinu za kuwakoroga wavurugane hadi Ukawa ivunjike kafanikiwa kumnasa Lipumba tayari amepokea pesa, yupo mbioni kumvaa Mbatia lile Goli la mkono lazima litafutiwe njia nyepesi za kupenya zaidi .

Kama ni Kweli lazima kumheshimu Nape..... Atakuwa Kiboko ya mbinu za mapambano...
 
Nape yuko sahihi sana ! Chama chetu kina taratibu zake kama mwanachama hajaridhika na maamuzi ya chama. Nape hana mamlaka ya kuzuia huyo mzee, naam, fanya unachotaka kufanya!
 
sijaelewa mwenzenu eti nape na makufuli wanawakilisha vijana!?, utakua unatania wewe ivi pale ccm kuna kigogo anayesomesha kayumba siku izi!?, kuna mtu ccm amechoka rushwa? unazingua wewe au labda haujaelewa maana ya rushwa? nenda shule kwanza ndio uje utuaminishe kuwa ccm ya sasa itakuja na sera nzuri kwa kukiuka kanuni kwa kigezo cha maadili ili kupitisha mtu wao
 
Kikwete aliposema safari hii atahakikisha atamuachia (sijui ni yeye anayetuamulia nani awe rais?) rais kijana kijana, wakajitokeza Sitta, Wasira, Pinda na wengineo.
 
naomba kuuliza baada ya uchaguzi mkuu nini mustakabali wa nape na makonda...watakuwa wabunge, watapandishwa vyeo chamani au ndo kama akima Matteo karesi na mashishanga
 
Kwa ccm nifah kuanzia miaka 50 kwenda mbele ndo ujana unapoanza.. ukiwa na kati ya miaka 30-40 wewe ni chipukizi..

Hahahaaaaa dah mkuu sosoliso hua unanichekesha sana Wallah.
Kumbe ndio maana Le Mutuz hadi leo ana uanachama wa UVCCM?
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi UJANA ni deal. Na kwa kujuwa hilo, inatumika kimaslahi binafsi na watu mbali mbali, wanavotaka! Usishangae mtu wa sixty kuitwa a young boy!

Dah, nimeshangaa sana eti Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!
Wenzetu hawataki kukubali kua jioni yao imeshafika.
 
Acha watu waitwe vijana hadi miaka 70 lakini nature itawa aggregate tu au hata tembea yao utajua no longer

Mkuu umenikumbusha kuna uzi fulani humu ulikua unahusu miondoko ya wameshimiwa nilicheka sana maana kuna jamaa alielezea Mh. Sitta anavyotembea bila kumsahau mkulu.
 
kwahio chama kijana ndo kitakuja na jipya wakati viongozi wake ni hao akina Slaa na Mbowe waliogeuza chama kijana SACCOS ya kaskazini si wakipewa nchi wataifanya SACCOS yao pia?.

Akili yako bado ipo kwa nape hajakurudishia?
 
naomba kuuliza baada ya uchaguzi mkuu nini mustakabali wa nape na makonda...watakuwa wabunge, watapandishwa vyeo chamani au ndo kama akima Matteo karesi na mashishanga

Makonda atateuliwa kuwa mbunge kisha atateuliwa kuwa waziri na endapo Nape atafanikiwa kuwakoroga Ukawa atapandishwa cheo na kuwa Katibu mkuu kwani kinana anampango wa kusitaafu .
 
Back
Top Bottom