Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Fahamu kwamba CCM ni chama kikubwa. Pia elewa kuwa chama si Lowassa wala Kingunge.Hata wakitoka ndani ya chama hawana athari yeyote kwanza hao ni wezi tu. Mzee Kingunge analopoka tu sasa pesa alizopewa na Lowassa zinamsumbua. CCM itaendelea kuwepo daima.
[/QUOTE]
 
kingunge imekula kwake kama alitegesha dili lake alifanikishe baada ya october imekula kwake
 
Kuna mabadiliko CCM mgombea wao Magufuli ana miaka 56 ambaye yeye na vijana wengine ni kizazi kipya cha CCM tofauti na Kingunge, Mkapa, Kikwete, Lowassa na hata Membe wote wapo kwenye miaka ya 60 na kuendelea.

Kingunge anawakilisha siasa za zamani za CCM ambazo hazipo tena. Ni kama kiatu kilicho chakaa lakini kinataka kuvaliwa bado!.

Tofauti za Nape na Kingunge zinaonyesha kwamba vijana tofauti na Wazee wamechoka rushwa na hakuna uvumilivu kama wakati wa kingunge mfano sasa huwezi kusingizia wazungu mabeberu kwenye sera mbaya tena, huwezi kusema uzalendo wakati unakula rushwa, huwezi kusema umegenga shule za kata wakati watoto wako wanasoma private school uingereza.

Watanzania wa kizazi cha sasa wanaona kwa macho yao, wanasikia vitu kwa masikio yao moja kwa moja bila kutegemea radio ya serikali au gazeti la uhuru. Wananchi wa sasa wanaweza kupigia kura upinzani bila kuongopa na CCM ya sasa inatakiwa kushindania mbinu za kimaendeleo.

Kwa mawazo yangu huyu mzee akubali mabadiliko na kuachia vijana wa CCM waendeshe nchi.
 
Kuna mabadiliko CCM mgombea wao Magufuli ana miaka 56 ambaye yeye na vijana wengine ni kizazi kipya cha CCM tofauti na Kingunge, Mkapa, Kikwete, Lowassa na hata Membe wote wapo kwenye miaka ya 60 na kuendelea.

Hivi umri wa mwisho kuitwa kijana ni miaka mingapi?
Maana naona hadi Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!
 
Fahamu kwamba CCM ni chama kikubwa. Pia elewa kuwa chama si Lowassa wala Kingunge.Hata wakitoka ndani ya chama hawana athari yeyote kwanza hao ni wezi tu. Mzee Kingunge analopoka tu sasa pesa alizopewa na Lowassa zinamsumbua. CCM itaendelea kuwepo daima.
[/QUOTE]
Kingunge hajasema ccm ni chama kidogo wala hajasema watahama ccm, yeye alizungumzia mapungufu ya mchakato wa uteuzi wa majina kule Dodoma, kingunge hataki chochote ndiyo maana hakuwa Mnafiki Kama wale wengine ambao wamekaa kiimya Kwa kuhofia kutoswa na magufuli kwenye Ulaji na madaraka ya kuneemeka, ccm hakuna Msafi wowote ni shiida Hata Hilo Goli la mkono kulinadi itakuwa kazi kuliko 2010 msijidanganye kuwa watanzania wa sasa ni wajinga Kama wa zamani.
 
Hivi umri wa mwisho kuitwa kijana ni miaka mingapi?
Maana naona hadi Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!

Siku hizi UJANA ni deal. Na kwa kujuwa hilo, inatumika kimaslahi binafsi na watu mbali mbali, wanavotaka! Usishangae mtu wa sixty kuitwa a young boy!
 
Kwa ccm nifah kuanzia miaka 50 kwenda mbele ndo ujana unapoanza.. ukiwa na kati ya miaka 30-40 wewe ni chipukizi..
 
Last edited by a moderator:
Huyu babu kingunge angekuwa Wa maana asingejihusisha kwenye siasa chafu za makundi ktk umri ule. Wanasema uzee ni hazina ila Wa kingunge ni debetupu.

Hivi wale wazee wa kamati ya maadili wana hazina gani juu ya uzee wao? Mbona walimkata jina bilali ? Kwani bilali hakuwa na maadili? Je? Membe alikuwa na maadili gani mpaka hao wazee wakampitisha top 5 ? Kabla ya kwenda Kwa kingunge anza na hao wazee wako kwanza.
 
Maslahi yatamfanya afe macho wazi ashindwe kuzikwa kwa heshima buree

Ulitaka afumbie macho Magumashi kisa kusaka kuzikwa Kwa Heshima? Huu Ukweli aliosema utampatia watu wengi wa kumzika Kwa Heshima nyingi.
 
Duh rafiki, Magufuli ni mwanzilishi katika CCM...je unajua ni lini alipewa kadi yake?
 
Magufuli ni kijana ukimlinganisha na Kingunge na wengine.
 
Nape shut up...

Kingunge ni mzee wa heshima na mwanzilishi wa KANU, hadi CCM, anajua haki, taratibu na kanuni za CCM kuliko ww mtoto mdogo unanuka maziwa...

Uwe na adabu, Nape hana adabu kabisa, na anatumika vibaya, na wananchi wanamchukia sana, alafu ndio anategemewa na CCM apige kampeni... CCM itaambulia mabua mwaka huu... kifo kiko wazi

Mzee kingunge ametoa dukuduku lake moyoni hakutaka kuwa Mnafiki kaanika mbinu zote chafu, na ukiwikaji wa tarabibu na Uchakachuaji ulivyokwenda , huo ndiyo uhuru wa kutoa mawazo , sasa wapo wabishi baadhi wamejitoa Fahamu na kuamua kumkejeli maksudi ! Ni vyema ccm wangetumia haya mapungufu Kama Somo la kujifunza badala ya kumwandama kingunge kwanza. Nape sasa yupo Kwa magufuli kinafiki baada ya Chaguo lake Membe kuangukia pua yupo busy akijipenyeza Kwa magufuli akiombea ashinde ili angalau Membe apate Uwaziri tena maisha yaendelee, Nape yupo Kwa magufuli usoni lakini rohoni yupo Kwa Membe na January Makamba .
 
Hivi umri wa mwisho kuitwa kijana ni miaka mingapi?
Maana naona hadi Magufuli mwenye miaka 56 ni kijana!

Acha watu waitwe vijana hadi miaka 70 lakini nature itawa aggregate tu au hata tembea yao utajua no longer
 
kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ipo
 
na wengine akina Lowassa na Slaa

magufuli ni kambare kwenye mto wa mamba. ccm hatuwataki hata mchambue vipi , kama kingunge ni mzee basi na chama ni kizee tunataka chama kijana. mmekua walaghai sana, trip hii mtawakamata lasaba na wasomi wezi kama nyinyi.
 
Back
Top Bottom