Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Magufuli ni mtu wa makamo sio mzee wala kijana.
Mzee ni miaka 60 mpaka 90.
Uzee wa heshima (kikongwe) kuanzia tisini na kuendelea.
 
Dhana ya ujana ni miaka 45 hadii hadi 50

Lakinib ujana wenyewe hasa

(kwa maana ya kujitambua )

ni miaka 22 hadi 45

Zaiidi ya hapo ni MTU nzima
 
wNashindwa kuelewa mzee Kigunge leo analalamikia mfumo ule ule uliyomfanikisha Kikwete achukue nchi 2005 badala ya Salim.

Pia nashangazwa na Msekwa na Nape badala ya kujibu hoja ya mzee alosema wao wanamtukana na kumkejeli halafu wanajiita makada wa chama.

Tatizo hii nchi yetu CCM wamelewa na madaraka na naamini kuwa watashinda uchaguzi huu unaokuja..

Angalia UKAWA walikuja na mwendo wa kasi na wananchi wengi mimi mmojawapo niliwakubali sio kwa itikadi bali tunahitaji mabadiliko ya uongozi ilikupunguza ulevi wa madaraka........CCM.

Nilitegemea na wao waache uchu wa madaraka bali wafikiri kuleta mabadiliko nchini lakini wapi na wao kina Lipumba,Slaa na Mbowe wanataka kiti kwa nguvu.....jamani walishagombania hapo nyuma si waachie wengine katika UKAWA??????kwani wana ubora gani zaidi ya hawo wengine??????
 
Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.

Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba kaibuka na kumzodoa Kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.

Acha mpambano uendelee.

Kazi hiyo, sasa shughuli inazidi kupevuka, ilianzia Dodoma, ikaenda Dar sasa inaelekea Lushoto, na punde itaelekea Kilwa. Hahahahahahahaha.
 
Nape yupo Kwa magufuli kinafiki tu wala hana mzuka naye kwani Chaguo lake la kwanza lilikuwa membe na pili lilikuwa January Makamba .

Nape aliahidiwa Uwaziri Mkuu na Joka la Mdimu ndio maana alimuachia jimbo lake la Mtama.
 
du! hii siasa nouma! jamani mimi kwa upande huu naona bora tukae kimya sababu wao wanajua ni nini wanachojibizana..
 
Nape funga mdomo,Kingunge anajua fitna na siri nyingi za chama.Lowasa anajua wizi mwingi wa chama,wakisema hawa mtaficha wapi sura zenu

mwizi hawezo kuropoka juu ya mwizi mwenzake unaposema Lowassa anajua wizi mwingi ni uliofanyika au una maanisha kuwa amebobea katika wizi? Kingunge anatetea maslahi yake so ukimshangaa sana utashangazwa wewe..
 
Kingunge ndo mganga wa ccm. Ameshasema wasipoyamaliza kwa kumuomba msamaha lowassa, wasahau kushinda

Mikwara ya Mende kuangusha kabati... yeye sio Mungu ni Kingunge mgombea wake jina lishakatwa angekuwa na huo uchawi wa hivyo jina lisingekatwa
 
ukawa chaguo la mungu


CUFwameomba kujitoa
attachment.php
 

Attachments

  • UKAWA CUF.jpg
    UKAWA CUF.jpg
    68.3 KB · Views: 1,383
Kazi hiyo, sasa shughuli inazidi kupevuka, ilianzia Dodoma, ikaenda Dar sasa inaelekea Lushoto, na punde itaelekea Kilwa. Hahahahahahahaha.

...usisahau timbwili la arusha na vyuoni...
 
Back
Top Bottom