Nape, Kadi ya CCJ Ulimrudishia Nani?

Nape, Kadi ya CCJ Ulimrudishia Nani?

Huo usalama wataujua wapi kama Bilali mwenyewe anatembea kama ana homa ktk siasa?wengine ni kwenda kula kuku ulaya kila kukicha na virushwa vidogo vidogo ili wawalainishe wanasiasa wajinga wajinga kama wa bongo
 
MKUU ukishajiunga kwenye uongozi wa Serikali ya MAGAMBA lazima uwe ZEZETA (zombie)hata kama wewe Profesa

Ukitaka kuundoa uprofesa wako na kuurejesha kuwa elimu ya vidudu au chekechea basi teuliwa kuwa waziri au gavana wa benki ya Tanzania, hypothesis was tested and confirmed
 
Kuna watu watabisha tu ali mradi wamebisha hata kama hawana supporting evidence ya kusupport arguments zao. Mbumbumbu waliokuwa wanabadilisha madarasa kila mwaka kutoka darasa moja hadi jingine na kujiona wameelimika kumbe ni bado mbumbumbu tu.

Ushahidi wa madhara kwa binadamu na mazingira unaosababishwa na uchimbaji wa uranium uko chungu nzima kutoka nchi mbali mbali duniani ambazo madini hayo yanachimbwa. Katika baadhi ya ushahidi mpaka picha za kutisha za waathirika zipo lakini sikupenda kuziweka hapa, lakini bado watu wanaweza kuandika/kusema uongo bila haya woga au aibu ya uongo wao wanasahau kwamba zile zama za kuamini uongo za mwaka 47 zimepitwa na wakati.

Fuata link hapo chini kujionea madhara ya kiafya yaliyosababishwa na uchimbaji wa dhahabu ambayo mpaka leo Serikali haijakubali hadharani kuathirika kwa afya za Watanzania na mazingira na pia kuwafidia waathirika wote.

Tanzania: Killings and Toxic Spill Tarnish Barrick Gold

Sasa tungoje madhara yatakayosababishwa na uchinbaji wa uranium ambayo yatakuwa makubwa sana kuliko haya ya uchimbaji wa dhahabu.
 
Hivi aina nyingine za madini tumezifaidi vipi watanzania???Au ndo tunaishia kusikia mrahaba wa asilimia 3 tu?Tena zinazoishia mifukoni mwa watu wachache wenye nchi yao?Wanaozunguka migodi wamefaidi vipi uwepo wa raslimali hiyo katika maeneo yao?
 
Hivi aina nyingine za madini tumezifaidi vipi watanzania???
Au ndo tunaishia kusikia mrahaba wa asilimia 3 tu?
Tena zinazoishia mifukoni mwa watu wachache wenye nchi yao?
Wanaozunguka migodi wamefaidi vipi uwepo wa raslimali hiyo katika maeneo yao?
 
Alivyokabwa hivi atakuja na mrejesho wa mwanachama mfu kuwa c mwanachama ili ajisafishe kwa mlinganisho.IVI C HUYU HUYU NAPE alituambia Dr Lwaitama ni chadema?wakti Lwaitama huwa anajitambulisha ni mwanachama mfu wa ccm..nape apimwe akili
 
muke ya muzungu unakuja na hoja ambayo ni rahisi sana kufutika,,CCJ haikupata usajili wa kudumu, sasa kadi zitoke wapi, kadi utolewa pale chama kinapokua kamili na kinaandikisha wanachama yaani kinapokua halali kisheria baada ya kupata usajili wa kudumu. ila sikulaumu kwa sababu unajua hoja dhaifu kama hii wanaCDM wengi wako tayari kupoteza nguvu na akili kuijadili kwa sababu za hisia na ushabiki usio na tija.
 
Ni kweli mkuu , Uranium ore in its natural state haina madhara yanayoonekana mpaka ianze kuwa concentrated.
Kuna processes nyingine za hospitalini ambazo ni hatari zaidi kuliko naturaly mined Uranium ore.

Kitu cha maana ni kujua safe handling ya madini haya.
Vile vile kuna madini mengi tu ambayo yako naturally radioactive.

Naomba nijiite mtaalamu labda utaniamini.
Ktk dunia hii hakuna machimbo ya madini yaliyo hatari kuliko ya Uranium. Uranium ukishaichimba tu na kuitoa ktk mazingira yake ya usalama, huko kwenye ore unakosema, tayari inakuwa ni hatari kwa wachimbaji na mazingira yanayozunguka mgodi.

Usijidanganye eti mpaka ifanyiwe concentration, NO! NO! Concentration ni kwa ajili ya silaha na nguvu nyingine.

Kwa kuwa nimejiita mtaalamu hebu angalia uhusiano wa Uraniuma na gesi ya Radon, tafuta ubaya wa Radon na hapo ndo utamuona huyu Profesa anageuka kuwa tatizo kwetu kuliko hata Uranium.

Kama haya anayoyasema ndo yale anayoyasema ktk vikao vya baraza la mawaziri, basi tuna tatizo na elimu yetu na wasomi wetu. Wanaweza kujidanganya kumuamini kwa elimu yake kumbe ni mzembe wa kutafuta ukweli.

Kizazi hiki cha wanasiasa wanatamani kuvuna faida ya Uranium kabla hawajaondoka. Hilo ndo tatizo.
 
Kwa kuwa nimejiita mtaalamu nashauri uangalie uhusiano wa Uraniuma na gesi ya Radon. Tafuta ubaya wa Radon na hapo ndo utamuona huyu Profesa anageuka kuwa tatizo kwetu kuliko hata Uranium.

Kama haya anayoyasema ndo yale anayoyasema ktk vikao vya baraza la mawaziri, basi tuna tatizo na elimu yetu na wasomi wetu. Wanaweza kujidanganya kumuamini kwa elimu yake kumbe ni mzembe wa kutafuta ukweli.

Kizazi hiki cha wanasiasa wanatamani kuvuna faida ya Uranium kabla hawajaondoka. Hilo ndo tatizo.
 
Naomba nijiite mtaalamu labda utaniamini.
Ktk dunia hii hakuna machimbo ya madini yaliyo hatari kuliko ya Uranium. Uranium ukishaichimba tu na kuitoa ktk mazingira yake ya usalama, huko kwenye ore unakosema, tayari inakuwa ni hatari kwa wachimbaji na mazingira yanayozunguka mgodi.

Usijidanganye eti mpaka ifanyiwe concentration, NO! NO! Concentration ni kwa ajili ya silaha na nguvu nyingine.

Kwa kuwa nimejiita mtaalamu hebu angalia uhusiano wa Uraniuma na gesi ya Radon, tafuta ubaya wa Radon na hapo ndo utamuona huyu Profesa anageuka kuwa tatizo kwetu kuliko hata Uranium.

Kama haya anayoyasema ndo yale anayoyasema ktk vikao vya baraza la mawaziri, basi tuna tatizo na elimu yetu na wasomi wetu. Wanaweza kujidanganya kumuamini kwa elimu yake kumbe ni mzembe wa kutafuta ukweli.

Kizazi hiki cha wanasiasa wanatamani kuvuna faida ya Uranium kabla hawajaondoka. Hilo ndo tatizo.
Mkuu pamoja na kuwa wewe ni mtaalam wa mambo haya, uranium ore bado si hatari kama unavyotak kutuelewesha.

Uranium ore, in its natural existance haina madhara makubwa ya kuleta masuala kama kansa na ndio aana hata katika commeny yangu nilisema concentration yke, hata in its ore form ni lazima iwe handled with care,

Naambatanisha hili andiko:
oresamples.jpg

Typical Uranium Ore sample

Radiation Range ' C ' (5,500 to 7,000 CPM)
hrthin.gif
Uranium Ore samples in the 5,500 to 7,000 CPM radiation range are ideal for collectors and are an excellent general purpose radiation source for a variety of experiments. They are also ideal for HazMat training or practice in locating radioactive materials with radiation detection equipment. Radioactive ore samples are far stronger, and considerably less expensive than pure radioactive isotope sources. Samples typically measure anywhere from about 2" across to 3.5" across. Ore samples are generally a combination of the following Uranium minerals: Carnotite (bright yellow), Uraninite (black crystal), Pitchblende (jet black), Uranophane (canary yellow), Gummite (rust brown), Tyuyamunite (pale green), Schroeckingerite (greenish-yellow) Uranium Ores.
Although they are safe to handle with your hands, it is prudent to wash your hands after handling the samples to prevent ingesting radioactive chips or fine particles that may fall off of the rocks.
As with all our Uranium ore samples, a certificate stating your sample's precise radiation measurement & associated information is included with your purchase. Like all radioactive samples sold by United Nuclear, the radiation levels measured are combined Beta and Gamma radiation. We never include Alpha radiation measurements as that produces a deceivingly high reading.

Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?

Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.

Sitta, Dk. Mwakyembe na Nape Nnauye hawatoki CCJ - Ng’hily

Na Jabir Idrissa - Imechapwa 08 June 2011

ANAJIAMINI na anasema anaweza kusimamia kile anachokiamini.
...
Ni Dickson Amos Ng’hily, mmoja wa vijana walioshiriki katika uanzishwaji wa Chama Cha Jamii (CCJ), miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010. Alikuwa naibu katibu mkuu.

Katika mahojiano yake na MwanaHALISI wiki hii, Ng’hily anasema, “Pamoja na CCJ kutosajiliwa, sijutii uamuzi wangu wa kuacha chuo na kujiunga na harakati za kuanzisha chama hiki.”

Anasema jambo linalomsikitisha ni hatua ya baadhi ya anaowaita “wanasiasa wakubwa,” waliokuwa pamoja katika suala hilo kupotosha ukweli wa kile walichokubaliana kukifanya.

Anasema: ”Inasikitisha kuona wanasiasa wanaoheshimika mbele ya umma; tuliokuwa tunakutana mara kwa mara; tuliokuwa tunapanga mikakati ya pamoja ya kuondoa utawala mbovu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo hii wanahaha kutaka kuficha ukweli kwa ajili ya madaraka. Hii si jambo zuri.”

Miongoni mwa anaowataja kuwa walikuwa pamoja katika kuanzisha CCJ, lakini sasa wanakana, ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.

Anamtaja aliyekuwa mbunge wa Kishapu, mkoani Shinyanga (CCM), Fred Mpendazoe kama mwanasiasa makini, shupavu na “mkweli katika kusimamia mlichokubaliana.”

Ng’hily anasema Mpendazoe ambaye alitangaza kujivua uanachama wa CCM Aprili 2010, kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kujitofautisha na Sitta, Dk. Mwakyembe na Nape katika kusimamia maslahi ya wananchi.

Anasema, “Ndani ya CCJ tulikuwa na msimamo mmoja, kwamba CCM haiwezi tena kuaminiwa na kukabidhiwa madaraka ya dola. Ni chama kisichofuata maadili, hivyo tulikubaliana tujitoe muhanga kwa ajili ya wananchi.”

“Lakini baadaye, hasa baada ya wenzetu kuahidiwa vyeo na wakubwa wa CCM, mambo yakabadilika. Wenzetu waliamua kumtosa Mpendazoe na kututosa sisi wengine. Na leo wanahaha wakikana ushiriki wao katika CCJ. Hili si jambo dogo linaloweza kuvumilika.”

Anasema hakutarajia Sitta na Dk. Mwakyembe baada ya kufanya kosa la kusaliti wenzao, wangeongeza kosa la kuficha ukweli na la kupotosha umma.

Ng’hily anasema, “Kwanza, hakuna mashaka kuwa CCJ kilikuwa chama chao. Ni wao waliokuwa wanawawezesha watendaji wa chama; wanaoleta siri za Baraza la Mawaziri; wanaovujisha siri za vikao vya Kamati Kuu (CC) na ndiyo waliokuwa wanaleta siri za usalama wa taifa.”

Akichambua kazi za kila mmoja, Ng’hily anamtaja Nape kuwa ndiye aliyekuwa akitoa siri za vikao vya CCM na mipango ya viongozi wake katika kumshughulikia Sitta, huku “Sitta akileta siri za vikao vya CC (Kamati Kuu) na Baraza la Mawaziri, wakati Dk. Mwakyembe akileta siri za Idara ya Usalama wa taifa.”

Anasema hata vikao vyao vilikuwa vya siri kwani, “Dk. Mwakyembe alikuwa anatuambia makachero walikuwa wanatufuatilia.” Anasema, “Kuna wakati tulitumia mbinu kali kufanikisha vikao vyetu vya ndani na vile vya mashauriano sisi watendaji.”

Anasema hata kabla ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa kutamka kutoisajili CCJ, Sitta, Mwakyembe na Nape walikuwa tayari wamewaeleza kuwa kuna ugumu wa chama chao kusajiliwa.

“Kuna siku walituambia, ‘Tendwa amewaeleza ameagizwa asitoe usajili kwa CCJ kwa kisingizio cha kutokuwa na fedha za kufanya uhakiki wa wanachama.’ Ndipo Sitta akaahidi kuomba nchi wahisani kutoa fedha hizo,” anaeleza Ng’hily katika kile anachoita, “ukweli usioweza kupotoshwa.”

Ni vipi Ng’hily aliingia katika harakati za kuanzishwa CCJ? Anasema alishawishiwa kurejea nchini kutoka masomoni Afrika Kusini na kiongozi mmoja wa kidini ambaye ni rafiki wa Sitta na Mwakyembe kwa upande mmoja, na yeye kwa upande mwingine.

Hayuko tayari kwa sasa kumtaja kiongozi huyo, bali alipofika nchini alielekezwa kufanya kazi ya kusimamia usajili wa CCJ pamoja na kada mwingine wa CCM, Paul Makonda.

Ng’hily alikuwa Afrika Kusini akichukua shahada ya masuala ya uongozi na uandaaji filamu na vipindi vya televisheni katika Chuo Kikuu cha KwaZulu Natal, Kompasi ya Cape Town.

“Huyu ndiye aliyeongea na mheshimiwa Sitta na kufanya makubaliano pamoja na mheshimiwa Mwakyembe, kwamba nirejee nchini ili kusaidia kazi hii ya kusajili CCJ,” anasema na kuongeza:

“Nilikubaliana nao na mara moja nikakatiza masomo na kurudi nchini ili kuja kushirikiana na wenzangu kuunda chama kipya. Lakini leo inasikitisha wenzangu wanakana chama chao; wanakana mpango wao na wanakana washirika wenzao. Hili si jambo jema kwa kiongozi mkubwa wa kisiasa.”

Anasema alipokuja nchini alikutana mara kadhaa na Sitta na Dk. Mwakyembe na kwamba “ni wao waliokuwa wakijulisha hali ilivyokuwa inakwenda ndani ya CCM na uongozi wa juu serikalini kama hisia zao kuhusu harakati za CCJ.”

Anamtaja Sitta kama aliyekuwa kiungo kati ya CCJ na jumuiya ya kimataifa, kwani wanadiplomasia wa nchi mbalimbali za Magharibi walimuamini. Kwa upande wa Nape, Ng’hily anasema alikuwa na mchango mkubwa katika suala hilo ikiwa ni pamoja na “kushiriki vikao mbalimbali vya mkakati.”

Lakini, anasema mara baada ya kuonekana CCJ haitapata usajili wa kudumu, majadiliano yalianza na viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Katika mkakati huo, anasema taarifa zilitaja karibu wabunge 20 wakiwamo mawaziri watatu kuwa walikuwa mbioni kutoka CCM na kuingia CHADEMA kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010.

“Sisi tulikuwa tayari tumeondoka CCM. Sitta na Mwakyembe walitujulisha kuwa kuna wabunge 60 wangekuja nao baada ya bunge la tisa kufungwa na ikibidi watajiunga CHADEMA. Mipango ile ilitupa moyo sana,” anasema.

Anawataja baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliokuwapo katika majadiliano kuwa ni pamoja na Freeman Mbowe, John Mnyika, Antony Komu, Erasto Tumbo na Tindu Lissu.

Anaapa kwamba anaeleza ukweli anaoufahamu ambao yupo tayari wakati wowote “kuueleza hata ikibidi mahakamani na kufungwa.”

Ng’hily alikerwa na CCM baada ya kubaini alichoita “sura halisi ya Sitta alipofahamu kuwa hatua yake ya kufunga mjadala wa Richmond bungeni ililenga mkakati wake wa kuendelea kuwa spika.”

Anasema Sitta aliitwa na Rais Jakaya Kikwete na kutakiwa kufunga mjadala huo kwa ahadi ya kuwa tena spika wa bunge baada ya uchaguzi wa 2010.

Dickson Amos Ng’hily alizaliwa 25 Juni 1978 kijiji cha Nyasho, wilayani Musoma. Alipata elimu ya msingi shule ya msingi Azimio Musoma na Nyamikoma, wilayani Magu.

Mwaka 1993 alijiunga na sekondari ya Royal College nchini Uganda. Alimaliza masomo mwaka 1996.

Alisomea kozi ya stashahada ya thioloji nchini Uganda. Mwaka 2000 alijiunga na masomo ya uandishi wa habari Chuo cha TIME, Ilala Dar es Salaam.

Ng’hily alifanya kazi gazeti la Citizen la kampuni ya Mwananchi Communication na gazeti la Guardian jijini Dar es Salaam.
 
Watu wanahama Topic.Nape kadi bado anayo.Binafsi nampongeza.Kama isingetibuka bora hata tungechagua hata hyo CCJ.Kichwa kama wa Afr.Mashariki tungekuwa Atleast.Sa izi ndo ameshkwa maskio.
 
Kwa kuzingatia hapo kwenye red Tufafanulie kifungu cha mwisho kweye hiyo post nakirudia hapa chini:

[Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtandao wa Utafiti wa Madhara ya Uchimbaji wa Madini hayo nchini Ujerumani, Gunter Wippel alisema hadi sasa nchi hiyo imetumia zaidi ya Sh7 bilioni kutibu magonjwa na madhara mengine yaliyosababishwa na uchimbaji wa madini hayo]

Kwanza ujue elements nyingi sana unaweza kuzifanya zikawa radioactive, sema energy utakayotumia itakua kubwa sana.

Ukija kwenye uranium wanayoiongelea hapo ni ile ambayo ni very easy kuifanya ianze kutoa mionzi. Na kutokana na conditions zilizopo sehemu husika uranium inaweza ikawa tayari imesha kuwa forced kutema kwa kiwango fulani, na hicho kiwango kinaweza kikawa ni tosha kabisa kumdhuru binadamu.

Sasa hao wajerumani wametumia pesa hiyo kwa ajili ya madhara, Je na sisi tukiachwa peke yetu tutatumia kiasi gani? je tunazo? na kama tunazo zinamsaidia mlalahoi au mlala-starehe? je ni wepi wengi walalahoi au walalastarehe?

Na ukizingatia kuna sehemu nchini mwetu hata panadol watu hawapati, hii itakuwa ni hatari.

Tutafika huko kwenye kuchimba, lakini kwa sasa hivi hapana.

The issue inaweza kuwa complicated zaidi ya watu wanavyoweza kushawishika na hao wataalamu.Km ilivyo kwa asbestos, na madawa mengine ya mifugo yaliyopigwa marufuku.Watu waliaminishwa pia enzi zake kuwa hakukuwa na madhara yoyote.Kuna mambo mengi sana hayajatambulika linapokuja suala la radion kwa binadamu kwa ujumla na complications za mtu mmojammoj.Ushahidi mwingi ni kuwa "hakujawa repotiwa tatizo lolote lihusianalo na viwango vya mionzi ya uraniaum ore".Ni wazi hizi kauli hazipo full proof.UKifany akazi na Monsanto, wao huwa wanahonga kila mtu, n akushitaki kutishia kila mtu ambaye anataka proof matatizo ya mazingira na ulimaji wao.Ndivyo mambo yahusuyo uranium yanavyotulizwa, kwa kumalizana na wahanga mafichoni,kuwaua, kuwatisha etc

-Uchimbaji wa uranium unaweza kuwa na hatari kwa vumbi watakalovuta wachimbaji.Mtu anaweza sema kuwa watavaa musk, ila watasahau kuwa baada ya uchimbaji kutakuwa na vumbi ktk survace litakalopeperushwa na upepo watu wakiwa ktk maeneo ambayo hapavaliwi mask.

-Kuna natural reactions nyingi sana ardhini ambzo ndizo zinaraise joto linalosababisha mamabo mengi kwenye miamba, sasa hizi reaaction zinaweza kuwa zimeacha mkusanyiko mkubwa wa radioactive materials ambazo zinaweza emit radiation dangerously.

-Kuna mtu amejiuliza wasafirishaji haramu watayapitishia wapi?wataficha wapi katika kipindi cha kukimbia utawala, umejiuliza uchafu mwingine utatupwa wapi?
 
Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?

Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.
Asante Muke Ya Muzungu maana na mimi nilianzisha uzi kama wako ila kwakuwa lengo letu ilikuwa kumkumbusha Nnauye Jr kuwa ukitaka kumtoa mwenziyo boliti jichoni mwake kwanza tazama banzi lililoko kwenye jicho lako!Ninamuomba Invisible aunganishe hizi thread yangu ndo haya uzi wenyewe huu hapa....https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...husu-kama-ndiyo-kadi-yetu-ikowapi-ya-ccj.html
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pamoja na kuwa wewe ni mtaalam wa mambo haya, uranium ore bado si hatari kama unavyotak kutuelewesha.

Uranium ore, in its natural existance haina madhara makubwa ya kuleta masuala kama kansa na ndio aana hata katika commeny yangu nilisema concentration yke, hata in its ore form ni lazima iwe handled with care,

Naambatanisha hili andiko:
oresamples.jpg

Typical Uranium Ore sample

Radiation Range ' C ' (5,500 to 7,000 CPM)
hrthin.gif
Uranium Ore samples in the 5,500 to 7,000 CPM radiation range are ideal for collectors and are an excellent general purpose radiation source for a variety of experiments. They are also ideal for HazMat training or practice in locating radioactive materials with radiation detection equipment. Radioactive ore samples are far stronger, and considerably less expensive than pure radioactive isotope sources. Samples typically measure anywhere from about 2" across to 3.5" across. Ore samples are generally a combination of the following Uranium minerals: Carnotite (bright yellow), Uraninite (black crystal), Pitchblende (jet black), Uranophane (canary yellow), Gummite (rust brown), Tyuyamunite (pale green), Schroeckingerite (greenish-yellow) Uranium Ores.
Although they are safe to handle with your hands, it is prudent to wash your hands after handling the samples to prevent ingesting radioactive chips or fine particles that may fall off of the rocks.
As with all our Uranium ore samples, a certificate stating your sample's precise radiation measurement & associated information is included with your purchase. Like all radioactive samples sold by United Nuclear, the radiation levels measured are combined Beta and Gamma radiation. We never include Alpha radiation measurements as that produces a deceivingly high reading.

Tafadhali mkuu,
Niliposema mi ni mtaalamu sikumaanisha kwamba najifunza kama profesa wetu Muhongo au nahitaji internet kuyajuwa haya. Nilikuongoza uangalie uhusiano wa Uranium na gesi ya radon. Naona wewe unanirudisha kwenye mawe yenye traces za uranium. nini kinatokea baada ya kuyabeba mawe hayo? Hapo ndo tunaonyesha tofauti zetu.

Hebu jiulize mazingira ya machimbo ya uranium. Kitu ambacho hujakiangalia ni Mtiririko ktk machimbo. Unakuwa hivi;
Uranium 238 >>Radium 226 >>Radon 222 (+alpha particle). Radon ni gesi. Unaivuta ikiwa ni 'pure' na wala hutasubiri ku-concentrate uranium ili upate madhala.

Ukizubaa tena Radon 222 >>Polonium 218 (+alpha particle).

Muulize Muhongo atawaweka wapi wananchi maskini wanaouzunguka mgodi ktk nchi ambayo hata mabomu ya Mbagala na G'ngolamboto hayatunziki. Hatuhitaji mifano ya malawi na kote africa, huenda hawana cha kuuza kingine. Mbona hata dhahabu haileti faida kwetu?
 
Shaabashi! sikutarajia Nape kuja na hoja nyepesi, kuhangaika nayo na kuweka pembeni mambo yenye tija kwa taifa.

Nape, wewe na chama chako ungejikita kujadili na kufafanunua, mkakati wa chama chako jinsi ya kututoa katika ufisadi wa chama chako unachoifanyia nchi hii, ukosefu wa dawa na vifaa tiba mahospitalini ambazo wewe na wenzio mmezitelekeza na hata hamtibiwi huko, kuporomoka kwa kiwango cha elimu katika shule za serikali ( ila watoto na ndugu zenu wa karibu hawasomi huko), ukosefu wa umeme, kilimo cha jembe la mkono kinachotegemea mvua, vijana hawana ajira, mikataba ya kifisadi n.k

Nape, kwako wewe jambo kubwa ni kadi ya Dr. Slaa! haya yoote! sio muhimu.

shame on you...!
 
Back
Top Bottom