Nape, Kadi ya CCJ Ulimrudishia Nani?

Nape, Kadi ya CCJ Ulimrudishia Nani?

Kama tutatumia teknolojia ya kisasa ya uchimbaji na uhifadhi pia matumizi sahihi ya urani, hakuna madhara

Swali: je tumejipanga sawia ?
 
Mkuu hiyo hatari ya madhara ya uranium ni hadi inaporutubishwa kwa mchakato wa kisayansi ikichanganywa na vitu vingine, uchimbaji hauna madhara mkuu. Futa kauli yako kwamba kadanganya, kasema ukweli!
 
Huyu jamaa ndiye tuliambiwa ni kichwa lakini kwa maoni yangu naona ni mtu wa hivyo sana kwa kuthubutu kuudanganya umma wa Watanzania kwamba uchimbaji wa uranium hau na madhara yoyote. Kuna ushahidi wa kutosha kabisa katika nchi nyingi duniani ambako madini hayo yanachimbwa jinsi yalivyoathiri afya za binadamu na mazingira lakini huyu "msomi" wetu anadai kwamba uchimbaji wa madini ya uranium hauna madhara yoyote kwa binadamu!!!!

Huyu jamaa ndiye tuliambiwa kwamba ni "kichwa" anathubutu kuudanganya umma wa Watanzania kwamba uchimbaji wa madini ya Uranium hauna madhara yoyote kwa binadamu. Kuna ushahidi wa kutosha katika nchi nyingi duniani ambako madini hayo ya uranium yanachimbwa jinsi yalivyoathiri binadamu na mazingira, lakini yeye "msomi" wetu anadai kwamba si kweli!!! Anazidi kujishushia hadhi yake ndogo iliyobaki miongoni mwa Watanzania walio wengi.

MKUU ukishajiunga kwenye uongozi wa Serikali ya MAGAMBA lazima uwe ZEZETA (zombie)hata kama wewe Profesa
 
Muhongo Muongo Mkubwa


Ur are the ONE MUONGO MKUBWA...!!!

Quickly clear-up ur poor mind then u will understand what Prof. meant...!!!

Mining Uranium has no effects untill u start processing it...!!
and then processed uranium needs high storage standard to avoid leakage....!!!

So who told you URANIUM WILL BE PROCESSED HERE..!!

Umekurupuka ww....!! Prof. ni msomi wa kimataifa. Huwezi mpuuza, kumdharau, ww ndio VUVUZELA....
just to assure u he is right 100%, for what he said....

Most arrogant people usually fall in FEAR OF UNKNOWN...

Some also use their little IQ to lie public to get their attention of which we know....!!!

Stop looking for cheap popularity through Muhongo...!!! umetumwa ww....!!!
 
Kama tutatumia teknolojia ya kisasa ya uchimbaji na uhifadhi pia matumizi sahihi ya urani, hakuna madhara

Swali: je tumejipanga sawia ?
dada nsiande nani kakwambia urani(i suppose ndio uranium)tutachimba wenyewe?marekani will do it
 
http://www.ippnw.org/pdf/uranium-factsheet4.pdf

[/FONT]]kernel (20) / Error - Fatal Transactions


Extracting a disaster

The effects of uranium mining are disastrous. To minimise the risks, the nuclear supply chain needs independent auditing




The increased sourcing of raw uranium that will arise from nuclear new build is an ethical and environmental nightmare currently being ignored by the government.

The World Nuclear Association (WNA), the trade body for companies that make up 90% of the industry, admits that in "emerging uranium producing countries" there is frequently no adequate environmental health and safety legislation, let alone monitoring.

It is considerately proposing a Charter of Ethics containing principles of uranium stewardship for its members to follow. But this is a self-policing voluntary arrangement. Similarly, the International Atomic Energy Agency's safety guide to the Management of Radioactive Waste from the Mining and Milling of Ores (pdf) are not legally binding on operators.

The problem is that transparency is not a value enshrined in the extractive or the nuclear industries. Journalists find themselves blocked. Recently, to tackle this issue, Panos Institute West Africa (IPAO) held a training seminar for journalists in Senegal which highlighted that only persistent investigation – or, in the case of the Niger's Tuareg, violent rebellion – has a chance of uncovering the truth.

The co-editor of the Republican in Niger, Ousseini Issa, said that only due to local media campaigns was there a revision of the contract linking Niger to the French company Areva. "As a result of our efforts, the price of a kilogram of uranium increased from 25,000 to 40,000 CFA francs," he said. The local community hopes now to see more of the income from the extraction of its resources.

IPAO has much evidence that in Africa the legacy of mining is often terrible health, water contamination and other pollution problems. IPAO would laugh at the Extractive Industries Transparency Initiative – an Orwellian creation launched by Tony Blair in 2001.

What is the effect of uranium mining? Nuclear fuel from fresh uranium is cheaper than from recycled uranium or recycled plutonium (MOX), which is why there is a worldwide uranium rush.

To produce the 25 tonnes or so of uranium fuel needed to keep your average reactor going for a year entails the extraction of half a million tonnes of waste rock and over 100,000 tonnes of mill tailings. These are toxic for hundreds of thousands of years. The conversion plant will generate another 144 tonnes of solid waste and 1343 cubic metres of liquid waste.

Contamination of local water supplies around uranium mines and processing plants has been documented in Brazil, Colorado, Texas, Australia, Namibia and many other sites. To supply even a fraction of the power stations the industry expects to be online worldwide in 2020 would mean generating 50 million tonnes of toxic radioactive residues every single year.

These tailings contain uranium, thorium, radium, polonium, and emit radon-222. In the US, the Environmental Protection Agency sets limits of emissions from the dumps and monitors them. This does not happen in many less developed areas.

The long-term management cost of these dumps is left out of the current market prices for nuclear fuel and may be as high as the uranium cost itself. The situation for the depleted uranium waste arising during enrichment even may be worse, says the World Information Service on Energy.

No one can convince me that the above process is carbon-free, as politicians claim. It takes a lot of – almost certainly fossil-fuelled – energy to move that amount of rock and process the ore. But the carbon cost is often not in the country where the fuel is consumed.

And what of the other costs? Over half of the world's uranium is in Australia and Canada. In Australia the government is planning to make money from the nuclear renaissance being predicted; uranium mining is expanding everywhere. Australian Greens are fast losing the optimism they felt when the Labor party won the last election.

In the Northern Territory plans to expand a nuclear dump at Muckaty station are being pushed forward with no regard for the land's Aboriginal owners. The supposedly greener new Australian government Minister Martin Ferguson has failed to deliver an election promise to overturn the Howard government's Commonwealth Radioactive Waste Management Act, which earmarks a series of sites for nuclear waste dumps.

In South Australia, in August the Australian government approved the expansion of a controversial uranium mine, Beverley ISL. This was dubbed a "blank cheque licence for pollution". Groundwater specialist Dr Gavin Mudd has examined the data from the Commonwealth Scientific and Industrial Research Organisation (CSIRO) and called for it to be "independently verified by people not subservient to the mining industry" (The Epoch Times September 2 2008).

Elsewhere in the Northern Territory, BHP Billiton plans to have the first of five planned stages of expansion at its Olympic Dam mine in production by 2013. This will increase production capacity to 200,000 tonnes of copper, 4500 tonnes of uranium and 120,000 ounces of gold. This is a vast open cast mine, from which the wind can carry away radioactive dust.
Not far away locals are fighting a new uranium mine 25 kilometres south of Alice Springs. At the Ranger mines, Energy Resources of Australia – 68.4% owned by Rio Tinto – expects to find 30,000 to 40,000 tonnes of ore in the Ranger 3 Deeps area. In October it agreed to supply uranium oxide to a Chinese utility, signing a safety accord. This is how safe the mine in fact is – and you won't find such records at African mines: almost 15,000 litres of acid uranium solution leaked in a 2002 incident, and since then further leaks ranging from 50 to over 23,000 litres have been reported.

The list goes on.
The bottom line is this: UK ministers are blind to the consequences of their pro-nuclear evangelism. Carbon credits under the Kyoto mechanism have to be independently audited by a global body to ensure that new renewable energy is unique, additional and lives up to its claims. At the very least there should be an independent, global body verifying the ethics, health and long-term safety of the nuclear supply chain.

Better, just leave it in the ground.
 
Nadhani swala ninaloliona hapa ni kukosekana kwa maelezo ya kina ya kuridhisha kwa wananchi haswa wale wenye dhana hasi na uchimbaji wa Urani. Elimu inahitajika sana, ikionyesha Urani ina madhara kiasi gani na kwenye hatua gani ya kuya-process, sisi kama serikali tumejiandaa je kuzuia madhara hayo. Vyombo kama MEM, NEMC, TAEC, Makamu wa Rais Mazingira na NGO's mbalimbali zinazofanya kazi ya mazingira wakae pamoja waje baada ya utafiti waje na msimamo mmoja; sio huyu aseme hivi na yule aseme vile. Shida inakuja pale ambapo hakujawa na jitihada za wazi kuelimisha wananchi kwani Tanzania sio nchi ya kwanza kuchimba Urani. Na kwa taarifa yako Urani ya Namtumbo ina tofauti na Urani zinazochimbwa sehemu nyingine nyingi ulimwenguni. Hii ipo juu ya ardhi kabisa na wananchi wamekuwa wakiishi kwenye hii urani bila madhara. Lakini pia wengi wetu tunakuwa na ukakasi kutokana na kutoona manufaa ya moja kwa moja ya uchimbaji wa madini haya kwa M-tz wa kawaida, pamoja na kuchimba tunaendelea kuwa masikini, hiki ndicho kiini cha kuwa na gundu kwa watu wengi. Nisisitize kusema INATAKIWA ELIMU na wala sio kusema tu aina madhara na tutachimba tu, au huyu kasema uongo au kasema ukweli.
 
Kuna watu wanachukua huo mchanga na kupeleka kufanyia uzalishaji katika kilimo na wamezuiwa. nini maana yake??
 
Wazungu wapeleke madhara kwao huku wamechimba katika mapori yenu.thubutu!!
 
Huyu jamaa ndiye tuliambiwa ni kichwa lakini kwa maoni yangu naona ni mtu wa hivyo sana kwa kuthubutu kuudanganya umma wa Watanzania kwamba uchimbaji wa uranium hau na madhara yoyote. Kuna ushahidi wa kutosha kabisa katika nchi nyingi duniani ambako madini hayo yanachimbwa jinsi yalivyoathiri afya za binadamu na mazingira lakini huyu "msomi" wetu anadai kwamba uchimbaji wa madini ya uranium hauna madhara yoyote kwa binadamu!!!!

Huyu jamaa ndiye tuliambiwa kwamba ni "kichwa" anathubutu kuudanganya umma wa Watanzania kwamba uchimbaji wa madini ya Uranium hauna madhara yoyote kwa binadamu. Kuna ushahidi wa kutosha katika nchi nyingi duniani ambako madini hayo ya uranium yanachimbwa jinsi yalivyoathiri binadamu na mazingira, lakini yeye "msomi" wetu anadai kwamba si kweli!!! Anazidi kujishushia hadhi yake ndogo iliyobaki miongoni mwa Watanzania walio wengi.

Ni muongo kama lilivyo jina lake!lol..
 
Wamewapa dhahabu yamebaki mashimo. hakuna tathimini ya kina tumefaidika kwa kiasi gani na wazungu wamefaidika vipi. Msafiri hula miguu yake imemnufaisha Mr. SAfari special. Leo Urani na tetezi kibao za wachumia tumbo.dahh!
 
Kwani ni lazima kuchimba hiyo Urani? Hayo madini mengine yanayochimbwa kwa maelfu ya tani tumefaidika vipi? Kifupi ni kuwa mpaka sasa hatujaweza kuweka mfumo utakaowezesha Taifa letu kunufaika na rasilimali zake hivyo hata huu uchimbaji wa Urani ni wastage tu kwa Taifa. Na kama tunataraji kuwa hawa wawekezaji wanatujali sana, basi subirini tuone majanga watakayotuachia wakimaliza uchimbaji wao huo.

Kwa nchi zenye uongozi dhaifu kama ya kwetu, rasilimali za asili hugeuka laana na maafa!
 
Laana nyingine ya madini inatunyemelea wanasiasa wetu washavuta migao yao kama kawaida wamezihifadhi safari hii sio Uswisi maana huko kimenuka itakuwa Ushelisheli,hatuna wataalamu wa kutosha zaidi ya watu kupiga siasa kila uchwao na sina hakika kama Wananamtumbo watafaidika kweli na kitakachochimbwa zaidi ya kuishia kuonwa wavamizi wa makazi yao,uzoefu umetuonyesha hivyo huko North Mara,Geita,Nyamongo et al.Yote kwa yote ni sisi wananchi kutokutambua wajibu na haki zetu za msingi na kuwaona wanasiasa wetu kama ndio kila kitu chetu wakati ndio wanaotuuza katika mikataba kama ile aliyokuwa akiingia chief Mangungo wa Msovelo.
 
Mkuu hiyo hatari ya madhara ya uranium ni hadi inaporutubishwa kwa mchakato wa kisayansi ikichanganywa na vitu vingine, uchimbaji hauna madhara mkuu. Futa kauli yako kwamba kadanganya, kasema ukweli!

ACHA UONGO.
Kama hakuna madhara kwanini waweke alama za hatari kwenye mines na containers zinazobeba bidhaa hiyo?
Soma hii hapa chini;
Serious health risks due to exposure to gamma radiation and the inhalation of radon gas. This causes cancer. Radiation and radioactive radon gas can affect mineworkers as well as people living and working close to mining areas and roads that are used for transport of ores and yellow cake.
You hear the uranium mining pushers making comments that uranium mining and regulations will keep you safe, "We are not mining like they did back in the 1930, when they did not understand the problems of uranium mining". To be frank, this is big fat liar and the nuke pushers know this but have very little regards of human life, they love the monies! So tell the uranium mining bunch they are greedy and since 1896 the knowledge of uranium was discovered and will and does hurt people!

Na nyingine nyingi hapa Potential negative impacts / The impact of uranium mining in Africa / Uranium Mining in Africa / Dossiers / Home - Fatal Transactions
 
.... huku akiwaponda wanaharakati kwa madai kuwa wanapotosha Umma.

Hivi karibuni Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),kiliitaka ...Alisema utafutaji na uchimbaji wa madini ya urani, siyo kitu kigeni duniani na kwamba Tanzania siyo nchi ya kwanza kuchimba madini hayo.

...
kwa nini Tanzania tusichimbe?" .....je, Watanzania tunajua tunachokishabikia?"

Akizungumzia maandalizi ya uchimbaji huo, Profesa Muhongo alisema kuwa kampuni zinazojiandaa kuchimba urani,
zimepitia taratibu zote, ikiwa ni pamoja na kupata cheti cha mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, taratibu za mionzi na kupata kibali cha tume ya mazingira.

..
taratibu zote za kimataifa zitafuatwa ikiwa ni pamoja na kulinda mazingira na kupima kiwango cha mionzi na hatari yake wakati wa uchimbaji. ....
Mwananchi: Kitaifa - Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza

Huyo ndio Prof. Muhongo.
Eti kweli taratibu zinafuatwa kwa "kupewa vibali tu", tena "vibali vya mazingira" mh! Hivi tume yetu ya Atomic inafanya nini?
Kichekesho kingine eti "..taratibu zote za kimataifa zitafuatwa ikiwa ni pamoja na kulinda mazingira na kupima kiwango cha mionzi na hatari yake wakati wa uchimbaji.
JE ANAMAANISHA ALIVYOSEMA HAKUNA MADHARA SASA AMEFUTA KAULI YAKE?
 
Tatizo la Tz kila kitu tunachukulia kisiasa tu wakati vitu vingine ni vya muhimu sana,Uranium inajulikana madhara yake hata kama hakuna tsunami wala mafuriko kwa vile mionzi yake ina athari kubwa kwa binadamu na viumbe wengine.Labda Muhongo angetuambia wamejiandaaje kukabiliana na athari za mionzi ya Uranium kiuhalisia na sio kisiasa. Mi nadhani wangeacha tu kuchimba Uranium kwa sasa mpaka hapo baadaye sana wakati tuko vizuri kiutaalamu na kitechnolojia pia..na pia tujiulize madini mangapi yameshachimbwa hapa kwetu kuanzia Diamond,Tanzanite nk na bado hayajatunufaisha sasa hii ya madini hatari kama Uranium itatunufaishaje sisi watz????Acheni siasa kwenye mambo ya ukweli.
 
oyaoya

Ina gharama kubwa kuihifadhi na madhara yake ni makubwa kiafya vizazi kwa vizazi
.

Mkuu, urani ni madini yenye viini (nuclei) vizito. Mwiko wake mkuu kulingana na kanuni ya kwanza na ya pili ya Niels Bohr (mFizikia maarufu wa Nuclear Physics) ni kuzigonga atomi (atoms) zake. Kufanya hivyo ni kuanzisha "reaction" na kusababisha urani ianze kutoa mionzi kwa sababu katika hali ya kugongwa atomi za urani huwa na mhemko "excited state". Kama kuchimba ni "safe" wanachimbaje bila kuzigonga na kuzisukasuka? Sipati picha. Hivi lazima wachimbe urani? Hiyo dhahabu na sasa mafuta na gesi wanazochimba hazitoshi?
 
huyu waziri anastahili pole na anataka kuwafanya watanzania siyo watu wakutambua mambo
 
Back
Top Bottom