Nape, Kadi ya CCJ Ulimrudishia Nani?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
257
Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?

Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
27,932
30,601
ni M23 wa ccm, na kama alithubutu kuwa katibu wa kundi la waasi ndani ya chama tawala basi jamaa ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?

Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.

amesema ANAYO
 
ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,210
554
Nape kama walivyo watoto wa vigogo wengine ndani ya ccm ni moja ya watu ambao kura yao hutegemea ccm! Nape hawezi rudisha hiyo kadi, yawezekana hata kadi ya cdm anayo!
 
Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
257
Nape kama walivyo watoto wa vigogo wengine ndani ya ccm ni moja ya watu ambao kura yao hutegemea ccm! Nape hawezi rudisha hiyo kadi, yawezekana hata kadi ya cdm anayo!

Mkuu hiyo ni sawa na kuuliza jibu. NAPE ana kadi ya CDM. CCM yupo tu kuganga njaa. Kwa nini wanatuma polisi kuiba kadi za CDM? Lazima anayo
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,872
4,528
Kesho utasikia kuwa Kikwete ana kadi ya CDM. Ila hili swali kwa Mapepe Nape kiboko. Kweli nyani haoni kundule. Yeye Nape, Samuel Sitta na Mwakyembe tunajua ni wanachama wa CCJ kwa mujibu wa Fred Mpendazoe. Aeleze kama aliisharudisha kadi na arudishe kwanza kabla ya kutoa kushughulika na vibanzi na boriti vya wenzake.
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,898
6,422
Nasikia hiyo kadi atamkabidhi jangili kinana kwenye sherehe inayotarajiwa kufanyika kwenye mbuga Mojawapo ya wanyama
 
Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,141
1,116
Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.

Hiyo ni sheria ipi na ilitungwa lini?
 
Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,113
7,195
Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda kumuuliza Nape Nauye kama aliirudisha kadi yake ya kudumu ya chama cha jamii yaani CCJ ambaye yeye Nape ni Mwanzilishi wake. Kama aliirudisha alimkabidhi nani?

Ikiwa NAPE hajairudisha, basi anatenda kosa la jinai, kwani ni kinyume cha sheria kwa mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti kwa wakati mmoja.....Hoja ujibiwa na Hoja. Nape Tunaomba ujibu hoja. MODS: Please dont remove this thread. Tunaomba Ukweli kwa sababu NAPE ni mmoja wa waanzishili wa CCJ akiwana Mh. Samwel Sita et al.
kwa nini unahisi thread yako itaondolewa! inaonekana unachoongea ni uzushi toka kichwani mwako,sasa una wasiwasi kwamba mods wasije kukustukia!
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,773
36,799
zaidi ya kadi ya mwanachama mwanzilishi wa ccj pia anazo kabrasha zote za kuanzisha chama
@Nape yaanike hapa jamvini tuyasome kwa kuwa bado unayo kadi na kabrasha zote kwenye droo za makabati yako.
 
Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,505
273
Naona Ritz anachungulia, bila shaka anatafuta jibu (la swali gumu)!
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648
Pro-Chadema JF mwambieni Dr Slaa arudishe kadi ya CCM itamsaidia nini wakati yeye yupo Chadema. Au ipo siku atarudi CCM...
 
Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,505
273
... mwambieni Dr Slaa arudishe kadi ya CCM ... Au ipo siku atarudi CCM...
Naomba na mimi niulize, hivi mtu aliyehama CCM and then baadae akaamua kurudi, anaendelezewa uanachama kwa kadi ya zamani au anaanza na mpya? Naombeni jibu wazee
 
Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,124
1,012
Tukitoka kwa Nape tuhamie kwa mpendazoe anazo 3, CCM,CCJ na Chadema!!
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648
Naomba na mimi niulize, hivi mtu aliyehama CCM and then baadae akaamua kurudi, anaendelezewa uanachama kwa kadi ya zamani au anaanza na mpya? Naombeni jibu wazee

Kama anayo ya zamani kama Dr Slaa hakuna haja ya kuchukua mpya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom