JOASH MUSSA
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 515
- 199
Makongoro atakatwa sio kwa sababu anapamba na rushwa bali kwa kwa sababu alivunja kanuni kwa kuanza kuwachafua wagombea wenzake.Alifanya kwa Wasira na alifanya kwa Lowassa.Lile ni kosa kikanuni ata kama alichokuwa anasema ni kweli.
Ndio maana muda wote Magufuli ata kuongea na waandishi wa habari alikataa maana ni rahisi sana kuvunja kanuni, kama alivyosema Makongoro wengine walijiona wakubwa kuliko Chama na kuanza kumwaga sera zao bila kusubiri ilani.
Ofcoz, kuna watu wananguvu kuliko chama, Lowassa ana nguvu kuiko CCM