muda wa kufanya hivyo ndio hakuna
Mkuuu, Minyoo yupo wapi? Msalimie pia na Ocampo fourNi kweli kabsa Nasikia hao Watu wamepewa Kazi maalum na Membe kuhakikisha kuwa Lowasa hapenyi kokote wameziba kona zote kuna Mseto wa waganga wa kienyeji membe kaamua Kufa na Lowasa kaweka mitego kote.
Sasa likikata rufaa jizi na fisadi kuu Lowasa kuna sababu gani kupoteza muda kusikiliza rufaa?Hivi hakuna muda wa kuruhusu haki na demokrasia kutendeka kweli? mnaniangusha...!!
Tehetehetehetehe
Mkuu Mbona una matusi sana? Alhamisi jioni naomba uendelee kutukana hivyohivyo! Nimekuwa nikikisoma una viji-post vya kijinga kweli pamoja na matusi! Au unakuwa umelewa? Kinachonifurahisha ni kuwa ijumaa hautakuwa tena Jamii Forum!Katiba ya CCM haisemi hivyo...wala wakati wa kura za maoni ya VIKAO VYA CCM haiko hivyo... hizo ni hisia zako na kichwa chako kama ulivyo...!!!!
Hujui kitu, hujui maana ya kura ndani ya vikao vya CCM inaendaje...mmanina...!!!
Yeah! Kwani si mnahitaji rais dikteta? Kwa nini mnalaumu chama kuwa dikteta?Huu ni udikteta sasa
Mkuu, huyu jamaa ni miongoni mwa wanufaika wa fedha za fisadi Lowasa. Ndo maana anahamaki kuona mgombea wake mambo yanamuendea komboMkuu Mbona una matusi sana? Alhamisi jioni naomba uendelee kutukana hivyohivyo! Nimekuwa nikikisoma una viji-post vya kijinga kweli pamoja na matusi! Au unakuwa umelewa? Kinachonifurahisha ni kuwa ijumaa hautakuwa tena Jamii Forum!
Tehetehetehetehetehe. Hakika itakuwa safari ya kifo kweliPale ambapo safari ya matumaini itageuka nakuwa safari ya kifo.
Yeah! Kwani si mnahitaji rais dikteta? Kwa nini mnalaumu chama kuwa dikteta?
Lumumba haijawahi kuwaka moto. Kuondoka kwa mafisadi ndani ya chama hakumaanishi kwamba chama ndo kinawaka moto. Ni njia yamkujisafisha. Unajua hata ile dhahabu inapata mng'ao baada yamkuokwa kwenye motoMtaa wa Lumumba unawaka moto wiki hii....
Mambo ya chadema hayana mfanano na taratibu za ccmI see CHADEMA wakifanya hayo mnatokwa na mishipa ya makende wanabaka demokrasia nyie ipo wapi?
Hivi hakuna muda wa kuruhusu haki na demokrasia kutendeka kweli? mnaniangusha...!!
Nape hana ubavu kupambana na lowassa,huyu nape ni sawq na mwanamke ambaye hajakeketwa
Jumapili muda kama huu ntakukumbusha
Mchanganuo wako ni sawa na mimi nikisema hivi:
utasema korea ina uzoefu kuliko tanzania wakati tumepata uhuru wakati unaofanana?
utasema marekani wana uzoefu kuliko tanzania wakati wote ni binadamu?
Mtu anaweza kufanya kazi miaka miwili akaleta Tija kuliko mtu aliyefanya kazi miaka 10. ila kwa hoja yako wewe unaangalia namba, na ni kweli 10>1
Jumapili? Jumapili ni siku ya mkutano mkuu, ambapo wagombea watakuwa wanatoka 3 - 1, vikao vya kukata kata majina vinaanza Alhamisi, hapo mtashuhudia hao mnaowaita "waadilifu" wakienda na maji
CCM hii iliyotetea ESCROW!! leo iwatetee "waadilifu"? Makongoro anakumbuka kilichomtokea 2012, baada ya kujifanya Nyerere 2010 kwenye Mkutano wa NEC
Jumapili? Jumapili ni siku ya mkutano mkuu, ambapo wagombea watakuwa wanatoka 3 - 1, vikao vya kukata kata majina vinaanza Alhamisi, hapo mtashuhudia hao mnaowaita "waadilifu" wakienda na maji
CCM hii iliyotetea ESCROW!! leo iwatetee "waadilifu"? Makongoro anakumbuka kilichomtokea 2012, baada ya kujifanya Nyerere 2010 kwenye Mkutano wa NEC
Inasemekana wanahitaji dikiteta atakaye wafunga na kuwafilisi 'wezi' wote wa Richmond, Tegeta Escrow account, EPA, ujangili, madawa ya kulevya na kadhalika....!Yeah! Kwani si mnahitaji rais dikteta? Kwa nini mnalaumu chama kuwa dikteta?