MTRANSPARENT
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 740
- 205
yadhihirisha hali si shwar kwa maccm baada yakuanza kutoa kauli zinazopingana, hasa na ile ya Mangula aliyotolea mpaka mfano wa Malecella alokata rufaa
Tatizo hapa hakuna demokrasia ya kweli,kuna kupaniana kwingi na rafu nyingi,kama kweli ccm wako fare fanyeni tu mchakato wa kura kuanzia cc,nec na mkutano mkuu,atakaepata nyingi na wanaofuata wapelekeni nec,na watatu watakaopata kura za juu pelekeni mkutano mkuu mpate jina moja,waacheni wanachama wenu waamue,sio kukatana kimizengwe,hivi wewe Nape ungeundiwa zengwe kama ungekuwa mtangaza nia ungejisikiaje?
Kama hii ni taarifa rasmi kutoka kwa Nape, '' Nape kwanini huyo mtu uliyempania asipitishwe chama hakikuweka mchakato wa kumwondoa kwenye hatua za awali akashindwa kuchukua fomu? Sasa mmesubiri mpaka anakaribia kufunga goli mnataka kumkata buti na unaweka mazingira ya refa kutokutoa penalt. Huoni huo ni uonevu?
Wamechelewa sana ..yaani EL kishaingia kwenye penati box kabaki yeye na kipa
tatizo la kunya mavi mengi asubuhiii...yaaani juzi mekunya mavi mengii nilipomaliza nkayatazama nkaishiwa nguvu
Ibara ya 105 (3), ya Katiba ya CCM ya 1977 toleo la 2012 inasema.
Mkutano Mkuu unaweza kuthibitisha, kubadili, kukataa au kuvunja uamuzi wowote uliotolewa na kikao chochote cha chini yake au na yeyote wa CCM
NB: Vikao vya chini ni Kamati Kuu na Halmashauri Kuu. Na YEYOTE ni kiongozi yeyote wa Chama na mwanachama wa CCM.
tatizo la kunya mavi mengi asubuhiii...yaaani juzi mekunya mavi mengii nilipomaliza nkayatazama nkaishiwa nguvu
jukwaa linavamiwa!