Nape: Hakuna kukata rufaa mara mgombea atakapokatwa

Nape: Hakuna kukata rufaa mara mgombea atakapokatwa

MTRANSPARENT

mkatiane au mckatiane hzo rufaa cc hayatuhusu, tunachojua ni kuwapga hat-trick ifkapo oct
 
Last edited by a moderator:
tatizo la kunya mavi mengi asubuhiii...yaaani juzi mekunya mavi mengii nilipomaliza nkayatazama nkaishiwa nguvu

ungetawanya kwa kidole yawezekana ulitoa hadi utumbo, afu we inaonesha ni mtumiaji mzuri sana wa viroba na gongo
 
Kwa kauli hiyo ya Nape naziona dalili za Mmasai kuchinjiwa baharini..
Membe rais ajae.
 
Mbona mnaumiza vichwa? Mgombea wa CCM ni Augustino Ramadhani. Copy that!
 
Kwa kauli hiyo ya Nape naziona dalili za Mmasai kuchinjiwa baharini..
Membe rais ajae.

Membe kaleta waganga wa kienyeji 100 kuwaroga cc pia kumdhoofisha Lowasa huku kagawa mabilion Kwa Makonda a.k.a Lizabon na Nape ili wamchafue Lowasa kwenye mitandao , zile pesa za Gafafi sasa zinatumika kununua Goli la mkononi
 
msimkate mmASAI jamani ukawa tupate mtelezo

Goli la mkono litafungwa na Membe kwani Nape kapewa ndumba ya kwenda kuwaroga cc ili awe mfungaji na akipitishwa lazima Ukawa watapigwa sana kwani membe keshasema akiwa Rias lazima ajenge magereza mengi mapya Kwa ajili ya kuwafunga wabaya wake.
 
Membe anatumia mapesa ya marehemu Gadafi kununua Goli la mkono tayari Nape kamhakikishia kuwa watampa Goli la mkono sasa yupo busy na waganga wake kuwadhoofisha wale wote anadhani ni kikwazo kwake , membe ni mtu hatari hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi.
 
msimkate mmASAI jamani ukawa tupate mtelezo

Goli la mkono litafungwa na Membe kwani Nape kapewa ndumba ya kwenda kuwaroga cc ili awe mfungaji na akipitishwa lazima Ukawa watapigwa sana kwani membe keshasema akiwa Rias lazima ajenge magereza mengi mapya Kwa ajili ya kuwafunga wabaya wake.
 
Kwa kauli hiyo ya Nape naziona dalili za Mmasai kuchinjiwa baharini..
Membe rais ajae.

Membe kaleta waganga wa kienyeji 100 kuwaroga cc pia kumdhoofisha Lowasa huku kagawa mabilion Kwa Makonda a.k.a Lizabon na Nape ili wamchafue Lowasa kwenye mitandao , zile pesa za Gafafi sasa zinatumika kununua Goli la mkononi
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yaoyatakatwa.

Kauli hiyo imetolewa mjini Dodoma leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Nape Nnauye alipokutana na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya ratiba ya vikao vya mchujo wa wagombea utakaoanza siku mbili zijazo.

Kikao hicho kitaongozwa na Katibu Mkuu CCM Abdulrahaman Kinana pamoja na kikao cha sekretarieti ya chama.Nape alisema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwasababu, kwanza hakuna kanuni hiyo na pia hakutakuwa na muda wa kutosha kufanya hivyo. “Tuwe wakweli tu, muda wenyewe siuoni na kanuni haisemi habari ya kukata rufaa…uchujaji wa majini kikao hakitakiwi kutoa sababu, sasa unakataje rufaa,” alisema Nape.

Hata hivyo Nape amewapa matumaini wanachama wa chama hicho kuwa watatoka kwa umoja hata baada ya kupatikana kwa mgombea urais kupitia chama hicho.

Aidha amebainisha kuwa hakuna fujo zozote zitakazotokea, kwa kuwa vyombo vyote vya ulinzi vimejipanga vya kutosha.Kwa mujibu wa ratiba ya kikao,Kamati Kuu itakutana tarehe tisa na kutoa wagombea watano kabla ya Halmashauri Kuu kukutana tarehe 10mwezi huu, ambapo majina matatu ya wagombea yatateuliwa kabla ya kupigiwa kura na wajumbe wa mkutanomkuu tarehe 11 ili kumpata mgombea mmoja atakaepeperusha bendera ya chama hicho.

Chanzo : Mwananchi
 
Ndio kusema Pius Msekwa aliwadanganya wanaCCM kwa kusema kuwa mgombea atakayekatwa jina lake na kamati kuu anayo nafasi ya kukata rufaa katika Halmashauri kuu, na kusema hilo sio jambo jipya kwa kuwa kanuni na taratibu za CCM zinaruhusu hilo na kwenda mbele zaidi kwa kutoa mfano hai kuwa 2005 jina la Malecella lilipokatwa na Kamati kuu alikata rufaa ndani ya Halmashauri kuu na rufaa yake hiyo ikasilizwa although alishindwa.
 
Back
Top Bottom