Nape: Hakuna kukata rufaa mara mgombea atakapokatwa

Wagombea wote 40 wanataka wawe marais mwaka huu, haiwezekani wote wakatoka wamefurahi, wapo watakaotoka na vinyongo haswa wale ambao hawataingia ata 5 bora.

Ebu fikiria wazoefu hawa

1. Lowassa
2. Wasira yupo serikalini toka miaka ya 60
3. Samweli Sitta,yupo ndani ya serikali toka miaka ya 60
4. Prof Mwandosya
5.Magufuli-waziri kwa miaka 20 mfululizo-mwenye utendaji wa viwango
6. Billal-Makamu wa Rais miaka 5 na Waziri Kiongozi miaka 10
7. Pinda-Waziri Mkuu kwa miaka 8
8. Frederick SUmaye, waziri mkuu kwa miaka 10
9. Asha Rose Migiro,Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
10. Augustino Ramadhan -Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania
11. Dr Mwakyembe
12-42: List inaendelea..

Hivi wakikatwa7 miongoni mwa hawa, utalalamika?nani hapa ana uzoefu kuliko mwingine?hivi waziri mkuu kwa miaka miwili ana uzoefu kuliko Waziri Mkuu kwa miaka 10,au Waziri Mkuu kwa miaka 8?utasema waziri mkuu kwa miaka 2 ana uzoefu mkubwa kuliko waziri kwa miaka 15+Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa kwa miaka 5?

Ni lazima miongoni mwao hawa watakatwa, na wakatwe tu maana hakuna namna nyingine haiwezekani wakapitishwa wote.Kumbuka wote hao ni wazee, lazima chama kionyeshe kuwa kinajali vijana pia, kwenye 5 bora lazima awepo kijana walau mmoja.

Sasa kwenye kuchuja kupata tano bora lazima chama kiangalie makundi maalum yaliyopo nchini.

1 Lazima kuwe na mwanamke-Asha Rose Migiro atapita

2. Lazima kuwe na walau kijana mmoja au anayefanana na ujana

3. Lazima kuwe na Mzanzibar walau mmoja (Billal, Augustino Ramadhan au wote)

4. Waziri Mkuu aliyeko madarakani-lazima apitishwe 5 bora-Pinda

5. Mmojawapo kati ya hawa:

(a) Lowassa (b) Prof Mwandosya (c) Magufuli (d) Wasira (e) Membe (f) Sumaye (e) Sitta (f) na wengineo

Sasa ebu niambie kama kigezo mtu anajivunia ni uzoefu ebu niambie ni nani hapa ana uzoefu kuliko mwenzake?

Je ni Sumaye Waziri Mkuu mfululizo kwa miaka 10?je ni Waziri Mkuu wa miaka 2 Lowassa aliyetoka kwa kashfa?je ni Sitta aliyeko Serikali kutoka awamu ya kwanza?je ni Wassira aliyeko serikalini toka awamu ya kwanza na mtetezi mkubwa wa serikali kwa miaka 10 sasa?je Pro Mwandosya?

Utagundua hapa huwezi kupata sababu ya kulalamikia kwa kigezo cha uzoefu.

Sasa baada ya kuwakata, itatumika mbinu gani kuwaweka pamoja maana kuna makundi yameshaonyesha hayapikiki chungu kimoja iwe angani iwe ardhini.
 
Nape hana ubavu kupambana na lowassa,huyu nape ni sawq na mwanamke ambaye hajakeketwa
 
Nape anaharisha tu.... KURA ni yeye kwani anapiga..!?

Lowassa tayari kawashika maka.lio...!!!

Lowassa tayari wananchi washamchagua, jibu liko wazi... huwezi zuia mafuriko kwa mkono...!!!

Nape labda kashasoma alama za nyakati ajiunge na mafuriko, la sivyo yatawasomba....mmanina...!!!!
 
Kwa kipindi hiki Nape anahasira na lowassa kuliko ukawa
Acha picha iendelee ukawa tunawasubiri tu waje ulingoni tuwatoe minundu tu

Ukawa ndo nini....ni wauza viroba au mirungi tuweke sawa.
 
Wapambe wa EL jiandae kisaikolojia hyo ndio hali halhsi itakauyokuwa kwa bwana EL
 
Wagombea wote 40 wanataka wawe marais mwaka huu, haiwezekani wote wakatoka wamefurahi, wapo watakaotoka na vinyongo haswa wale ambao hawataingia ata 5 bora.

Ebu fikiria wazoefu hawa

1. Lowassa
2. Wasira yupo serikalini toka miaka ya 60
3. Samweli Sitta,yupo ndani ya serikali toka miaka ya 60
4. Prof Mwandosya
5.Magufuli-waziri kwa miaka 20 mfululizo-mwenye utendaji wa viwango
6. Billal-Makamu wa Rais miaka 5 na Waziri Kiongozi miaka 10
7. Pinda-Waziri Mkuu kwa miaka 8
8. Frederick SUmaye, waziri mkuu kwa miaka 10
9. Asha Rose Migiro,Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
10. Augustino Ramadhan -Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania
11. Dr Mwakyembe
12-42: List inaendelea..

Hivi wakikatwa7 miongoni mwa hawa, utalalamika?nani hapa ana uzoefu kuliko mwingine?hivi waziri mkuu kwa miaka miwili ana uzoefu kuliko Waziri Mkuu kwa miaka 10,au Waziri Mkuu kwa miaka 8?utasema waziri mkuu kwa miaka 2 ana uzoefu mkubwa kuliko waziri kwa miaka 15+Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa kwa miaka 5?

Ni lazima miongoni mwao hawa watakatwa, na wakatwe tu maana hakuna namna nyingine haiwezekani wakapitishwa wote.Kumbuka wote hao ni wazee, lazima chama kionyeshe kuwa kinajali vijana pia, kwenye 5 bora lazima awepo kijana walau mmoja.

Sasa kwenye kuchuja kupata tano bora lazima chama kiangalie makundi maalum yaliyopo nchini.

1 Lazima kuwe na mwanamke-Asha Rose Migiro atapita

3. Lazima kuwe na Mzanzibar walau mmoja (Billal, Augustino Ramadhan au wote)

4. Waziri Mkuu aliyeko madarakani-lazima apitishwe 5 bora-Pinda

5. Wawili kati ya hawa:Bila shaka ataingia Dr John Pombe Magufuli na mwingine mmoja..

(a) Lowassa (b) Prof Mwandosya (c) Magufuli (d) Wasira (e) Membe (f) Sumaye (e) Sitta (f) na wengineo (g) Mwigulu (f) Makamba e.tc

Sasa ebu niambie kama kigezo mtu anajivunia ni uzoefu ebu niambie ni nani hapa anapaswa alalamike kwa kigezo cha uzoefu wake?Je ni Sumaye Waziri Mkuu mfululizo kwa miaka 10?je ni Waziri Mkuu wa miaka 2 Lowassa aliyetoka kwa kashfa?je ni Sitta aliyeko Serikali kutoka awamu ya kwanza?je ni Wassira aliyeko serikalini toka awamu ya kwanza na mtetezi mkubwa wa serikali kwa miaka 10 sasa?je Pro Mwandosya?

Utagundua hapa huwezi kupata sababu ya kulalamikia kwa kigezo cha uzoefu.

Katiba ya CCM haisemi hivyo...wala wakati wa kura za maoni ya VIKAO VYA CCM haiko hivyo... hizo ni hisia zako na kichwa chako kama ulivyo...!!!!

Hujui kitu, hujui maana ya kura ndani ya vikao vya CCM inaendaje...mmanina...!!!
 
Nape anaharisha tu.... KURA ni yeye kwani anapiga..!?

Lowassa tayari kawashika maka.lio...!!!

Lowassa tayari wananchi washamchagua, jibu liko wazi... huwezi zuia mafuriko kwa mkono...!!!

Nape labda kashasoma alama za nyakati ajiunge na mafuriko, la sivyo yatawasomba....mmanina...!!!!

lowasa kashika makalio yako chokoocho wewe,atashinda urais wa waganga tanzania
 
Kwa kipindi hiki Nape anahasira na lowassa kuliko ukawa
Acha picha iendelee ukawa tunawasubiri tu waje ulingoni tuwatoe minundu tu

Na kweli mkuu, ngoja waje na boya waone moto wa Ukawa, wameuonja kidogo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa lakini nahisi akili haijawakaa sawa
 
Sasa baada ya kuwakata, itatumika mbinu gani kuwaweka pamoja maana kuna makundi yameshaonyesha hayapikiki chungu kimoja iwe angani iwe ardhini.

Dawa ni kumchagua mgombea asiye na kundi

Unawakata wote: Lowassa na Membe
 
Katiba ya CCM haisemi hivyo...wala wakati wa kura za maoni ya VIKAO VYA CCM haiko hivyo... hizo ni hisia zako na kichwa chako kama ulivyo...!!!!

Hujui kitu, hujui maana ya kura ndani ya vikao vya CCM inaendaje...mmanina...!!!

Tuonane keshokutwa hapa.Nitakukumbusha.

Yaangalie vizuri sana haya majina

1. Asha Rose Migiro
2. Mizengo Pinda
3. Billal au Augustino Ramadhan(walau mmoja wao)
4. John Pombe Magufuli

Shika sana haya majina, hayakosi kwenye tano bora.
 
Hapo wamewalenga mafisadi wakiongozwa na lowasa. Kukata rufaa inahitaji pesa na ni mafisadi tu wenye pesa za kuchezea
 
Izingatieni Sana Na Kwa Umakini Mkubwa Tena Uliotukuka Juu Ya Kauli au Maelezo Haya KUNTU Ya Nape Kwani Yameshaashiria Dhahama.

Kabisa mkuu Genta, hii kauli inaashiria dhahama. Let's wait and see.
 
Back
Top Bottom