mjomba wa kale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 266
- 56
Hajagundua kuwa akiwanyooshea kidole cha kati wananchi vidole vingine vinne kikiwepo na kile kinene zaidi gumba vinaingia kwake? Kweli ana....... Anavivumilia vyote hivyo!.
Tumuamini nani? Kazomewa ama kapokewa na mpokezi mazuri? Msituchaga leteni picha kuthibitisha msemayo
Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi kuwajibu.asema wanaohama ccm ni oil chafu azomewa,asema slogan ya m4c imekosewa ilibidi iwe movement for demokratic change ,aambiwa hiyo ni ya ccm na si cdm.leo wamepata aibu ya mwaka.
Source ni mimi mwenyewe niliyekuwepo kwenye mkutano
Jama tupeni picha tupate uhondo!
Sishangai maana CCM siku hizi mnaenda ki-reverse mkizomewa ndo mmeshangiliwa. Teh teh te teh sijui na hapa utasema nimecheka ama nimekucheka
Naleta picha soon jinsi vijana tena nawafahamu kabisa wa cdm wakisukima gari la Nape, kwa hili ntamtetea Nape
Sishangai maana CCM siku hizi
mnaenda ki-reverse mkizomewa ndo mmeshangiliwa. Teh teh te teh sijui na
hapa utasema nimecheka ama nimekucheka
Pia utuambie aliwalipa shilingi ngapi hao waliosukuma gari lake hilo.Naleta picha soon jinsi vijana tena nawafahamu kabisa wa cdm wakisukima gari la Nape, kwa hili ntamtetea Nape
Naleta picha soon jinsi vijana tena nawafahamu kabisa wa cdm wakisukima gari la Nape, kwa hili ntamtetea Nape
tweve wewe si mkweli nape hajazomewa aliyekwambia amekudanganya mimi nilikuwepo hapa mkm. Mapokezi yalikuwa mazuri tu.
tweve wewe si mkweli nape hajazomewa aliyekwambia amekudanganya mimi nilikuwepo hapa mkm. Mapokezi yalikuwa mazuri tu.
Kwa iyo aliwaonyesha wapiga kura dole la kati??
Dah, nnauye jr kama ni kweli kazi unayo.
Ila sishangai sana kwani wewe ni mmoja kati ya waasisi wa kifo cha ccm.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums