Nape azomewa makambako

nape, naamini bado kuwa wewe ni miongoni mwa wanasiasa wachache wenye uvumilivu na IQ ya juu kabisa ktka medali za siasa tuliokuwa nao TZ, lakini kitendo chako cha kutoweza kusoma alama za nyakati haswa wakati huu ambao cdm wanatumia madhaifu ya ccm kujiimarisha unanisikitisha sana. Na wewe unakubali kuwa kwenye siasa za kizamani za kina wasira makamba senior na wengineo? please nape WAKE UP, njoo na siasa za kishindan na kisasa zaidi haswa kwa kucheza pia na alama za nyakati na uhalisia wa kichwa vya watanzania wa leo
.

Mkuu hahahaa....IQ ya juu halafu anafanya siasa za Wasira?? Sasa ujuu uko wapi hapo??
Au ulikuwa unaongelea ndugu zake wa kule Mahale mountains??
 
Huwezi amini mda wote huu namsubiri jamaa aje apa kutupasha.. comments zake huwa zafurahisha sana
 
In Japanese, Nape is form of a cancerous swelling affecting the upper part of the uterus.
 
tweve wewe si mkweli nape hajazomewa aliyekwambia amekudanganya mimi nilikuwepo hapa mkm. Mapokezi yalikuwa mazuri tu.

inaonekana ulikuwepo kwenye mapokezi nasi kwenye mkutano. kwenye mapokezi leo mmekodi bajaji zote kwa sh elf 5 kwa ajili ya mapokezi ya nape ambapo sehemu ya mapokezi hadi uwanjani ni km mita 600 ,bajaji zilipofika uwanjani zote zilitoweka na watu walikuwa wachache sana.huu ndo ukweli wangu
 
yeye change anayoijua ni yakidemokrasia tu....! hajui kuwa kuwa kuna changes kibao...! economical change, regime change,strategic change...etc..! Nepi ni nepi tu!

M4C stands fora broader range of changes we need...including constitutional change..!
 
Mkutano WA nape makambako waishia kwa nape kuzomewa na kuoneshwa alama ya chama pinzani.nape uzalendo ulimshinda akafungua kioo na kuonesha ishara ya mkono akiwa na maana kuwa wale wanaozomea wana...
...rwa. jiheshimu
 
Na bado....juzi ametoka kuropoka hovyo na kuwakandya wapinzani safari ya kuwa mpinzani inaendelea....
 
Kwa iyo aliwaonyesha wapiga kura dole la kati??
Dah, nnauye jr kama ni kweli kazi unayo.
Ila sishangai sana kwani wewe ni mmoja kati ya waasisi wa kifo cha ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkutano WA nape makambako
waishia kwa nape kuzomewa na kuoneshwa alama ya chama pinzani.nape
uzalendo ulimshinda akafungua kioo na kuonesha ishara ya mkono akiwa na
maana kuwa wale wanaozomea wana...
...rwa. jiheshimu

hata mwanza alifanya hivyo hivyo!
 
Nape njaa itamuua anakomaa na chama lilowashinda wenyewe. Utasikia nae atakuja na majibu kama ya 'sokwe'
 
Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi kuwajibu.asema wanaohama ccm ni oil chafu azomewa,asema slogan ya m4c imekosewa ilibidi iwe movement for demokratic change ,aambiwa hiyo ni ya ccm na si cdm.leo wamepata aibu ya mwaka.Source ni mimi mwenyewe niliyekuwepo kwenye mkutano
Nangojea kuliona gamba litakavyokuja mbio humu kukanusha. Maana kila kitu yeye sasa ameamua kukikanusha tu. Itafika mahali atakanusha kwamba yeye si mwasisi wa CCJ.
 
Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi kuwajibu.asema wanaohama ccm ni oil chafu azomewa,asema slogan ya m4c imekosewa ilibidi iwe movement for demokratic change ,aambiwa hiyo ni ya ccm na si cdm.leo wamepata aibu ya mwaka.
Source ni mimi mwenyewe niliyekuwepo kwenye mkutano

wasiwasi wangu ni hayo maandishi mekundu , jamaa alikuwa hajatupia indian hemp kweli alipoyatamka..
 
Kwa iyo aliwaonyesha wapiga kura dole la kati??
Dah, nnauye jr kama ni kweli kazi unayo.
Ila sishangai sana kwani wewe ni mmoja kati ya waasisi wa kifo cha ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kama anaonyesha watu kidole cha kati kwanini wasimshushe kwenye gari? Kwani hii nchi ni yake peke yake? Tusiwaendekeze hao washenzi wametunyonya mda mrefu sana.

Sent from iphone6 using my laptop
 
Back
Top Bottom