Nape azomewa makambako

Ngoja tumsubiri aje hapa jamvini mtaona atakavyojitetea na kutukana hapa!!!! Hili jahazi la sisimwewe lazima tukubali kuwa linazama!!!!
 
Nape nimemshauri sana huyu dogo,,,jitammbua...na utambue mbinu sahihi kwa sasa.nguvu ya chadema mmeitengeneza nyie wenywe.sasa hodi mpaka kwenye ngome zenu kusini,,,mkiweza kurekebisha uchumi hii game mnawin tofauti ya hapo hamna chenu,,,
 
ana ka msemo kake anasema ''ukitaka uendelevu wa zizi tazama ndama wake''........qwa qwa qwa qwa .......
hivi hii misemo ya kihuni wanapangaga!! mwenzake baharia nae ana wake wa "biashara ya utumbo na harufu"..LOL
 
CCM inaweza kujifananisha na nchi tajiri zinazoheshimu rasilimali na kutopenda starehe?
hebu linganisha huyu waziri mkuu wa nchi tajiri na Pinda wa nchi maskini uone tofauti zilizopo
ukweli uko pale pale CCM wametufikisha tulipo wametuibia vya kutosha wameuza nchi
naona CCM na nape wanahaki ya kuzomewa kabisa

huyu waziri mkuu nchi tajiri na usafiri wa baskeli.
819928.jpg


huyu ni pinda na magari ya kifahari.
11.JPG
 
naomba kukiri nimeishi na bado nipo nje ya tanzania sijaona vx mtaani zaidi ya vigari vidogo wala sijawahi ona msafara wowote
mawaziri hata wabunge tunakutana nao kwenye train asbh wakienda kazini. mkuu wa chuo ninachosoma usafiri wake baiskeli
tanzania hata katibu tawala, mkuu wa wilaya,mkoa,mawaziri nk wana tembelea vx za garama kubwa mwananchi wa kawaida
anaishi maisha ya shida, hata wafadhili wanatucheka kwa hali hii.

magari yote haya ni msafara wa PInda.hii sio haki
12.JPG
 
kama lisinde alitukana nakila mtu alisikia ila ccm wakasema no hakutukana ila alikua anakipamba chama je ni kweli mnategmea leo kuna mtu atkwaambia nape katukana? MNANICHEKESHA
 
Back
Top Bottom