nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Kimbelembele ni bidii ya kazi ndugu yangu, hii ndio kazi ya uenezi.
Kwahiyo Unasupport yeye kuweka hii Hoja Humu Ndani ya Jamii Forums? na kama ni NDIO kwanini asitumia Jina lake
Kamili kuna Ubaya Gani? naendelea kusema UONGOZI NI HEKIMA sio LELE MAMA