Nape awavuruga Chadema Mbeya!

Nape awavuruga Chadema Mbeya!

hivi huyo pembeni siyo ray mwangwala? hapo si ukumbi wa mkapa? na kwanini wamewavisha watoto mishati ya watu wazima?
ili waonekane ni wakubwa ....hivi wanafikiri ccm kuitisha mikutano inasaidia nini wakati watu wanataka maisha bora ...hizo hadithi ni miaka hamsini wengine hata hatujazaliwa tunasikia ahadi za ccm

 
Utumbo mtupu,inawezekana kwa Nape kupita njia za panya kuingia vyuo vikuu but siyo kupata vijana wengi (wanaojielewa).Viongozi wa magamba kwanza ni waoga sambamba na UVMAGAMBA. Hatukatai kwamba magamba wapo vyuo vikuu lakini siyo kwa kiwango cha kuishadadia ccm kihivyo.Mfano hata SAUT kuna magamba wachache sana haswa wanaotoka mikoani huko Tabora,Lindi,Dodoma n.k lakini hawajioneshi kwani hata nguo zao walizoshonewa na magamba wenzao wanazivaa mara moja moja tena usiku.Hawana hoja wala hawawezi kukemea uovu unaotendwa na serikali yao.Kimsingi hata Uvmagamba wamekaa kiuizi-uizi tu.Kuna taarifa nazifatilia kuhusu namna UVMAGAMBA walivyofanyiana ufisadi then nitazileta hapa jamvini soon as possible
 
Back
Top Bottom