Au ndiyo Green Guards nini hao?Wakubwa naomba 2vumiliane kuhusu picha.Cha ajabu wanaohudhuria wote wanafatwa na Land cruser na wote wamevaa kijani.
Watu wanazidi kumiminika kwa maelfu yao,, sehemu hii Mwaloni haitoshi kwa wingi wa watu na hasa vijana. Nitaweka photo in few minutes wakubwa. Lakini CCM noumer mazee
Hata kule ludewa cdm leo mambo si mazuri kabisa.yaani ni vitoto tu vimejazana
Mpaka sasa viwanja vya Magomeni Mwanza wameona waweke Dogori wanacheza watoto huku pembeni wanapigiwa vidole viwili vya people.
Ni aibu aibu.Lusinde kaanza kwa jaziba na matusi.naomba mwongozo jinsi ya ku2mia cm kuweka picha.
Mwayego kweli jamaa wamejaza,, naona misururu ya watu hapa imetusababishia misongamano ya magari,, hii ni hatariNi kweli mmejaza ila nashukuru leo kapikipiki kangu kako full tenk kwa mafuta ya bure kutoka moil petrol station yani leo ni full faida tu afu kura yangu hampati ng'o.
Nape amefanya mengi mazuri tu ila kutokana na tabia ya binadamu kupendelea kueneza mabaya kuliko mazuri ya binadamu,Nape atashambuliwa daima humu jamvini labda apunguze kuongea mambo ya kuvuana gamba kwa maana wanaotarajiwa kuvuliwa magamba wamo humu jamvini kibao mmoja wao ni faiza
Hiyo kitu ipo supported na PC Mode, na simu nyingi zinashindwa kufungua PC Mode kwa sababu JF PC Mode ina shida kidogo. Hivyo ni lazima upate wasaa kidogo uweke kwa kutumia PC Mode.sawa kabisa tusaidiwe mana hata mm nilikuwa mosh mkutano wa ccm ulikuwa hauna watu nikapiga picha ila nikashindwa kuattach. Waungwana toeni mwongozo mtasaidia wengi. Aiken