Nape atua Mwanza kwa mkutano wa hadhara

Nape ni kijana mzalendo amepingana na anaendelea kupingana na mengi maovu ya CCM kama kuuza mali za chama hovyo hovyo kwa wawekezaji uchwara na kuwafukuza wezi papa ndani ya CCM, ni jasiri na mzalendo wa kweli siyo hawa akina Bashe, Malisa n.k vijana wasaliti kwa taifa lao hii status quo kwao ni neema na sasa wanapigania mkeka usiondolewa chini ya miguu yao.

Acheni kumsema sema Nape kama nyinyi ni vijana wazalendo wa kweli labda kama na nyie ni wasaliti mnaopewa vichenji kupiga domo wakati mapatron wenu wanatafuna nchi nzima. akili panzi
 
nape lengo lake ni kunufaika na fedha za safari na si kuimarisha chama.....kwani safari moja unaweza kumeki ata 4m ukiwa mjanja
 
Kuhusu idadi msihofu kuna Costa zimepelekwa Igombe, kayenze, Nyangunge, Buswelu na maeneo mengine inje ya mji zinaleta vijana kibao hapo mjini kati kuongeza idadi.
 
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.

Tuache ushabiki wa kijinga!

WE weka post yenye mema aliyoyafanya ambayo yanafaida kwa jamii vinginevyo kaa kimya
 
Jamaa anafukuzia tu per diems apate hela ya mademu na bia, hakuna siasa anaenda kufanya Mza kwa vile hakuna atakayemsikiliza. Hatutaki habari za kuvuana magamba, tunataka kuskia mgao wa umeme unaisha, ajira kwa vijana zinarudi, kitanda kimoja mgonjwa mmoja; sio ushuzi wake wa kuvuana magamba. Njaa tu ndio inampeleka Mwanza
 
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.

Tuache ushabiki wa kijinga!

kwa akili yako ni jema gani huyu masaburi ameshalitenda kwa nchi na chama chake? Tuhabarishe!
 
Nape amefanya mengi mazuri tu ila kutokana na tabia ya binadamu kupendelea kueneza mabaya kuliko mazuri ya binadamu,Nape atashambuliwa daima humu jamvini labda apunguze kuongea mambo ya kuvuana gamba kwa maana wanaotarajiwa kuvuliwa magamba wamo humu jamvini kibao mmoja wao ni faiza
 
nape nnauye ccj damu hatoki na mnafiki mkubwa africa mashariki na kati na kusini mwa jangwa la sahara samuel sita ndio waasisi
 
Jamaa yangu kaniambia kuna malori 23 yamesomba watu wilaya zote za jirani.
 
Mpaka sasa viwanja vya Magomeni Mwanza wameona waweke Dogori wanacheza watoto huku pembeni wanapigiwa vidole viwili vya people.
 
Ina maana hakuna watu wengi waiohudhuria au? Mkuu naomba kama upo kamili baadae uweke picha ili tukate mzizi wa fitna.
 
Mpaka sasa viwanja vya Magomeni Mwanza wameona waweke Dogori wanacheza watoto huku pembeni wanapigiwa vidole viwili vya people.

Mkuu piga hata picha basi,hata kama huna Kamera tumia hata simu ya mchina mkuu........
 
Wakubwa naomba 2vumiliane kuhusu picha.Cha ajabu wanaohudhuria wote wanafatwa na Land cruser na wote wamevaa kijani.
 
Kwani hawatatoa Mashati, Skafu, Vitenge kutoka CHINA na Wali na Maharagwe?
 
Back
Top Bottom