Nape atua Mwanza kwa mkutano wa hadhara

Hata kule ludewa cdm leo mambo si mazuri kabisa.yaani ni vitoto tu vimejazana
 
Ni aibu aibu.Lusinde kaanza kwa jaziba na matusi.naomba mwongozo jinsi ya ku2mia cm kuweka picha.
 
Nlimwona nape jana kwenye ofisi za precision air mlimani city nkamwambia acha kutuma mipasho jf unajiabiasha "akaniangalia sana"
 
Watu wanazidi kumiminika kwa maelfu yao,, sehemu hii Mwaloni haitoshi kwa wingi wa watu na hasa vijana. Nitaweka photo in few minutes wakubwa. Lakini CCM noumer mazee
 
Hizi nguvu za ushawishi wanaozutumia wanasiasa wetu wangezitumia ktk kufafuta majibu ya - Kwa nini Tanzania ni Maskini - bila shaka tungekuwa tumesha pata majibu ya mwanzo mpya!!
 
Watu wanazidi kumiminika kwa maelfu yao,, sehemu hii Mwaloni haitoshi kwa wingi wa watu na hasa vijana. Nitaweka photo in few minutes wakubwa. Lakini CCM noumer mazee

Tupe picha hapa...!!!
 
Mpaka sasa viwanja vya Magomeni Mwanza wameona waweke Dogori wanacheza watoto huku pembeni wanapigiwa vidole viwili vya people.

mi sion tatzo!
Acha raia wasake pesa!tarehe Dume hzi!
Ao kina nape wanalpwa posho az usual
 
Ni kweli mmejaza ila nashukuru leo kapikipiki kangu kako full tenk kwa mafuta ya bure kutoka moil petrol station yani leo ni full faida tu afu kura yangu hampati ng'o.
 
Ni aibu aibu.Lusinde kaanza kwa jaziba na matusi.naomba mwongozo jinsi ya ku2mia cm kuweka picha.

sawa kabisa tusaidiwe mana hata mm nilikuwa mosh mkutano wa ccm ulikuwa hauna watu nikapiga picha ila nikashindwa kuattach. Waungwana toeni mwongozo mtasaidia wengi. Aiken
 
Ni kweli mmejaza ila nashukuru leo kapikipiki kangu kako full tenk kwa mafuta ya bure kutoka moil petrol station yani leo ni full faida tu afu kura yangu hampati ng'o.
Mwayego kweli jamaa wamejaza,, naona misururu ya watu hapa imetusababishia misongamano ya magari,, hii ni hatari
 
Nape amefanya mengi mazuri tu ila kutokana na tabia ya binadamu kupendelea kueneza mabaya kuliko mazuri ya binadamu,Nape atashambuliwa daima humu jamvini labda apunguze kuongea mambo ya kuvuana gamba kwa maana wanaotarajiwa kuvuliwa magamba wamo humu jamvini kibao mmoja wao ni faiza

Acha kuzungukazunguka! Be straight kwa kuyataja hayo aliyoyafanya. Ni upuuzi kusema amefanya mengi huku huwezi kutaja hata moja!
 
sawa kabisa tusaidiwe mana hata mm nilikuwa mosh mkutano wa ccm ulikuwa hauna watu nikapiga picha ila nikashindwa kuattach. Waungwana toeni mwongozo mtasaidia wengi. Aiken
Hiyo kitu ipo supported na PC Mode, na simu nyingi zinashindwa kufungua PC Mode kwa sababu JF PC Mode ina shida kidogo. Hivyo ni lazima upate wasaa kidogo uweke kwa kutumia PC Mode.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom