Nape asusia kikao cha CCM

hana akili anapigana vita asivovijua nd matokeo yake hayo...
......hili ndilo tatizo la kutofikirisha ubongo, anasema (anaropoka) kila analotumwa, huku akijua wazi bosi wake anakwenda kama upepo unavyovuma, kama ni kusi-kasi naye anvuma hivyo hivyo, huyo ndiye JK, kwake la mhimu ni kilikanyaga na la hovyo hulinyanyua, huyo ndiye rais wetu
 
I feel sorry for this young man. He postponed the process of thinking and yet he wants to become a prominent politician. How could you allow other people to think on your behalf? That is a cardinal sin...sorry Nape you are in for it!!
 
Walishamwambia hivi...
"Now you know secrets of our party(SSM).... so, if u go out of this party... YOU ARE DEAD".
Wakampa mkataba na aka-sign kukubaliana na hii mishe.
MSITEGEMEE HUYO JAMAA KUHAMA SSM.
 
We are here to discuss issues not peple. Concentrate kutoa mchango wako kwenye mada aliyoianzisha mhusika.

Sometimes people can become an issue for discussion as well. Juzi tuu alikuwa anasema chanzo sahihi cha habari za CCM ni yeye. Sasa leo tayari imekula kwake. Who do you think should be blamed for his demise? Wewe na wenzako should have done better to advise this guy. And @NewYork aliyesema he trust Nape sijui atasemaje sasa. Nape ni matokeo ya signature yangu hapo chini. He was looking for trouble and he found it everywhere in CCM and outside of CCM. He diagnosed it incorrectly by applying the wrong remedies.

 
Last edited by a moderator:
kwani wamesha maliza kumtumia...

tangu jana mi nasema, kazi yake imefikia tamati. Huenda imechukua muda mfupi kuliko alivyotarajia, lakini ndiyo hivyo. Inaumiza moyo,na kuchanganya akili,kwani unajiona umetumika kama big g,au choo....!
 
kwa hali hii inaonyesha wazi kuwa haamini kwa kauli zake au kauli / msimamo wake wakubwa wake hawajalidhika nao
 
We are here to discuss issues not peple. Concentrate kutoa mchango wako kwenye mada aliyoianzisha mhusika.

Unapo discuss issue za Nepi huwezi waacha waliopo kwenye payroll yake . Rejao mukigoma, FF , mwiba, malaria sugu na wengineo
 
atasema haja wahi kuikana CCJ...


By Ng'wanangwa atajuta kuikacha CCJ.


Dah wakuu hapo mmenimaliza kumbe tuko wengi tunao muonea huruma huyu jamaa ee...mimi nilimwambia mwanakijiji, pasco na wengine wengi tuu kuwa akimbie mwenyewe kabla heshima na imani ya watanzania wachache haijaisha kwake na ccj yao ambapo naamini angepata magamba wenzao wengi yeye akawa anajifanya jihad na ccm, watu walimshauri hapa jamvini akawa mbishi yeye na vibaraka wake wakina mwita, rejeo faiza na wengine wachache kana kwamba wao ndio wanaijua ccm kuliko sisi wengine angalia sasa jamii inamchukia na vyama vyote vya siasa vinamchukia na havimuamini kiasi kwamba hawezi pewa kadi yeyote na mbaya zaidi alishaikana ccj hawezi rudi huko kijana nape coffin lako la siasa ndio liko finishing na pollish muda sio mrefu naamini hutokosa la kutueleza mfano unajua ccj niliikana ili nirudi ccm kwa muda ku collect dataz za wizi wa ccm au uamue kusema kama mkapa niacheni nipumzike na mama nauye au nimechoka siasa za majitaka kama gamba mwenzako RA
 
ndiyo dawa ya unafiki na kutumwo na mkuu.sasa nape jiandae kufa kisiasa atakapo staafu bosi wako.ndy faida ya unafiki ujanani sasa uchawi huo
 
kusema ukweli bila kumng'unya maneno hata kama wanamuonea Jamaa kaonyesha utoto wa hali ya juu mno
 
Long time kitambo wana JF wengi walishawahi mshauri Nape aachane na siasa za ccm kwani bado ni kijana sana tena msomi,alionywa humuhumu kwamba akiendelea na siasa za ccm atafilisika kisiasa na hatakuwa na pakushika.

Ona sasa tayari kashawekwa mtu kati na wale waliomtuma wanamkana,atachomoka kweli?
Au ndo kwishney!

Bora angesikiliza ushauri wa vijana wenzake angekuwa safe,hamuoni mwenzake Mukama!
 
Kamaliza kazi yake huko hajasusa, wasusaji si wanajulikana. Unanchekesha!

kukamilisha kazi kunaendana na kutoa taarifa ya kilichofikiwa. Kazi gani amemaliza bila kutoa taarifa? hajamaliza, usituzuge wewe, magamba yamemgomea na atatumika mpaka aonekane mzigo kiasi kwamba wakimtimua asipokelewe sehemu yoyote ile hata kwenu CCM B
 
Back
Top Bottom