Nape asusia kikao cha CCM

Nape asusia kikao cha CCM

Kuna utata kuhusu nini cha kuwaambia waandishi wa habari, hata hivyo mimi namuona Nape kama mtoto aliyepewa leseni kabla ya umri wake. Ikiwezekana atataka kuendeshea hiyo gari hata kwenye mapaa ya nyumba za watu, yeye wakati wote lugha zake ni za kihuni hata ukiambiwa ametukana huwezi kukataa maana unayoyasikia hadharani kawaida yana mwelekeo huo.
 
atajuta kuikacha CCJ.

Alishatamba kuwa yeye ndo chanzo cha habari muhimu kutoka ccm, leo karipoti SG wa chama - Mukama. Huyu dogo kigeu geu. Akizungumza kigeu geu, akinyamaza kigeu geu, akishikana mikono kigeu geu!!!!!!!!!!!!!!
 
wanawasiwasi angasema ana miniti za kikao alipoambiwa azunguke nchi nzima.
 
Jiandae wewe mbumbumbu unayejiita nape aka nepi. Umeshindwa majamaa. Sasa yanajaribu menyewe uone mziki wao.
 
Ukiwa unatumia masaburi kufikiria lazima ile kwako
 
Poor him!
Leo nimeshangaa kumwona Mukama anaongea kwenye nafasi ya Nape!...Nikajiuliza kunani!
Kumbe dogo keshalikoroga mahali!
Mbio za sakafuni hizi!
 
Nape Akome, Mdomo uliponza kichwa,
Muda si mrefu atakua bubu coz hana lingine
zaidi ya kuwasema wenzie mafisadi,
na Jk ni kigeugeu ka kinyonga
na amepigwa stop kama ilivo kua Igunga
Maskini Napeee!
 
Keshazidiwa nguvu na Lowassa mbele za macho ya kila mtanzania.Kurudi itasaidia nini?
Ni bora arudi ccj.

mwenzangu hadi namuonea huruma...ye amezunguka mikoanii weee...mwenzie amesubiri kituo kimija tu Dodoma ambapo masikio na macho ya watanzania wengi wapo huku akamaliza....!hata mie nisingesema kitu bora watu wasahau kwanza
 
Mie siamini kama Nape kasusia kikao ni utaratibu ndani ya chama ambao wameona mtoa taarifa ya kikao cha NEC awe MH MUKAMA.,katibu mkuu wa ccm.Dhana ya kujivua gamba haitekeleziki.
 
kwani wamesha maliza kumtumia...

Ha ha ha ndio wameshamaliza kutumia toilet paper yao sasa wameitupa chooni. Bado CUF , Faiza fox, Rejao,Mwita, kipepeo, genius na Wausau wote waliokuwepo kwenye payroll ya Nepi
 
Huyu Nape si ndiyo yule msema mbovu kama vile anatapikaga? Leo na angesema na angekumbuka CCJ aliyeikana kwa lile domo lake. MJINGA KAMA (RC) MMOJA MKOA FULANI,HAWANA TOFAUTI HATA KIDOGO.
 
Huyu Nape si ndiyo yule msema mbovu kama vile anatapikaga? Leo na angesema na angekumbuka CCJ aliyeikana kwa lile domo lake. MJINGA KAMA (RC) MMOJA MKOA FULANI,HAWANA TOFAUTI HATA KIDOGO.

kama rc wa arusha...
 
lakini amefaidi vijisenti maana posho za kuzunguka nchi nzima si mchezo...
 
Back
Top Bottom