Nape asusia kikao cha CCM

Nape asusia kikao cha CCM

NAPE hakua anajua kuwa CCM ni full usanii,watu wote ni wachafu kule,wanalindana tu.Kumbe dowans na richmond ni kikwete mwenyewe.Maskini Nape,atajutia kuwa vuvuzela la wakubwa.JK ni mnafiki sana,hapendi kuonekana mbaya,ni mjanja kugeuka.Kama kuna jambo anataka kufanya anamtumia tu mtu kama alivyotumiwa nape.POLE nape,hapo ndo ujue CCM sio watu wa maamuzi magumu,wanaogopana kwa kulindana.Angalia wenzio CDM hawana uvivu wa kufanya maamuzi magumu.
 
Nape lazima amei miss familia yake Dar kwa hiyo amewahi wala kijana wa watu hana tatizo na mtu hata juzi si mlimwona jamani akimsalimia rafiki yake EL. Ila pia ajue kama alipanda mchongoma ili watu wamsifiye kwa ushujaa ajue kushuka kwake itakuwa ngoma nzito na ajiandae kuwa kafara ya kumsafisha EL .
 
Nape nae alimwamini J.k na go-forward zake, sasa kashamtupa kama alivyomtenda Lowasa kwenye Richmond

Mwenyekiti anaacha upepo uchukue nafasi sababu alikuwa hana strategy ya kukisaidia chama
 
Tatizo la kufanya jambo kisha unafikiri badala ya kufikiri kwanza ndo unatenda jambo,huyu dogo alikuwa anauchonga sana hakujua kwamba wanaomtuma walimweka kama vuvuzela tu la kusemea akidhani yuko pamoja nao,Nape anauchonga tu lakini ni empty magazine,siasa ndani ya CCM ni ngumu sana maana hazina wa kumwamini,alikuwa anachombezwa nae akaona amemaliza,mwisho wenzie wakamwambia hawajakutana road,bado hakujifunza kitu,na nilisha wahi kusema Nape hatoshi na alikuwa anajiongopea tu,na sijui anaishi wapi ndani ya hii dunia na sijui yuko chama gani,HIVI NAPE ULITEGEMEA KABISA UKIZUNGUKA NCHI NZIMA NA UKASIMAMA MAJUKWAANI KUSEMA EL NI FISADI ANGETOKA CCM?HAKUNA WA KUMFUKUZA EL NA VJISENTI NDANI YA CCM,Angalia Nape utamwagishwa unga japo unakula ndani ya chama cha kifisadi.


by; Einstein
Asiyefikiri kabla ya kutenda atatwendwa, pale akiamka. Siku zake zinahesabika.
 
Kwani alitakiwa kutoa taarifa gani muhimu kwa taifa letu? Naaona alivyofanya ni vizuri tu akarudi kwao aongee na familia yake nani anataka kumsikuliza kigeugeu huyo leo anasema hili kesho anageuka anasema vinginevyo. Kama unaakili huwezi kutamani kumsikiliza mtu kama huyo.

Huyu si kigeugeu ni kigeugeuzwa. Yeye ni kenge ndani ya kundi l mamba ila hajijui. Ila kuna siku ataikumbuka ccj. Tatizo amekremu mzee mnauye alfia ccm naye anajua hakuna mahali pengine duniani
 
Ha ha ha ndio wameshamaliza kutumia toilet paper yao sasa wameitupa chooni. Bado CUF , Faiza fox, Rejao,Mwita, kipepeo, genius na Wausau wote waliokuwepo kwenye payroll ya Nepi
We are here to discuss issues not peple. Concentrate kutoa mchango wako kwenye mada aliyoianzisha mhusika.
 
muda ukifika ataambiwa ni kwanini asifukuzwe chama kwa kuasi na kuanzisha CCJ? Alitengenezewa mtego bila yeye kujijua, angekuwa na akili angekataa uteuzi wa yeye kuwa katibu mwenezi.
 
Nape mdogo wangu siasa ni mchezo mchafu sana,jumuiya ya uvccm ilikufuza uanachama Makamba akaokoa jahazi,lakini hukusoma alama za nyakati.Ukigeugeu umekuponza ndugu yangu,JK anakukana hivi hivi mchana kweupe,hustuki!kwani walipokuambia CCN ina wenyewe hukujua wenyewe ni akina nani?Fanya maamuzi magumu jiondoe ndani ya chama kigeugeu,maana kimekugeukia.
:spy:
 
ndugu Nape alitaka kufanya press conference na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC lakini alizuiwa na wakubwa wa CHAMA kuwa hakuna haja hali iliyopelekea Nape kususia kikao cha viongozi wa Chama na habari zaidi nilizopata ni kwamba amerejea Dar mapema zaidi hata kabla ya wenzie kutawanyika.

Naona hakwenda na mkewe hivyo ameimiss ile kitu!!! Hana lolote huyo!
 
masikini huyu kijana alijitolea kufanya kazi kwa moyo wake wote! sasa mambo yamemgeuka! hizi siasa jamani!!!
 
kuna tetesi imedraftiwa talaka ya nape toka kwa mwenyemji ccm, pia wafuatao ndani ya ndoa talaka zao zaja pia ccmB-cuf, rejao na genuisBrain bila kumsahau riz1
 
Bora ulivovaa gwanda la cdm kwny kampn za mwk jn ungebaki!sasa ushachafuk.HATUKUTAKI TENA.baki na vijizee vyk huko.
 
Nionavyo mimi aliandaliwa kuwa kondoo wa kafara. Sasa amenona kiasi cha kutosha. Manake ni kama NEC imeishamuhukumu tayari. Udhibitisho atautoa wapi. Zaidi ya hapo awe muwazi kama Mamvi. Amtaje aliyemtuma kuzodoa kambi ya mafizadi. Kama Manvi alivyo mtaja mwenye Richmond katika lugha isiyokuwa rasmi.
 
kila kitu anasusa tu..mpaka mke alishamsusa yuko kwa baba yake brigedia hemedi changanyikeni,

sijui kesho atasusa nini!
 
Back
Top Bottom